Kama Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Samia anataka Katiba mpya, Makamu wa Rais anataka Katiba mpya, sasa ni nani anapinga Katiba mpya kiasi cha Makamu wa Rais Dr Nchimbi kuwataka wananchi wapambane...
Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza kuwa watuhumiwa 36 kati ya 130 waliokamatwa kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka.
Katika taarifa iliyotolewa Julai...
Kwako Dr Emmanuel Nchimbi;
Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema nchimbie lakini sasa acha nikujibu:
Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja...
Maridhiano ya kweli yalipaswa kufanyika kabla ya uchaguzi wa kiini macho wa Oktoba 2025. Lakini kwa sababu walikaza fuvu, walitawala kimabavu baada ya kuua, kuteka na kubambikia raia kesi za...
Hili ni jambo muhimu kufanyika sasa ili kuweka kumbukumbu sawa,
Lengo la jambo hili muhimu ni kuruhusu Wenye ndugu zao kufanya Hitma ili kuamua kama watalipa kisasi au watasamehe na kumuachia...
1. Nape Nnauye----Alitumbuliwa akiwa kwenye hafla Usiku Mlimani City. Aliingia Akiwa Waziri Akarudi kama Mbunge Abiria wa Bolt.
2. January Makamba ---Alitumbuliwa kwakuwa Habebeki
3. Kassim...
Hongera Bi Rose Manumba, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, madiwani na wataalamu wote kwa uongozi wenye matokeo unaotanguliza maslahi ya wananchi. Kupitia usimamizi...
Taharuki imerukibuka mapema asubuhi ya jana Julai 26, 2025 katika Mtaa wa Kongo Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, baada ya wananchi wa eneo hilo kugomea zoezi la kupangwa meza za...
Ugaidi ni tuhuma kali sana na ndio maana ni kosa ambalo linapingwa na kudhibitiwa kimataifa.
Gaidi wa Tanzania ni gaidi wa dunia nzima.
Kama ndio hivi, je Watanzania wanavyokamatwa kwa ugaidi...
My friends, ladies and gentlemen.
Ni ukweli usiopingika kwamba mtu yeyote yule anae izungumzia katiba mpya Tanzania, anazungumzia kuhusu ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030, ambayo ndio...
Najua sasa kiafya na kiakili umechoka sana - JIUZULU
Assistant Vampire ameshaanza kukenua meno yake makali kwako - JIUZULU
Umeandaa wasia siku ya marehemu washika mikuki, umekataliwa usiusome...
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi sio tuu ni Mtanzania mzalendo, bali pia ni mjamaa na muumini wa dhati wa falsafa ya Mwalimu Nyerere, ya Ujamaa na kujitegemea, pia Mkristu Mkatoliki...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Ninafurahi Sana tena sana ninapomuona Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Moja kwa moja Ama live katika Shughuli mbambali na majukumu...
Inasemekeana yule Mzanzibari alikuwa akimlenga Sigrada Mligo na wala sio makamu wa rais Dk Nchimbi.
Haiwezekani mbunge wa CCM aweze kumdhalilisha namna hii makamu wa rais kwa kumuita Yuda na...
Nimemuona akitoka maadhimisho ya walenga shabaha wa mipakani. Ukimuangalia unaona kabisa mwili umetikisika, kupungua kama si kupungua. Labda mtu akiwa kwenye diet anakuwa vile.
Sasa ninyi...
Tanzania kwa sasa inaviashiria vyote vya kuelekea kwenye failed state na vita ya wenyewe kwa wenyewe, anayezuia nchi hii isiingie kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe ni Tundu Lissu kwa sababu...
Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kauli ya Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi ya kuwataka Watanzania wapambane kupata Katiba Mpya imeibua tafsiri mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.