Pascal Mayalla yuko wapi?

Pascal Mayalla yuko wapi?

Baba yako Nyerere alishiriki kwa kiasi kikubwa kuifanya nchi iwe hapa kwenye anguko, yeye ndo alitengeneza mazingira majizi ya Ccm yasiweze kushtakiwa.
 
Kwamba Pascal aseme au afanye nini ?!!!!; Of-course anaweza kutumia kalamu yake kufanya kitu lakini haipaswi ashurutishwe au kulazimishwa kufanya kitu, ila akifanya tumtetee Haki yake ya kufanya anachoona ni sawa kwake.., after all ndio demokrasia tunayotaka..... ( Hata Tyranny of the Majority is still Tyranny)

Vilevile je Pascal anaunga mkono kinachoendelea ?

Strategy without tactics is the slowest route to victory. Tactics without strategy is the noise before defeat. -Sun Tzu,

Ingawa wote kama Jamii kwa wakati wote tunahitaji kukemea Uharamia na Kuukataa tatizo watawala wameweza kuuvika Uharamia majina mengine hivyo kuweza kuwafanya mgombane nyie kwa nyie (sababu mnagombania utofauti wenu na sio root causes ambazo ni Uharamia unaowa-affect nyote)
 
Kama unaweza mfikia mpe faraja, hayuko sawa mentally.
Angalau kwa sasa yuko a bit better, kuna issue napanga kuifanya na Madaraka, kama yuko Msasani au Butiama nitaomba kumuona, najua familia huwa inazuia kwasababu ya hali yake, mimi nita insist, mtu kama huyu hatakiwi kutengwa na kufungiwa, anahitaji compassion kumpatia watu to talk to.
P
 
Angalau kwa sasa yuko a bit better, kuna issue napanga kuifanya na Madaraka, kama yuko Msasani au Butiama nitaomba kumuona, najua familia huwa inazuia kwasababu ya hali yake, mimi nita insist, mtu kama huyu hatakiwi kutengwa na kufungiwa, anahitaji compassion kumpatia watu to talk to.
P
Unadhani Madaraka atakubali mimi nijiite kaka,nifanye issue na mtu yeyote ya kumpeleka mental hospital?
Lakini choko,tena na tena,wanaenda kwa Madaraka wanamwambia ," Andrew amefanya makosa,tunaomba ruksa kwako tumchukulie hatua"
 
Unadhani Madaraka atakubali mimi nijiite kaka,nifanye issue na mtu yeyote ya kumpeleka mental hospital?
Lakini choko,tena na tena,wanaenda kwa Madaraka wanamwambia ," Andrew amefanya makosa,tunaomba ruksa kwako tumchukulie hatua"
Brother, napitia kwa Madaraka kwasababu ndiye anayetambulika, ila nitaomba kukuona na kuzungumza na wewe, na nita insist, hivyo hakuna issue ya kama Madaraka atakuba au la, nitakuona, tutaonana na tutazungumza.
P
 
Pascal hayaoni haya mambo yote yanayotokea?
Poppy Poppy Hatonn , nilikuambia nitamtafuta Madaraka kwa issue nyingine kabisa wala haikuhusu wewe!.
Ila kwa vile wewe pia mimi nakujua, ndipo nikasema nitakutafuta kwasababu naijua hali yako, na lengo la mimi kukutafuta ni kukusaidia wewe na sio kama ulichosema hapa.
Pascal Mayalla anasema kwamba , with a smile on his face,atawatafuta familia yangu,,atawashauri kwamba mimi ni dangerous lunatic, lazima nipelekwe mental hospital.
Haya nimeyasemea wapi?
Na,anawaonya familia yangu,he will not take " no" for answer.
Mimi ni nani na kwa uwezo gani kuwaonya The First Family most respected in Tanzania?
Kwa sababu kama wakikataa suggestion yake,he will arrest them all.
Yaani mimi ni chombo cha dola au mamlaka to arrest?
Sasa,I am a civilized person. Sitaki kuanza kutukana.
Wewe Mr. Mello,hebu tu niondoe hii Jamii Forums.
Mkuu Maxence Melo , huo uzi wa Poppy Hatonn , usiufute wala usimuondoe jf, kwa hali anayopitia sasa at 73, jf ndio the only hope, comfort and the one and only refuge that is keeping him on, otherwise bila jf, depression would have eaten him alive na ingekuwa imeisha msindikiza kulee... kitambo!, hivyo let him vent as much as he wishes, kwa mtu wa aina hii, kwa kadri anavyo vent, ndivyo anavyo calm down!.

P
 
Back
Top Bottom