ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,110
- 49,826
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Prof.Mkenda amefungua Dirisha la mikopo Kwa wanafunzi wa Diploma huku kapu lao likianza na Bilioni 48.
Kwa kuanzia wanafunzi zaidi ya 8,000 kunufaika.Kazi iendelee 👇
---
Serikali imezindua mwongozo wa utoaji mikopo katika ngazi ya diploma unaotarajiwa kunufaisha wanafunzi 8,000 nchini huku kipaumbele kikiwekwa katika kozi sita ikiwemo fani ya afya na sayansi.
Serikali imetenga Sh. bilioni 48 Mikopo ya wanafunzi 8,000 watakaosoma stahahada katika fani za Afya na Sayansi Shirikishi, Ualimu, Usafiri na Usafirishaji, Uhandisi na Nishati, Madini na Sayansi ya Ardhi na Kilimo na Mifugo kwa mwaka wa masomo 2023-24Prof. Adolf Mkenda - DSM
My Take
Wanafunzi mshindwe wenyewe Mama Samia Anazidi kuwafungulia fursa ya Elimu,hakuna kisingizio.
Hii ni rekodi na historia ambayo itaishi Milele kama kumbukumbu ya alama ya Rais Samia.
View: https://twitter.com/mamanafanikisha/status/1709851277197218034?t=XaXSg8ZDA54YsrOTvCr75A&s=19

RASMI: Diploma waanza kupokea mikopo kutoka HESLB, soma muongozo hapa
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanza kutoa mikopo ngazi ya Diploma kupitia bodi ya HELSB MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2023/2024 MAELEKEZO MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WANAOOMBA MIKOPO. Waombaji wote wa mikopo ya elimu kwa ngazi ya...
www.jamiiforums.com