johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,016
- 142,056
Wabongo ni pasua kichwa sana
Bashe anasema mchele uko kibao hakuna sababu ya kuchukua wa Msaada, anashambuliwa kila kona
Dkt. Mwigulu alisema nchi inakopa kwa sababu ina uwezo wa kulipa, akashambuliwa sana mitandaoni eti kama Uwezo upo Kwanini anaenda kukopa
Hivi Wabongo huwa mnatafakari mambo au mnaendeshwa na mihemko tu?
Baadae Mlale Unono 😄🔥