Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,074
- 165,806
Mkuu Buji, Bujibuji Simba Nyamaume , thanks for this, kuna vitu havikusemwa, wakati akiyakanyaga makaburi ya mkewe na mtoto wake alisema hapa ndipo ulipozika mizoga ya mbwa zako!
Mwanzo mzuriMkuu Buji, Bujibuji Simba Nyamaume , thanks for this, kuna vitu havikusemwa
Enzi hiyo nani ali record hii! Hapakuwa na facilities kama jizo kijijini
Hii ni movie kutoka bongoEnzi hiyo nani ali record hii! Hapakuwa na facilities kama jizo kijijini
Swadakta kwa kuboresha zaidi comment yakoMkuu Buji, Bujibuji Simba Nyamaume , thanks for this, kuna vitu havikusemwa, wakati akiyakanyaga makaburi ya mkewe na mtoto wake alisema hapa ndipo ulipozika mizoga ya mbwa zako!
hivyo he was provoked hivyo ali act under provocation, it was not murder, it was manslaughter!
Daktari Bingwa wa afya ya akili wa Mirembe, Dr. Pendael, alithibitisha wakati akiua he was insane!, baada ya shooting, ali search switch ya gari kutoka mfukoni kwa marehemu, akauweka mwili kwenye butt, akavaa pama ya RC, aka drive mpaka kituoni na kuwaambia nimewaletea mzoga wa mbwa wenu!. hivyo alipaswa kuachiwa kwa insanity!.
Kutosaini Death Warrant ni Busara, Kuna Wanao Hukumiwa kwa Makosa na Kunyongwa Bila Hatia!, Hata Mwamwindi Alihukumiwa Kifo na Kunyongwa Kwa Makosa!
Hivyo nika toa Asante Rais Samia Kutosaini Hati ya Kumyonga Yeyote!, Tusiishie Kutonyonga Tuu, Bali Pia Tusiue!. Tuifute Adhabu Kifo ni Adhabu ya Kikatili Sana!.
Na kushauri Kitendo cha Marais wa Tanzania, Kutosaini Death Warrants, Je Kuna Haja ya Kuendelea Kuwepo Adhabu Hii ya Kifo cha Kikatili kwa Kunyonga?
Chadema pia sikuwaacha kuwapa Habari njema kuhusu Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu, Hata akihukumiwa kunyongwa!, Hatanyongwa! Rais mwenye Sifa hizi, hawezi Kusaini Death Warrant
P
Movie based on true storyEnzi hiyo nani ali record hii! Hapakuwa na facilities kama jizo kijijini
P.nawe,unatoka,unakuja!Mkuu Buji, Bujibuji Simba Nyamaume , thanks for this, kuna vitu havikusemwa, wakati akiyakanyaga makaburi ya mkewe na mtoto wake alisema hapa ndipo ulipozika mizoga ya mbwa zako!
hivyo he was provoked hivyo ali act under provocation, it was not murder, it was manslaughter!
Daktari Bingwa wa afya ya akili wa Mirembe, Dr. Pendael, alithibitisha wakati akiua he was insane!, baada ya shooting, ali search switch ya gari kutoka mfukoni kwa marehemu, akauweka mwili kwenye butt, akavaa pama ya RC, aka drive mpaka kituoni na kuwaambia nimewaletea mzoga wa mbwa wenu!. hivyo alipaswa kuachiwa kwa insanity!.
Kutosaini Death Warrant ni Busara, Kuna Wanao Hukumiwa kwa Makosa na Kunyongwa Bila Hatia!, Hata Mwamwindi Alihukumiwa Kifo na Kunyongwa Kwa Makosa!
Hivyo nika toa Asante Rais Samia Kutosaini Hati ya Kumyonga Yeyote!, Tusiishie Kutonyonga Tuu, Bali Pia Tusiue!. Tuifute Adhabu Kifo ni Adhabu ya Kikatili Sana!.
Na kushauri Kitendo cha Marais wa Tanzania, Kutosaini Death Warrants, Je Kuna Haja ya Kuendelea Kuwepo Adhabu Hii ya Kifo cha Kikatili kwa Kunyonga?
Chadema pia sikuwaacha kuwapa Habari njema kuhusu Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu, Hata akihukumiwa kunyongwa!, Hatanyongwa! Rais mwenye Sifa hizi, hawezi Kusaini Death Warrant
P
Ninatoka vipi au wapi na ninakuja wapi, vipi, lini?.P.nawe,unatoka,unakuja!
Usisahau kampeni endelevu toka enzi za kutafuta uhuru wa Tanganyika hadi hii leo.Enzi hiyo nani ali record hii! Hapakuwa na facilities kama jizo kijijini
Kalamu sasa huyu alitoka ofisini akaenda peke yake kumkabiri Mwamwindi, hapakuwa na smart phones na manual cameras usingeliweza kuzipata kwanmazingira alivyokwenda huyo RCUsisahau kampeni endelevu toka enzi za kutafuta uhuru wa Tanganyika hadi hii leo.
.
This is insane.
Na watu wataamini kabisa kuwa hili ndivyo lilivyotokea hivyo hivyo kama lilivyorekodiwa..
Umemaliza ubishiMovie based on true story
Video hii ni ya kugushi, Kleruu hakuwa na hakuwahi kuwa mhehe, wakati anauawa hapakuwa na mashuhuda wowote, pia filamu nchini zilikuwa zinapigwa na serikali tu chini ya Tanzania Film Unit pale Magogoni.
Ni bongo movie hiyo kutoka Kwa Gabo Zigamba.Video hii ni ya kugushi, Kleruu hakuwa na hakuwahi kuwa mhehe, wakati anauawa hapakuwa na mashuhuda wowote, pia filamu nchini zilikuwa zinapigwa na serikali tu chini ya Tanzania Film Unit pale Magogoni.
Hata hivyo asante kwa kutuletea igizo la tukio kasoro rangi ya hiyo Pijo ilikuwa ya kijivu na trekta halikuwa kubwa enzi hizo.