Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu hii imekaaje kama wameanza kupigana wenyewe kwa wenyewe? Kuna watu wana hatimiliki ya majimbo? Mbunge CCM amtwanga konde M'kiti UV-CCM Na Mussa Juma, Monduli MBUNGE wa jimbo la Simanjiro...
0 Reactions
92 Replies
14K Views
Nataka tuwapambanishe Mwenyekiti mpya wa UWT, Sophia Simba na Mkurugenzi mpya wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA(BAWACHA), Mama Naomi Kaihula. Tupitie walipopita tuone nani anaweza kuongoza...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
2009-01-17 08:19:00 Fears ahead of UDSM reopening By Beatus Kagashe THE CITIZEN Fears are mounting of possible demonstrations by students who have not yet been recalled to public...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Wanabodi Naomba kwa mwenye habari zaidi atufahamishe kuhusu hili. Katika taarifa ya habari ya jana (3 Novemba 2008) saa mbili usiku, na leo asubuhi (04 Novemba 2008), kituo cha ITV...
0 Reactions
361 Replies
51K Views
Yasema ni wababaishaji wasio na agenda :: Yawahusisha Zitto, Kiwelu na watuhumiwa EPA :: Wao wakiri kuwa na undugu na wanaotuhumiwa :: Mbatia naye awataja kuwa ni waongo wa hoja Benedict...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kambi rasmi ya upinzani kuvunjika hivi karibuni. Hatua hiyo inatokana na msuguano kati ya CHADEMA na CUF. Wadadisi wa mambo wanasema kwamba kwa kanuni za bunge zinasema kwamba chama au ushirikiano...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Gazeti la Mwanahali limekamilisha kifungo cha miezi 3 (siku 90) na sasa lipo mitaani likiwa na habari motomoto juu ya kuibwa kwa nyaraka za EPA pale BOT pia kuhusu mmiliki wa Kagoda. fungua...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Yafuatayo ni mambo ambayo yamekubaliwa kufanywa baada ya uongozi wa Mamlaka ya Bandari, Wizara ya Miundo Mbinu na Ikulu kukutana jana. Hebu tuyaangalie na tuamue ni yapi yalimhitaji Rais na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wana JF; Na hasa unayesoma post hii . . . . Je, ingetokea ukawa Rais wa Nchi hii, ungefanya nini Mwaka wa Kwanza na kwa nini?
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Kuna mzee mstaafu nilikutana naye alinieleza mambo ya ajabu ya namna ya kuinua mauzo ya bidhaa za Tanzania. Aliniambia kuwa Kuna kiwanda Tanzania kilikuwa kinajulikana kama LIGHT SOURCE...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kazi kweli kweli!!!! Kamata hiyo !!!! ================================================== Hokororo: Serikali ina mgogoro na Mwananchi Salim Said MKURUGENZI msaidizi wa Maelezo, Raphael...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mnajimu maarufu wa Tanzania leo ametabiri kuwa mwaka 2009 utakuwa mwaka mgumu kiuchumi (mwaka wa matatizo); pia akadai kuwa mwaka 2010 uchaguzi hautakuwa na kuibiwa kwa kura kama chaguzi...
0 Reactions
73 Replies
14K Views
Today marks the 80th birthday of the late great Dr. Martin Luther King Jr. As I sit here listening to his speeches being played on the radio, I couldn't help but wonder what kind of relationship...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
KAMPUNI hii ya mafuta ambayo inaelekea kuagiza karibu nusu ya mafuta ytanayoagizwa Tanzania, toka EWURA kutangaza kushushwa bei imekuwa ikitufanyia vituko kwa kuhakikisha karibu vituo vyao...
0 Reactions
124 Replies
17K Views
Wana JF, Katika kuhangaikia wanetu wanaorudishwa vyuo Vikuu kwa taratibu ngumu, nilimpa kampani kijana wangu kuelekea SUA. Nimefika kwa mara ya kwanza na kujionea ambayo yamekuwa yakiandikwa...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
UCHAGUZI 2010: :: Ni Chadema v/s CCM Tanzania Bara :: CCM v/s CUF Tanzania Visiwani :: Majimbo 50 tata haya hapa Na Waandishi Wetu UKIWA umebakia mwaka mmoja ili kufikia uchaguzi...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kuna nyumba za NSSF maeneo ya Ada Estate, Kinondoni zilizojengwa pamoja na hospitali ya Tanzania Heart Institute. Zimekaa tu hazipangishwi wala haziuzwi, kuna nini?
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Henry Daffa Shekifu ameitoa eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Burunge (JUHIBU) kwa "Wanakaya" (Dhana Investment) kama wawekezaji pasipo kufuata taratibu za...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
We have a large History which we never even cherish. Mwalimu Nyerere appreared in TIME Cover a paerson of March 1964 you can view article at TIME Magazine Cover: Julius Nyerere - Mar...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inakusudia kuja na orodha mpya ya mafisadi kama ilivyoandikwa katika gazeti la Nipashe (Jumatatu). Tunaelewa serikali ya SISIEMU bado inajikongoja...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Back
Top Bottom