Wote tumeona na kusikia kauli na matamshi ya viongozi wa chadema Toka mwaka Jana kiasi cha kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu yetu ambayo imejengwa kwa garama kubwa, uharibifu huu...
Wakuu,
Kama mtakumbuka uzi wangu uliopita, nilieleza jinsi fedha za VIP Engineering zilivyosambazwa kwa wanasiasa wa chama tawala wakiwemo viongozi wawili wa juu wa Upinzani.
Sasa mambo yanaanza...
Napenda kuwatia moyo kuwa katika mapambano haya ya kudai Haki na usawa katika nchi hii hampo peke yenu. Mwamko ni mkubwa sana huyu nyoka CCM apondwe kichwani afe.
People's, people's, people's...
Hiyo katiba mpya itakujaje huku mnahubiri vurugu, huku mnafanya uchochezi, huku mnahujumu uchumi wa nchi, inamaana viongozi wa chadema hawayaoni haya? Nadhani ni vihio/vilaza wote
Ukiwaona...
Katika mahojiano maalum yaliyorushwa na M&S Podcast, Juni 24, 2026, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, amefafanua kuwa kiongozi bora ni yule...
Kwenye vita huwa hatushambulii kulia, kushoto, mbele na nyuma lazima uache njia ya kukimbilia ukizidiwa.
Baada ya kusikia Mke wa Lissu na Dada wa Polepole kwenye bunge la Ulaya niseme kuwa hakuna...
Kuna viongozi wa awamu ya 6 wengi wao ni wasomi wa level ya PhD na Profesa kwenye finance bill ya bajeti ya 2026 wameamua kuwapa msamaha wawekezaji wa madini wasilipe share ya 16% na loyalty fee...
Utafiti wetu unaonyesha kwamba, katika watu 100, Watu 80 wanafuatilia Mikutano ya hadhara ya Chadema kote inakopita, huku Watu 20 Pekee wakifuatilia michuano ya kombe la Dunia, Hakuna...
Huu ni Mkutano wa Saa 6 Mchana, Wananchi wamesubiri tangu saa 12 asubuhi, wengi wao wakiwa na miswaki ya miti mdomoni na mataulo kiunoni
Tukutane Tunduma
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina akizungumza leo Juni 23, 2026 alipokuwa akichambua Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27.
Pia soma ~ Mpango wa LATRA kusitisha...
Kadiri siku zinavyosonga mbele, PB ya Mawinguni inaonekana kupoteza sehemu ya mvuto na ubora uliowahi kujengwa na majina makubwa kama Masoud, Fetty na Siza.
Ingawa bado ina mashabiki wake, wapo...
Jukwaa la Vijana la CHAUMMA limeikosoa Bajeti Kuu ya Serikali ya Sh trilioni 62.33 kwa mwaka 2026/2027, likidai ni "kiini macho" kinacholinda matumizi ya viongozi huku wananchi, hasa vijana...
Selective prosecution ni Nini?
Ni hali ambapo mamlaka ya mashitaka, kama DPP, wanaamua kumshitaki mtu mmoja lakini wakaacha watu wengine waliotenda kosa hilo bila mashitaka. Kwa maneno mengine...
Mara.zote.watawala wakiishiwa nguvu hizi ndo mbinu wanazoweza kuzitumia maana kuua siyo suluhisho.
1. Divide them and rule..
2. Fake Propaganda and illusions..
3. If you can't convince them...
Katika hotuba yake ya hivi karibuni mkoani Njombe, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson alitoa maagizo yanayoshtua. Baada ya kuwaonya watumishi wa umma dhidi ya kuvujisha "siri za serikali," alitangaza...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Songoro Mnyonge ametoa agizo la kusitishwa kwa gulio la Biafra akibainisha kuwa, Gulio hilo linauza bidhaa ambazo zinauzwa kwenye masoko mengine yaliyopo...
Kalenda ya Mahakama kwa mwaka 2024 ilianza rasmi tarehe 1/ 02/ 2024 na inatarajiwa itaisha pengine Desemba 15/ 12/ 2024.
Mahakama ya Rufani wametoa ratiba ya kesi za Februari 2024 peke yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.