Kuelekea Chaguzi Kuu; Mpambano wa Kimkakati UWT VS BAWACHA

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,801
71,226
Chaguzi kuu za 2024 na 2025 kama zitafanyika na kwa taratibu za haki na uwazi nauona mpambano mkali wa kimkakati kati ya mwanamitindo JOKETI MWEGELO na CPA CATHERINE RUGE.
Wanawake hao ndio wataongoza mpambano kupitia kundi kubwa la wanawake wa taifa hili huyu mmoja akiwa maarufu kwenye mambo ya urembo na mitindo na mmoja ni mwanaharakati mpambanaji.
Hao ni kupitia wing ya CCM wanawake (UWT) na wing ya CHADEMA wanawake (BAWACHA) wote wakiwa makatibu wakuu.
Jee nini sifa binafsi na mapungufu ya mmoja mmoja? Nani wamepatia na nani wamebugi katika kuteua viongozi hao muhimu?
 
Wote wamepatia

Ila Halima Mdee Ndio atamrithi Chatanda pale UWT kuelekea Uchaguzi mkuu wa 2030 Dr Mwigullu Nchemba PhD vs Wakili msomi Tundu Lisu
 
njie ccm achane kupambanisha tembo na sisimizi, hii promo unayoipa uwt iliyojifia na taasisi yoyote ya chama(chadema) chenye uwezo wa kafanya mkutano wa siasa muda wowote , ni kupoteza muda
 
Ndio sasa tusaidie kutupatia sifa binafsi na madhaifu za hao watendaji wakuu na nini maoni yako kwa 2024/25?
 
Chaguzi kuu za 2024 na 2025 kama zitafanyika na kwa taratibu za haki na uwazi nauona mpambano mkali wa kimkakati kati ya mwanamitindo JOKETI MWEGELO na CPA CATHERINE RUGE.
Wanawake hao ndio wataongoza mpambano kupitia kundi kubwa la wanawake wa taifa hili huyu mmoja akiwa maarufu kwenye mambo ya urembo na mitindo na mmoja ni mwanaharakati mpambanaji.
Hao ni kupitia wing ya CCM wanawake (UWT) na wing ya CHADEMA wanawake (BAWACHA) wote wakiwa makatibu wakuu.
Jee nini sifa binafsi na mapungufu ya mmoja mmoja? Nani wamepatia na nani wamebugi katika kuteua viongozi hao muhimu?
Jokate mbele ya Catherine Ruge ni mwepesi kuliko pamba! In fact UWT mbele ya BAWACHA si lolote si chochote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok, ndio hapo nilipo pataka. UWT kwa sasa inashuhudia anguko kubwa sana hasa baada ya kuwa na mwenyekiti huyu Chatanda ambaye ni wa hovyo sio huku nje tu bali hata ndani yao wanamuona hivyo.
Sasa jee wamefikiri nini kumuweka huyu mwanamitindo katikati ya jumuia ya wanawake wa CCM (ambao tu aambiwa wengi ni wa sio Soma na ni old fashioned) kupambana na BAWACHA hii ya CPA Ruge mpambanaji, msomi, muelewa wa Dunia ya sasa na maisha hadi ya kule vijijini?
 
Chaguzi kuu za 2024 na 2025 kama zitafanyika na kwa taratibu za haki na uwazi nauona mpambano mkali wa kimkakati kati ya mwanamitindo JOKETI MWEGELO na CPA CATHERINE RUGE.
Wanawake hao ndio wataongoza mpambano kupitia kundi kubwa la wanawake wa taifa hili huyu mmoja akiwa maarufu kwenye mambo ya urembo na mitindo na mmoja ni mwanaharakati mpambanaji.
Hao ni kupitia wing ya CCM wanawake (UWT) na wing ya CHADEMA wanawake (BAWACHA) wote wakiwa makatibu wakuu.
Jee nini sifa binafsi na mapungufu ya mmoja mmoja? Nani wamepatia na nani wamebugi katika kuteua viongozi hao muhimu?
siku zote chadema huwa wanakuja kukumbuka shuka kumekucha, kwasababu wale waliopo juu wanajua wanachokifanya.
 
Kumbuka umeulizwa uchaguzi ukiwa huru na wa haki!
Ikiwa hivyo hayo ya shuka yanapataje nafasi?
 
Chaguzi kuu za 2024 na 2025 kama zitafanyika na kwa taratibu za haki na uwazi nauona mpambano mkali wa kimkakati kati ya mwanamitindo JOKETI MWEGELO na CPA CATHERINE RUGE.
Wanawake hao ndio wataongoza mpambano kupitia kundi kubwa la wanawake wa taifa hili huyu mmoja akiwa maarufu kwenye mambo ya urembo na mitindo na mmoja ni mwanaharakati mpambanaji.
Hao ni kupitia wing ya CCM wanawake (UWT) na wing ya CHADEMA wanawake (BAWACHA) wote wakiwa makatibu wakuu.
Jee nini sifa binafsi na mapungufu ya mmoja mmoja? Nani wamepatia na nani wamebugi katika kuteua viongozi hao muhimu?
Acha kuringanishe Catherine CPA na huyu hawara wa Diamond,Kiba na Vunja bei
 
Hao unawasingizia labda yule Basketball player mrefu sana Hashim
Mbona na mzee baba mwenyewe alikuwa anasemekana kushusha mzigo?
Kuna siku akiwa hajapewa kiti cha Kisarawe hafla moja ya watoto wa mjini walimshangilia "mama wa taifa!" akawa kapoa anajichekesha tuu
 
Umoja wa Mikorogo Tanzania hauwezi kusimama na BAWACHA hata siku moja BAWACHA ni another level.
 
Back
Top Bottom