Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inatokana na nini? Kuharibu misitu? Kwani western europe hakuna misitu? tuel,ishane
0 Reactions
1 Replies
93 Views
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina akizungumza leo Juni 23, 2026 alipokuwa akichambua Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27. Pia soma ~ Mpango wa LATRA kusitisha...
4 Reactions
8 Replies
364 Views
Kadiri siku zinavyosonga mbele, PB ya Mawinguni inaonekana kupoteza sehemu ya mvuto na ubora uliowahi kujengwa na majina makubwa kama Masoud, Fetty na Siza. Ingawa bado ina mashabiki wake, wapo...
2 Reactions
12 Replies
206 Views
Jukwaa la Vijana la CHAUMMA limeikosoa Bajeti Kuu ya Serikali ya Sh trilioni 62.33 kwa mwaka 2026/2027, likidai ni "kiini macho" kinacholinda matumizi ya viongozi huku wananchi, hasa vijana...
2 Reactions
5 Replies
108 Views
Selective prosecution ni Nini? Ni hali ambapo mamlaka ya mashitaka, kama DPP, wanaamua kumshitaki mtu mmoja lakini wakaacha watu wengine waliotenda kosa hilo bila mashitaka. Kwa maneno mengine...
5 Reactions
8 Replies
150 Views
Mara.zote.watawala wakiishiwa nguvu hizi ndo mbinu wanazoweza kuzitumia maana kuua siyo suluhisho. 1. Divide them and rule.. 2. Fake Propaganda and illusions.. 3. If you can't convince them...
3 Reactions
8 Replies
271 Views
Katika hotuba yake ya hivi karibuni mkoani Njombe, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson alitoa maagizo yanayoshtua. Baada ya kuwaonya watumishi wa umma dhidi ya kuvujisha "siri za serikali," alitangaza...
1 Reactions
0 Replies
94 Views
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Songoro Mnyonge ametoa agizo la kusitishwa kwa gulio la Biafra akibainisha kuwa, Gulio hilo linauza bidhaa ambazo zinauzwa kwenye masoko mengine yaliyopo...
0 Reactions
1 Replies
87 Views
Kalenda ya Mahakama kwa mwaka 2024 ilianza rasmi tarehe 1/ 02/ 2024 na inatarajiwa itaisha pengine Desemba 15/ 12/ 2024. Mahakama ya Rufani wametoa ratiba ya kesi za Februari 2024 peke yake...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Kwamba, Kwa Mfano Abdul akitobolewa macho , Ni uchungu sana Kwa Mzazi. Ila Mdude kavunjiwa Nyumba, kabebwa, kapigwa ,Damu zimetapakaa nyumba nzima, Mzee Kibao kauwawa, Hawa wote sio kitu Kwa...
14 Reactions
23 Replies
2K Views
Siyo kwa ushawishi huu aisee nazani huko upande wa pili wanasonya tu.
23 Reactions
54 Replies
1K Views
Hakuna ubishi. Masuala mawilli, kuhusu wabara kuondolewa au hata kutotibiwa visiwani na kutangaza siku ya mwaka wa kiislam kuwa mapumziko ni chembe chembe, chokochoko, na viashilia vya kuuvunja...
3 Reactions
48 Replies
631 Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, amesema; "Mimi nafikiri tatizo letu kubwa ni tumeshindwa kutofautisha mijadala ya kisomi na siasa za nje...
1 Reactions
0 Replies
126 Views
Kombe la Dunia limeanza na kinaendelea, vipi Ile ban ya Waziri wetu kuingia USA na familia kuangalia mashindano ya Kombe la Dunia imeisha??? Na vipi kule Mexico alipoenda, wajuba aliowazungua...
2 Reactions
14 Replies
256 Views
Nyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar. Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi. Tufikiri mara mbili. Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara...
21 Reactions
309 Replies
3K Views
Kwa kuzingatia taarifa zilizopo hadharani, hakuna ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kwamba NATO au nchi za Magharibi zimekubaliana au zinapanga kupeleka "mashushu" nchini Tanzania kufuatia taarifa...
0 Reactions
3 Replies
170 Views
Kama ukisoma historia ya maeneo ya maziwa makuu ya Afrika ya kati hutakosa historia ya tawala ya falme za hima zikijulikana kama 'hima empire' na wana historia. Watutsi ni mbari ya kihima. Wahima...
13 Reactions
100 Replies
5K Views
Back
Top Bottom