Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ni serikali ni wizi mtupu tena kwa kutumia mfumo rasmi ikiwemo Bunge.. Kinachogonga vichwa vya watu sana ktk bajeti hii ya 2026/2027 ambayo hawa hayawani waliookotana huko na kukutana Dodoma...
10 Reactions
17 Replies
338 Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, amesema hayo wakati wa mahojiano kupitia M&S Podcast. "Hadi sasa sielewi mimi ni mtumishi wa umma ama sio...
8 Reactions
12 Replies
374 Views
  • Featured
Mwanazuoni na Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka, amebainisha kuwa nchi haiwezi kupata utulivu wa kweli wa kisiasa ikiwa hakuna maridhiano ya dhati, huku akisisitiza kuwa kuendelea kusalia...
4 Reactions
42 Replies
1K Views
Habari ndugu! Nimekuwa nikijiuliza hili swali lakini sijawahi kupata majibu sahihi. Sasa Leo NAOMBA wajuzi wa mambo mnisaidie Kwa dhati kabisa. CCM kinafaidika vipi na huu MUUNGANO wa Tanganyika...
3 Reactions
32 Replies
322 Views
Ndugu wa Polepole, Mke wa Lissu, wanapoendelea kupewa Platform mbele ya Bunge la Ulaya, Marekani, kama sehemu ya Ushahidi wa Sauti zilizotekwa, Kuuawa n.k Sio kwamba Ulaya hawajui kinachoendelea...
6 Reactions
10 Replies
291 Views
Wafanyabiashara wadogo ambao wanapanga kwenye nyumba za mitaani hutozwa Withholding Tax yaani kodi ya zuio! Hapa anayezuiwa ni nani! Hakuna jibu isipokuwa imetengenezwa kuiongezea mapato serikali...
3 Reactions
13 Replies
380 Views
Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini, Bele Ponela, amemlipua kiongozi wa kimila, Chifu Songea Mbano, akidai kuwa sio chifu halisi bali ni mwanachama wa CCM na "tapeli" aliyetumiwa kukanusha...
7 Reactions
10 Replies
332 Views
Kumekuwepo na tuhuma zinazomhusisha mtumishi wa umma katika taasisi TAKUKURU na mwenendo unaodaiwa kukiuka maadili ya utumishi wa umma. Ni muhimu mamlaka husika kufanya uchunguzi wa kina ili...
1 Reactions
6 Replies
277 Views
Hii nchi imejaa watu waovu kwa asilimia 70. Hawalitakii mema taifa lao. Ndio maana hayati Magufuli alipodhibiti ufisadi wao walimfanyia fitina za kila namna. Na hata mpaka leo hii hakuna...
13 Reactions
62 Replies
1K Views
Ni aibu kwa mwanasiasa kuuza jina la mwenzake aliyekwisha tangulia mbele ya haki. Lakini naona CCM wanalazimika kuuza jina na uzalendo wa Nyerere hadi nje ya Nchi. Nilianza kuona Waziri wa mambo...
3 Reactions
0 Replies
91 Views
Nina Imani ningeenda kwa Afande Muliro kumsalimia hata chai angenipa, ila huyu OCD ndo kwanza akaishia kunishangaa. Nimefika kwake kituoni nikajitambulisha Mimi ni mgeni wa OCD, nikafika ofisini...
3 Reactions
8 Replies
333 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi...
0 Reactions
6 Replies
333 Views
Naona moshi Mweusi huko pwani ya Tanzania. Nchi ipo kuaminisha Dunia uongo kwamba watu wanaishii kwa upendo na amani, halafu anatokea DC anatia kitumbua Mchanga. Na hivi haziivi na uzao wa...
7 Reactions
31 Replies
925 Views
Waliopigwa na Mchina, wamelazwa hosptalini, ili aliyewazuru akamatwe, imewabidi majeruhi kujirekodi huku wakiwa wanalia ndo mpigaji wa kichina alipokamatwa na polisi Hii imekaaje? Mbona yule...
4 Reactions
10 Replies
212 Views
Clemence Mwandambo ametoa kauli kali akidai kuwa baadhi ya Watanzania wamefikia hatua ya kuichoka amani na badala yake wanaelekea kutaka vurugu kwa kusikiliza watu anaowaita wachochezi. Naona...
0 Reactions
12 Replies
260 Views
Professor Mussa J Assad. CAG Mstaafu akifanya mahojiano na Clouds Media Juni 22, 2026 amependekeza umuhimu wa kuwa na kanzidata (database) ya kitaifa itakayofuatilia utekelezaji wa mapendekezo...
2 Reactions
7 Replies
175 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), Bwana David Kafulila, ameendelea kujijengea sifa kama mmoja wa viongozi wa umma wanaorejesha na kuimarisha...
3 Reactions
9 Replies
270 Views
Hamjambo! Aiseeeh! Hii familia iwe Mfano kwetu. Haipoi na hawataki kumuachia Mungu. Wanapambana aiseeh! Kule Kaka Mtu, kule Mdogo wakiume. Kule Dada Mtu. Hawa watu wanaonyesha upendo, umoja...
24 Reactions
62 Replies
2K Views
Sote ni mashuhuda wa namna ambavyo chadema inavyojipendekeza kwa mabwenyenye ya magharibi na kujiexpose bila kificho kwamba wao ni vibaraka na mamluki wa mabwenyenye ya magharibi. Unadhani ni...
1 Reactions
30 Replies
300 Views
Back
Top Bottom