Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sasa hivi, mitandao ya simu yote imekuwa shida, lakini tatizo kubwa lipo kwa mtandao wa Vodacom, mara simu haziendi, mara message haziendi, mara internet inakuja na kupotea. Wanasema matatizo...
0 Reactions
2 Replies
98 Views
Mwamko wa sasa baada ya kesi za uongo za ugaidi wanazofunguliwa viongozi wa Chadema Unatisha Unaambiwa hela zinamiminika kuliko mvua za elnino Hebu angalia hill fuba lililochangwa hadi sasa...
16 Reactions
53 Replies
780 Views
Enzi zile Polepole akifanya hikihiki tuliambiwa mengi sana, wengine walisema maigizo,wengine walisema ni shujaa tuliyemsubiri muda mrefu lakini hatukumlinda, kwa kuwa Yuda amekuja kuomba msaada...
11 Reactions
30 Replies
555 Views
Wanabodi, Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, Utangulizi: Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa...
8 Reactions
33 Replies
894 Views
Asitutoe kwenye reli, uwajibikaji wa matukio ya utekaji, utesaji, ulawiti, mauaji na kesi za kubumba ulioanzishwa na kuendelezwa hadi leo na vyombo vya dola ni CCM yeye akiwemo Mauaji ya kimbari...
4 Reactions
11 Replies
155 Views
Nikinukuu mada ya mdau Synthesizer (Quote): "Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu kukosoa kukejeli nk... Mwanshambwa...
55 Reactions
133 Replies
2K Views
Kipindi cha Magufuli Ujinga huu wa umeme kukatika ilikuwa ni nadra sana, sasa tumerudishwa gizani bila sababu za Msingi, badala ya ku improve baada ya kupata vyanzo bora vya umeme, shida imehamia...
4 Reactions
3 Replies
232 Views
Kaka wa Humphrey Polepole anaiyeitwa Augustino Polepole amejirekodi na kutuma video inayomtaka ZCO Faustine Mafwele ajitokeze hadharani na kuwaeleza watanzania walichomfanya. Ikumbukwe Faustine...
46 Reactions
369 Replies
15K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza mpango wa kuandika barua kwa mashirika ya kimataifa Umoja wa Mataifa (UN), Umoja wa Ulaya (EU), Marekani (US), Umoja wa Afrika (AU) na...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Bado tunafuatilia! Kila mara nimesikia viongozi mbalimbali wa upinzani, wa chama Dola, waastafu, watu maarufu kwenye media wakizungumza kauli inayofanana na hii: Mtafanyaje mazungumzo wakati...
5 Reactions
50 Replies
594 Views
NGUZO 10 KUU ZA UTAWALA PALE WATIBELI WANAPOTAWALA: KUANZIA NGAZI YA FAMILIA HADI NGAZI YA TAIFA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hakuna cha itakuwaje. Sisi Watibeli tunaongozwa na nguzo kuu nne...
3 Reactions
2 Replies
126 Views
Kada ya ualimu inadharaulika sana. Leo hii shule ya msingi mwalimu anaanzia diploma hakuna cheti tena. Nabadili kada naenda kusoma sheria na nitahakikisha nakuwa wakili. Maisha ya kijijini...
11 Reactions
29 Replies
596 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, hivi karibuni amesikika akisema kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ndiye anayechangia kucheleweshwa kwa kesi yake ya uhaini kwa kuwasilisha...
8 Reactions
15 Replies
411 Views
Baada ya kuangalia tension kubwa ya kisiasa nchini na namna tulivyofika hapa basi baada ya chama cha Mapinduzi walimu hawawezi kukwepa lawama za kuharibu Nchi. Amani iwe nanyi
3 Reactions
6 Replies
107 Views
Tujifikirishe kidogo kwa nini Tanzania ni nchi masikini kwa kiasi hiki kuliko hata Kenya pamoja na rasilimali zake zote hizi. Tatizo ni utaratibu mbovu wa utawala wetu aka katiba mbaya. Katiba...
5 Reactions
2 Replies
90 Views
Kauli ya Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, kwamba Watanzania tunapaswa kupambana kupata Katiba Mpya ni kauli kubwa na yenye uzito mkubwa kisiasa. Soma Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua...
15 Reactions
81 Replies
1K Views
Elimu ya Hisa, Hati Fungani, Uwekezaji n.k. 🎙️ Sikiliza MAELEZO PODCASTS — Tupo kwenye audio channels zote 📌 Spotify...
0 Reactions
2 Replies
73 Views
Mwaka 235 A.D kule Roma aliuwawa Kaisari aitwaye Severus Alexander. Aliuwawa kwa hila za majasusi wake waitwao The Praetorian Guard ambao walikuwa ndiyo kikosi cha ulinzi na ujasusi cha watawala...
122 Reactions
157 Replies
8K Views
Back
Top Bottom