Time for Honesty: CCM Members tuelimisheni Watanzania!!

Kapinga

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
727
13
Nina viswali vidogo tuu...wanaccm kadampinzani, yeboyebo, dar-es-salaam na wengine wengi..

Wats the deal jamani?
Wat is going on in ya party?
Mawaziri mliowaweka wanatuangusha on a daily basis na scandal za viongozi wenu haziishi?

je mnahaki ya kusumbua upinzani wakati huu?

Wanajf the floor is open...tusiongee ki siasa tuongee kama WATANZANIA...wats the deal? 2010 inakaribia...kazi gani imefanyika (2005-2008) ya maendeleo kwa ajili yetu watanzania???

figures close to 1 billion usd misused!! Are u guys purposely killing our nation??...you want us to be grouped with KENYA and Nigeria interms of Corruption??
 
Hawawezi kukuelimisha chochote, zaidi ya kudivert threads ziende wanavyotaka wao.
CCM 2010 watashinda unless tukubaliane kuwa sisi tunaojua matatizo yake tufanye kazi ya ziada ya kuwaelimisha waTZ wajue wanaibiwa na vile sh. 2000, kanga, Tshirt na pilau ni hela zao zinazoibiwa EPA.
Lakini hata hivyo unaiondoa CCM kwa alternative gani maana hii nayo ni muhimu sana kujua kabla CCM hajaanguka. Mimi nafikiri tukitaka serikali hiwe ya wananchi raisi atoke CCM na upinzani uwe na absolute majority bungeni, nchii hii itakwenda vizuri sana na ndege ya EL tutaibadilisha na kuiita ndege ya waTZ
 
Kwa mawazo kama haya, nadhani wapingania uhuru wangesema kuwa ni vizuri wakoloni wakabaki ila wananchi wakawa wabunge nk. CCM ni kama serikali ya kikoloni, wanakula bila huruma na hawajali cha mwananchi wa kawaida. Mambo ya kujiuliza kuwa nani atakuwa baada ya ccm sio issue.

Kinachohitajika ni kuwatoa ccm wote kwenye uongozi wa siasa na hayo mengine yanafuata.
 
There people who can run tanzania better that these guys..wengine wao wameamua kuwa nje au walimu vyuo mbalimbali duniani..Sometime i think serikali is purposely not giving many benefits to intelectuals (ma prof UDSM and elsewhere) so they submit to their every calling...wako watanzania wengi wenye hasira kama sisi lakini njaa ndo zinawafanya wanyamaze huku uozo ukiendelea serikalini..nchi inateketea right in front of our eyes..lets do something...wakenya wamekufa wengi so uozo wao upungue and so that the govt doesnt feel like wao ni miungu watu... nchi ni yetu wananchi na serikali ni wafanyakazi wetu...we are the shareholders...sasa naona tuna rogue directors...inapaswa tuwawajibishe 2010.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom