Tanesco suffers 1378bn/- loss

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,825
287,849
...with monthly payments of 4 billion shilings to IPTL and 152 million shilings a day to Richmonduli, netgroup problems solutions and songa payments, this was expected

Daily News; Monday,April 14, 2008 @00:01

Tanesco suffers 1378bn/- loss

TUMA ABDALLAH in Dodoma
Daily News
Monday, April 14, 2008

THE Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) suffered a 137.9bn/- loss last financial year, the Controller and Auditor General (CAG) said in a latest report on public firms. The CAG report for 2006/07 financial year notes that the loss is almost thrice the company's loss of 54.5bn/- recorded in 2005/2006.

It attributes the trend to expensive purchases from independent power producers - the Independent Power Tanzania Limited (IPTL) and Songas Limited. The cost of power purchase during the year under review, it says, exceeded revenue generated by over 4bn/-.
"This is a result of prolonged drought which has limited the company's hydro-power generation capacity, forcing it to resort to independent power producers", reads the report. It says as of December 2006, the company's liquidity was in critical phase, as the level of debts reached 87bn/- and the overdraft facility used had reached 65.2bn/-, which was an increase of 42.8bn/- from the previous year.

The company also continued to experience a surge in its debts, due to interest charges and delay in settlements of bills by some clients. The report listed six other public corporations in the red as the Board of External Trade (BET), Dar es Salaam Water Supply and Sewerage Company (DAWASCO) and the National Insurance Corporation (NIC).

Also in the red are Mtwara Urban Water Supply and Sewerage Authority (MTUWASA), Tanzania Posts Corporation (TPC) and the Tanzania Railways Corporation now Tanzania Railways Limited (TRL). TRL has, however, been privatised and operates under the new operator.

Apart from incurring losses for a number of years, the report says the entities have also been experiencing deteriorating working capital, increased operational costs against decreased revenue.

It has recommended for efforts to increase revenue and reduce operating cost, identify and recommend for closure, divestiture or restructuring of loss making units. It has also advised enhancement of employees' motivation to improve performance. The CAG further calls for thorough research prior to privatization of state-owned firms.
 
hata leo serikali iamue kulipa deni zima la Tanesco to zero balance,nina uhakika the next day accounts zao zitakuwa worse zaidi,tatizo sheria za umeme zilizopo ndio zinafanya Tanesco iwe ilivyo na bila kubadili sheria na kubadilisha the way wanavyofanya kazi walipa kodi wataendelea kununua mashangingi ya wakurugenzi na kuhudumia mikataba ya rushwa.
 
Watu wengi wanawaibia Tanesco umeme sababu ya

1. Tariff kubwa kiasi cha kwamba mtu anakuwa na bill kubwa anaona ni bora kuiba umeme kuliko kulipa
2. Wafanyakazi wa Tanesco pamoja na Vishoka wanachangia sana kwenye ili kwani ndo wanausika kukagua mita lakini akikuta unaiba wewe mpe 10,000 anaishia na kukuacha uendelee kuiba ila sasa unakuwa kisima maana kila akichacha anakuja kwako.
3. System nzima ya kukusanya mapato sio nzuri kwani unaweza kuwa unadaiwa hela nyingi lakini ukawaona wafanyakazi wa kurekebisha madeni ukafutiwa kabisa deni lako, hii inatokana na system ya kukadilia matumizi baadala ya kusoma mita na kuwa na watu wa kurekebisha ankara ambazo watu wanalalamika zimekadiliwa vibaya.
Kwa exprince yangu maeneo ya wanaibiwa sana umeme, perhaps wanahitaji kulifanyia hili kazi
 
It is so easz kwa TANESCO kupata hizo hizo billions, wasiwalipe IPTL, SONGAS, DOWANS etc. inakuwaje wanakuwa na deni kubwa kama hilo halafu wanaweza kulipa hayo makampuni tajwa hapo juu jamani?
 
Management ambayo ni accountable. Siyo hii ambayo wao ufumbuzi wao wa kila tatizo ni kuongeza bei ya umeme. Its ineptitudeness was clearly evident in the Tanga Cement saga. They need to go.
 
Kwanza tunajua vimeo ni vipi TANESCO, "Mikataba mibovu - Rich..., Song..., IP..., and the list goes on and on and on.... Sasa kama hatuondoi vimeo hata new management will do the same, NOTHING!!"
 
Kwanza tunajua vimeo ni vipi TANESCO, "Mikataba mibovu - Rich..., Song..., IP..., and the list goes on and on and on.... Sasa kama hatuondoi vimeo hata new management will do the same, NOTHING!!"

Hapana, Mkuu. Hii ya vimeo inaweza kujadiliwa na menejimenti mpya. Menejimenti makini ikiingia ni lazima itatoa conditions za namna gani zinaweza kuleta mabadiliko. Hawa waliokuwepo hamna jipya isipokuwa kila kukichwa kusingizia vimeo na gharama kubwa za uzalishaji bila ya kueleza wanafanya nini kupanua wigo la watumiaji na kupunguza gharama za uzalishaji (ukiondoa vimeo hivyo). Menejimenti mpya iwajibike kwa bodi na ikishindwa iondolewe vile vile hadi apatikane anayeweza. Hata kama ni mgeni mwingine.
 
Hata bila hayo ma-IPTL, Ricmond, Songas na mazagazaga yake, TANESCO bado ni kimeo tu. Jenga nyumba bongo ukawafuate wakuwekee umeme, uone watakavyokusumbua! Yaani hata ukinunua vifaa vyote ukafanya na wiring inavyopaswa, suala la kuungaishiwa huo umeme ni mbinde! Kampuni makini ingechangamkia sana fursa za kupata wateja wengi ili iingize hela zaidi kwa njia ya bili, lakini hawa wenzetu mteja ndiye anayebembeleza kununua huduma! Mapumbavu tu! Mie yalinisumbua sana na siyapendi kabisa haya matanesko, shenzi kabisa! Na nilishangaa mno wabunge walipopinga zisianzishwe kampuni za kushindana na TANESCO, hii nilishangaa kabisa. Tunayo EWURA, inaweza kuweka utaratibu mzuri wa kuratibu hizi kampuni, zikapewa territories na hata zikamiliki mitambo ya kuzalisha na kuuza umeme katika maeneo hayo. Huu ukiritimba wa kijinga unatuzidishia umaskini tu!
 
nasikia siku hizi kuunganishiwa umeme inakaribia Tshs 400,000/= achia mbali usumbufu wa kufuatilia kufungiwa umeme baada ya kulipia. Na wananchi wanaoishi maeneo yanayozunguka
hydropower stations wanatumia vibatari (kwa wenye uwezo kwa kunua mafuta ya taa) au kulala mapema (kwa wasio na uwezo wa kununua mafuta ya taa kwani bei ya lita ni kama Tshs 1000)
 
Tatizo wala sio kulipia, ni kwamba TANESCO wenyewe ni mafisadi tu. Mimi nililipia gharama zote hizo na kununua vifaa hata vile ambavyo wanadai vimejumuishwa kwenye malipo niliyotoa (ni baada ya kudai hawana vifaa, na kunipatia specifications nikavitafute), ah wapi, bado ilinichukua mwaka mzima wa kufuatilia! Halafu ati wanalaumu "vishoka" (ufisadi mwingine), ambao wao wenyewe ndio wanaowajengea mazingira ya kufanikiwa katika "madili" hayo! Mie mwenyewe umeme niliunganishiwa na "kishoka" halafu nikaenda kuhalalisha baadae. Na hata majirani zangu walinicheka sana maana muda wote wa mwaka mzima niliokuwa nafuatilia kwenye ofisi za kifisadi za TANESCO, wenzangu walikuwa wanatumia umeme, nikadhani waliunganishiwa kihalali, kumbe nao waliwekewa na "vishoka"! Haya mambo ya "vishoka" ni mradi wa wakubwa huko TANESCO, wanamwekea mteja mizengwe ili atakapochoka mizengwe apitie kwa kishoka, na ajabu ni kwamba kishoka akishakuunganishia, haichukui mwezi kila kitu kitakuwa halali na unaingia kwenye system ya bill kama kawaida (unless uwe ni mwizi unayetaka kukwepesha umeme usipitie kwenye mita, huduma hiyo pia ipo!). Zipo pia huduma za kupunguza spidi ya mita ulipie gharama ndogo, na hii mafisadi wa TANESCO wanayo mbinu ya kukulazimisha uitafute. Wanachofanya tu ni kukorofisha hiyo mita unakuwa unapata bili kubwa kama vile una kiwanda cha kufua chuma! Ukilalamika wanakuambia ndivyo unavyotumia umeme, lazima ulipe, tena wanakukatia umeme na faini juu! Yakikuzidia utatafuta ushauri kwa waliokutangulia mjini, unaoneshwa vishoka wanakutatulia tatizo! TANESCO pumba tu, hawana maana kabisa!
 
Duh, hiyo sasa kali. Naogopa hata kwenda kumalizia kale kagofu kangu kama mambo yenyewe ndio haya; na kishoka alitaka bei gani? Kwa nini hukuamua kununua solar panel, nadhani inaweza kuwa njia nzuri mbadala kuwaepuka hao mafisadi wa TANESCO.
 
Tatizo wala sio kulipia, ni kwamba TANESCO wenyewe ni mafisadi tu. Mimi nililipia gharama zote hizo na kununua vifaa hata vile ambavyo wanadai vimejumuishwa kwenye malipo niliyotoa (ni baada ya kudai hawana vifaa, na kunipatia specifications nikavitafute), ah wapi, bado ilinichukua mwaka mzima wa kufuatilia! Halafu ati wanalaumu "vishoka" (ufisadi mwingine), ambao wao wenyewe ndio wanaowajengea mazingira ya kufanikiwa katika "madili" hayo! Mie mwenyewe umeme niliunganishiwa na "kishoka" halafu nikaenda kuhalalisha baadae. Na hata majirani zangu walinicheka sana maana muda wote wa mwaka mzima niliokuwa nafuatilia kwenye ofisi za kifisadi za TANESCO, wenzangu walikuwa wanatumia umeme, nikadhani waliunganishiwa kihalali, kumbe nao waliwekewa na "vishoka"! Haya mambo ya "vishoka" ni mradi wa wakubwa huko TANESCO, wanamwekea mteja mizengwe ili atakapochoka mizengwe apitie kwa kishoka, na ajabu ni kwamba kishoka akishakuunganishia, haichukui mwezi kila kitu kitakuwa halali na unaingia kwenye system ya bill kama kawaida (unless uwe ni mwizi unayetaka kukwepesha umeme usipitie kwenye mita, huduma hiyo pia ipo!). Zipo pia huduma za kupunguza spidi ya mita ulipie gharama ndogo, na hii mafisadi wa TANESCO wanayo mbinu ya kukulazimisha uitafute. Wanachofanya tu ni kukorofisha hiyo mita unakuwa unapata bili kubwa kama vile una kiwanda cha kufua chuma! Ukilalamika wanakuambia ndivyo unavyotumia umeme, lazima ulipe, tena wanakukatia umeme na faini juu! Yakikuzidia utatafuta ushauri kwa waliokutangulia mjini, unaoneshwa vishoka wanakutatulia tatizo! TANESCO pumba tu, hawana maana kabisa!

Ndiyo hicho ninachokizungumzia,Mkuu. Hii ya Rich....IPTL....n.k. ni fig leaf tu. Wao wenyewe ni wazembe wakubwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom