JK awasili USA

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,546
838
Admin na Mods wamegoma kumerge threads za JK

labda nikianzisha hii wanaweza kuzimerge ili tupate mteremko wa mjadala

kuna habri za chini kuwa JK kachomoa safari yake y uk NA HATOKUTANA na wa TZ kama ilivyosemwa hapo awali na nafasi yake itachukuliwa na SHENI

Kama ni kweli basi ndahni ni jambo zuri. Sie wengine ijumaa tuko vibaruani

je habari hizi zina ukweli gani ndani yake
 
#

Amehairisha kwenda Denmark na UK baada yake anakwenda USA (NY) kwa ajiri ya Zimbabwe issues.
 
Admin na Mods wamegoma kumerge threads za JK

labda nikianzisha hii wanaweza kuzimerge ili tupate mteremko wa mjadala

kuna habri za chini kuwa JK kachomoa safari yake y uk NA HATOKUTANA na wa TZ kama ilivyosemwa hapo awali na nafasi yake itachukuliwa na SHENI

Kama ni kweli basi ndahni ni jambo zuri. Sie wengine ijumaa tuko vibaruani

je habari hizi zina ukweli gani ndani yake

GT

wallahi itakuwa safi sana akija SHEIN manake walau tutapata jua khabari za home kisiwani pemba.
 
Admin na Mods wamegoma kumerge threads za JK

labda nikianzisha hii wanaweza kuzimerge ili tupate mteremko wa mjadala

kuna habri za chini kuwa JK kachomoa safari yake y uk NA HATOKUTANA na wa TZ kama ilivyosemwa hapo awali na nafasi yake itachukuliwa na SHENI

Kama ni kweli basi ndahni ni jambo zuri. Sie wengine ijumaa tuko vibaruani

je habari hizi zina ukweli gani ndani yake

Mkuu,

Hili ni confirmed, sasa twende tukamsikilize Shein. Sijui wale waliotoa pesa kwa ahadi kwamba watapiga picha na rais wa nchi itakuwaje?
 
Yaani Mzee wa kutembea ni mikasi hafai kupigwa picha nae? Mie naona ndie hasaa anaefaa kwa shughuli kama iyo ya UK... Wacha asafiri na mikasi yake nje ya nchi....
 
Membe nasikia kwanza ni mnoko, pili hana muda wa kujadili ma dili wala nini

Jamaa ni too competent mpaka anaboa(in the eyes of wanaotaka madili)

anyway mimi nitaenda kupanga vitu shenye shelf za TESCO ijumaa
 
Kwa zama hizi na nchi ilivyo, na anavyoipeleka, kuna watu wanataka kupiga picha naye????
Hivi kweli vioja, unataka kupiga picha na Fisadi Kikwete hili kujisifia vipi, wakati watanzania wote wanajua kuwa huyu ni mtu mbaya sana kwetu??

Jamani ebu tuache mambo ambayo yamepitwa na wakati haya, baada watu wafikilie watambana vipi ili kuelezea uchafu anaoufanya Tanzania, mnafikilia kupiga picha na Fisadi!!

Nyota ya JK huku nje inang'ara kweli kweli. Kuna watu wengi kweli huku nje ambao wanaona JK ni mkombozi Afrika.

Ukiona kila rais au waziri mkuu wa mataifa makubwa yuko tayari kumpokea JK ni dalili tosha kwamba kwa nje nyota yake bado inang'ara.
 
Ukipiga picha na Kikwete sasa hivi unaweza kuwa unajiharibia your political future kama una mpango wa kuwa mwana siasa. Huyu mkuu haijulikani ni nini kitalipuka kesho. Kila siku mambo yanatokea kwa marafiki zake wa karibu kabisa na muda si mrefu inaweza kuwa zamu.

Wanaopanga kupiga naye picha wajihadhari wapinzani wao wasijekuzitumia against them. It might be safe kupiga picha na mzee wa mikasi -Shein!
 
Duh dada!!

Nimeipenda sana hiyo,hata hivyo nachelea kutoa conclusion ninayoifikiria kama ndo hivyo kwa huyu mzee.
 
Wale wanaotaka kuniona basi mie niko London kabla sijarudi kwangu kule maeneo .JK amesha chemsha na London ndiyo hivyo tena JF wamesha tia simu kwenye chakula .
 
Yeah this is better, maana watu wa London walikaliana kooni kwenye ile thread ya maina, sasa mgeni wao waliyemtegemea haji tena. Mzee wa mikasi sio mbaya lakini kwa kuwa hiyo ndo kazi yake hata huku home
 
This says alot about Ubalozi wetu

hivi yule CARO CHIPETA kazi yake ni nini haswa?

ilishindikana vipi kupata taarifa mapema toka MOFA na kuziweka kwenye tovuti ya UBALOZI?

this is a joke right?
 
Wale wanaotaka kuniona basi mie niko London kabla sijarudi kwangu kule maeneo .JK amesha chemsha na London ndiyo hivyo tena JF wamesha tia simu kwenye chakula .

Lunyungu karibu london tule yorkshire wrap kwa guiness mkuu.
 
Nyota ya JK huku nje inang'ara kweli kweli. Kuna watu wengi kweli huku nje ambao wanaona JK ni mkombozi Afrika.

Ukiona kila rais au waziri mkuu wa mataifa makubwa yuko tayari kumpokea JK ni dalili tosha kwamba kwa nje nyota yake bado inang'ara.

No wamegundua kuwa Tanzania ukishaongea na JK kama alivyofanya Sinclair na Bush, unapata kabuzwagi kako kwa hiyo kila mtu anajaribu kujipatia haraka kabla ya kuchelewa!
 
JF im-Draft Shein for President 2010. Naye awe na ujasiri na kuacha woga na nidhamu za kinafiki za ki-CCM, atuokolee taifa letu linaloyumba chini ya huyu Kikwete.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom