Hii Kitu haiwezi Kutokea KAMWE.

Hii Kitu haiwezi Kutokea KAMWE.

Castle_Lite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
4,497
Reaction score
9,921
Nawaza tu.
2030 kamati kuu wamfanyie Figisu Imma, asiorodheshwe kwenye 5 bora ya watia nia nafasi ya Uraisi.

Alaf Imma akaamua kwenda Chadema.
Mind you Lissu pia yuko Huru.

Huo Mtanange wake utakuwa sio wa kitoto.💥💥💥💥
Yale ya 2015 yatajirudia.

Anyway . Haiwez kutokea hili.

NB:
Tumeona waliokuwa wana nia ya kugombea alaf wakakatwa na CCM na Chadema walihamia Chauma na ACT
Ref Mpina na Salum Mwalimu.
 
Gentleman,
Dr.Emmanuel John Nchimbi ndio agenda ya taifa letu kwa mwaka 2030-2040, full stop.

hakuna haja ya kubabaika na ramli 🐒
 
Nawaza tu.
2030 kamati kuu wamfanyie Figisu Imma, asiorodheshwe kwenye 5 bora ya watia nia nafasi ya Uraisi.

Alaf Imma akaamua kwenda Chadema.
Mind you Lissu pia yuko Huru.

Huo Mtanange wake utakuwa sio wa kitoto.💥💥💥💥
Yale ya 2015 yatajirudia.

Anyway . Haiwez kutokea hili.

NB:
Tumeona waliokuwa wana nia ya kugombea alaf wakakatwa na CCM na Chadema walihamia Chauma na ACT
Ref Mpina na Salum Mwalimu.
Kosa la kipuuzi walilofanya cdm 2015 la kumpokea Lowassa kizembe halitarudiwa tena.
 
Kama kuna namna chawa wa sisiem wamebadilisha upepo na kwenda kwa huyo imma..yawezekana wameshanusa chochote huko ndani...sasa wanajiwahi mapema ili likija la kutokea wajifanye walikuwa hawamuelewi mama na chaguo lao ni imma....ila wakuu usijekubali kuitwa chawa cz hauna utofauti na mwanaume alieuza ubigwa
 
Back
Top Bottom