Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,362
- 39,842
Uko sahihi, maana namna yetu ni kuishi ni kuuana ili ukae madarakani.Bunge ni Bunge ,huwezi kuzuia watu cha kusema, hata hivyo Nchi Kama Taifa hatuwezi kuipangiwa na wageni namna ya kuishi
Bunge ni Bunge ,huwezi kuzuia watu cha kusema, hata hivyo Nchi Kama Taifa hatuwezi kuipangiwa na wageni namna ya kuishi
Wewe ni mpuuziBunge ni Bunge ,huwezi kuzuia watu cha kusema, hata hivyo Nchi Kama Taifa hatuwezi kuipangiwa na wageni namna ya kuishi
Awawaj8bisje walio pasua vichwa vya watu na kufumua vifua vya watoto wa kitanganyika. Wewe unaweza kukalia damu zote zile halafu ubaki salama? Watu wakuangalie tu?Duh, kwanini Rais wetu anaandamwa Kila siku? Anajisikiaje? Please mpumzisheni bana
May be AIMi kweli au mambo ya mitandao
Namashaka na hilo mkuu hata hivyo bado hiyo content ya ICC haipo.May be AI
Ata Maduro na wapambe wake walikuwa wanasema hivyo hivyoBunge ni Bunge ,huwezi kuzuia watu cha kusema, hata hivyo Nchi Kama Taifa hatuwezi kuipangiwa na wageni namna ya kuishi
Kumbe chawa mnaogopa ICC, mwambieni kizimkazi ile ICC ni kama kisutu tu yakina Jaji Feleshi.Namashaka na hilo mkuu hata hivyo bado hiyo content ya ICC haipo.