Huu sasa ndo uwajibikaji! Hii ni India

Huu sasa ndo uwajibikaji! Hii ni India

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,027
Reaction score
142,937
Siku chache zilizopita huko nchini India kulikuwepo na maandamano makubwa ya wanafunzi kupinga uvujaji wa mitihani ya wanafunzi wanaosomea udaktari.

Yalikuwa ni maandamano makubwa sana yaliyofanywa na Cockroach Janta Party au kwa kifupi CJP.

Kwa taarifa zaidi kuhusu hiyo CJP unaweza kuingia Google uone ilivyoanza.

Sasa katika maandamano hayo kuna askari polisi mmoja alionekana akiwafyatulia risasi waandamanaji kwa kutumia bunduki ya AK-47.

Kwa habari zilizopatikana ni kwamba askari huyo kasimamishwa kazi huku uchunguzi dhidi yake ukifanyika.

Huo ndo uwajibikaji.

Sema yote kuhusu India, kuhusu vikwapa vyao na usafi wao kiujumla.

Lakini ikija kwenye suala la haki za kiraia, demokrasia, na kadhalika, wametuzidi mbali sana.

Sisi hapa wauaji wa Oktoba 29 wameonekana kabisa kwenye video wakiwapiga risasi raia wasio na silaha lakini mpaka leo hakuna hata aliyesimamishwa kazi wala kufunguliwa mashitaka ya mauaji.

Tanzania ni nchi ya kithenge sana. Imejaa majuha tu kila kona.

View: https://youtube.com/shorts/AATeAe2T5AA?is=Olo7yqqsvC73o3gy
 
Nyani

NyaniNgabu
 
well indians wengi hasa wanaoongoza serikali ni wa-hindu, wahindu hawana shida ni watu down to earth sana, hata hapa tanzagiza indian wahindu wenyewe hawana shida na mtu ila wahindi tatizo ni wale wenye asili ya pakistani i.e non hindus hao pamoja na arabs and irans ...
 
Team mende wameamua kufanya yao
 
1785177115225.png
 
well indians wengi hasa wanaoongoza serikali ni wa-hindu, wahindu hawana shida ni watu down to earth sana, hata hapa tanzagiza indian wahindu wenyewe hawana shida na mtu ila wahindi tatizo ni wale wenye asili ya pakistani i.e non hindus hao pamoja na arabs and irans ndiyo cancer ...
Hivi Azim Dewji ni mhindi wa asili ya Pakistani au?
 
Back
Top Bottom