Mbunge wa Simanjiro Ole Sendeka amesema kunusurika Kwake kuuawa na Wahuni siyo kwa nguvu zake bali ni Nguvu za Mungu wa Mbinguni
Ole sendeka amewaambia Wapiga kura wake Kuwa yeye binafsi alikuwa...
Mbunge wa Nzega vijijini amewaasa vijana wapambane kutafuta maisha na kama wanahisi Bungeni kuna hela basi wagombee na wao
Unadhani ni rahisi tu kuingia Bungeni? Amehoji Dokta
Karma unaona Kule...
02 April 2024
https://m.youtube.com/watch?v=Eib1-kDDAlQ
Wahoji mantiki ya Profesa Kitila Mkumbo kuondoa fedha ktk mzunguko wa fedha ili kupunguza mfumuko wa bei, wakati bei ya bidhaa...
Hili ni swali tu kwako Baba Askofu, kwa Nchi hii ukianza kusononeka kwa sababu ya Kunusurika kwa Ole Sendeka, basi bila shaka ama hukuwepo Duniani, au ulifungiwa ndani ya mazabahu.
Na kama...
Jumapili saanane usiku na jumatatu ya Pasaka haikuwa njema.
Umeme ulikatika karibia nchi nzima.
Chanzo cha tatizo kilikuwa kujizima mitambo huko Kidatu
Tumeelezwa na TANESCO kuwa , kujizima huko...
Kuna kampeni kubwa inaendelea sehemu mbalimbali ambapo kuna wataalamu wanapita na kipimo cha kupima mwili mzima kwa 20,000.
Nina shauku ya kujua kutoka wizara ya Afya kuhusu msimamo wa serikali...
Jambo la ajabu ni kuwa, japo Mama amemwona Makonda kuwa ni hatari kwa chama, lakini hajaweza kuachana naye kabisa. Afrika tuna safari ndefu kwa mambo haya ya teuzi zisizozingatia weledi na sifa...
Kukamatwa watu kula Mchana Zanzibar ~ Watanganyika wasio Waislamu wamezusha Mjadala.
Ni vyema tukafahamu ya kuwa MILA, DESTURI, SILKA na UTAMADUNI ni mfumo wa maisha kamili ya kila jamii...
Shalom,
Ni ajabu sana siku hizi huwezi kusikia kauli kama serikali ya CCM, utekelezaji wa ilani ya CCM, serikali imeleta.
Utasikia kauli za kipumbavu kwamba Rais amefanya, Rais ameleta upumbavu...
Tafakari namna Hamas walivyoleta mabadiliko Ndani ya Israel kwa kujiingiza kwenye Shirika la Misaada la UN na kufanya kile walichofanya October 7
Hii ni Dunia ya Akili mpya inayokwenda Kasi Sana...
Ndugu zangu, nawaslimu Kwa upendo mwingi sana.
Nimefatila sana mijadala mbali mbali tangu Makonda ateuliwe kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha. Mijadala mingi inaonekana kumdhihaki na wengine kutoa...
Ni Mwanasheria Nguli saana. Mwanazuoni wa kupigiwa mfano. Mwanaharakati na mtunzi wa vitabu.
Ni Mwanasiasa mzuri na amewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
Shalom,Salaam!!
Huu mtikisiko ndani ya chama Dola unaendelea, unatoa wasiwasi juu ya mustakabali wa chaguzi zijazo,
Ikiwa Hadi muda huu, coach hajapata Bado muunganiko wa team yake kuelekea...
Ndugu wanajukwaa habari zenu.
Kumekua na tabia ya kumshukuru mama hata umeme uliporejea jana baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kama wakazi wa Daresalam wamemshukuru mama.
Imekua kasumba...
Silaha ya kivita inamilikiwa na serikali Ole Sendeka kashambuliwa na silaha ya kivita ila anadai waliomshambulia si serikali. Katika mazingira hayo nimejikuta najiuliza maswali yafuatayo:
๐ทSasa...
Kwa hili lililojitokeza la tengua pangua wananchi wa Mwanza tutakukumbuka sana CP Makalla kwa muda mfupi umeonyesha weledi na umakini wa kushughulikia miradi ya hapa Mwanza ie uwanja wa ndege...
Kwako kichele CAG
Nimeshangazwa na kusikitishwa na pendekezo la CAG Kichere kuwa wastaafu wanauwekea mzigo mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kuendelea kupokea huduma za mfuko huo huku wakiwa...
Zanzibar ni sehemu ya muungano hata kama ina katiba yake lakini bado ni sehemu ya Tanzania ambapo serikali haina dini
Ukilisoma tamka la serikali kwa umakini utagundua kuwa hakuna walichokemea...
Nimeona wengi wanajaribu kulifananisha Shambulio la Ole Sendeka na lile la Tundu lissu, haya matukio ni tofauti kabisa wengine wamedhulumiana ama pesa ama ardhi au ni wizi wa kawaida.
Shambulio...