Wawakilishi Zanzibar wadai Benki Kuu Tanzania inawalinda mafisadi Na Salma Said, Zanzibar
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wamesema Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inawalinda watu wanaotuhumiwa kwa...
By JOSEPH MWAMUNYANGE
Special Correspondent
Millions of Tanzanians will not be in the group buying shares in the most profitable company in East and Central Africa, Safaricom after the Bank of...
Nchi sasa inayumba
Mwandishi Wetu Aprili 16, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Kitendo
Lowassa, Rostam, Chenge, Mkapa moto
Kikwete, CCM, Bunge watishwa
CHAMA cha Mapinduzi (CCM)...
Of recent kumekuwepo na tabia ya kama waandishi wetu wa habari (Print & electronic media) ambao wanakuwa na big headlines halafu hawataki kumtaja mtu jina
The difference kati ya JF na wao ni kuwa...
Maalim Seif amkejeli Yusuf Makamba
Na Salma Said, Zanzibar
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad amesema anajisifia nafasi yake ya ukatibu mkuu katika chama chake...
Wanajumuia,
Nyumbani tuna mashirika ya ndege makubwa kama matatu hivi. Hivi ni nani anayeyakagua? Wanaponunua hizi ndege zao mitumba, ni nani anazipitisha? Tuombe Mungu haya yaliyotokea Congo...
Admin na Mods wamegoma kumerge threads za JK
labda nikianzisha hii wanaweza kuzimerge ili tupate mteremko wa mjadala
kuna habri za chini kuwa JK kachomoa safari yake y uk NA HATOKUTANA na wa...
Nina viswali vidogo tuu...wanaccm kadampinzani, yeboyebo, dar-es-salaam na wengine wengi..
Wats the deal jamani?
Wat is going on in ya party?
Mawaziri mliowaweka wanatuangusha on a daily basis na...
Je WaTanganyika mnasemaje kwa hili la serikali tatu ya TANGANYIKA ya ZANZIBAR na ya shirikisho au MUUNGANO ???
Tayari mabango yameanza kutawala maandamano yanayofanyika Zanzibar wakidai iletwe...
...with monthly payments of 4 billion shilings to IPTL and 152 million shilings a day to Richmonduli, netgroup problems solutions and songa payments, this was expected
Daily News; Monday,April...
Waungwana mimi kwa maoni yangu Mawaziri wanaojizulu kwa kashfa mbali mbali za kifisadi inabidi pia wajiuzulu ubunge, ujumbe wa halmashauri kuu na kamati kuu pia kama wamo humo ama wafukuzwe...
Area C strikes fear into the heart of Palestinians as homes are destroyed
Israelis defend rules that reject 94% of non-Jewish building applications
Rory McCarthy in Far'un
The Guardian...
Imani na Furaha za Watanzania Zadidimia
Kila kukicha tumekuwa tukipata habari za kusikitisha jinsi wachache wanavyoihujumu nchi wakati watanzania walio wengi, hata wasomi, wakiwa hali taabani...
Suala la Kenya, serikali yetu ilikuwa haina msimamo na haikuwa na nia ya kuingilia kati au hata kutoa tamko la kulaani uvunjwaji haki wa binadamu nchini mle kwa kile ambacho kilionekana...
Makala hii ilikuwa inatoa picha nzuri kama siyo kuwasifia akina "Mkono & Co."
Wale mlio nje; hasa Europe na America; je, hivi ndivyo tunavyoongelewa au picha ni nyingine?
Tanzania Re-branded...
sio Tanzania eti tukiwakamata mafisadi nchi italipuka, kauli ya mkuu wa polisi! Au kauli ya Pinda eti hili swala ni gumu sana maana kuwafilisi au kuwatia hatiani mafisadi sio rahisi kwa sababu ni...
Katibu Mkuu Miundombinu ni Mkurugenzi mgodi...
2008-04-14 09:24:39
Na Mwandishi Wetu
Wakati Rais mstaafu Benjamin Mkapa na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini wa awamu yake, Bw...
BAE corruption investigation switches to Tanzania
· Focus on £28m radar deal with East African state
· SFO's new director due to take over this month
* David Leigh and Rob Evans
*...
Mabibi na Mabwana najitokeza kuuliza swali ambalo nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuhusu mustakabali wa nchi yangu Kisiasa hususani kwa wananchi waishio Vijijini ambako upatikanaji wa taarifa...