Sophia Simba (UWT) -Vs- Naomi Kaihula (BAWACHA) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sophia Simba (UWT) -Vs- Naomi Kaihula (BAWACHA)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Asha Abdala, Jan 16, 2009.

 1. A

  Asha Abdala JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 1,134
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nataka tuwapambanishe Mwenyekiti mpya wa UWT, Sophia Simba na Mkurugenzi mpya wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA(BAWACHA), Mama Naomi Kaihula.

  Tupitie walipopita tuone nani anaweza kuongoza vizuri wanawake wa chama chake.

  Wote ni wasomi, Sophia Simba ni mwanasheria. Naomi Kaihula ana shahada mbili za biashara.

  Kwa sasa Sophia Simba ni Waziri, wakati Naomi Kaihula ni Mhadhiri chuo cha CBE.

  Waliwahi kuja Zanzibar tukawasikia, mmoja ni mwongeaji kama mtu wa pwani na mwingine huzungumza kinyanda za juu.

  Wote wawili ni wanaharakati wa jinsia. Kama unawajua hebu changia hoja


  Asha
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jan 16, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Itabidi wadahaliane (msianze kunirushia madongo..hili neno nimelitunga mwenyewe nikimaanisha wa debate). Mdahalo ni noun, kwa kiingereza debate ni noun na verb. Sasa verb ya mdahalo kwa kiswahili ndo sijui...lol
   
 3. M

  Mtu wa Kawaida JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Je watakubali kukaa pamoja kwenye huo mdahalo huo?
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Jan 16, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kabla ya hawa kuwe na Mdahalo kati ya Mwenyekiti wa CCM na Mwenyekiti wa CUF, au Mwenyekiti wa CCM na yule wa Chadema n.k kwenye ngazi za taifa.. hao ndio watu wa msingi kuwasikiliza..
   
 5. H

  Habarindiyohiyo JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2009
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 263
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF naona mjadala sasa unataka kuharibika kwa dataz za kudhania vile. Naomba ieleweke kuwa kuna makundi mawili hapa tunayoyaongelea: La kwanza ni kundi la akina Mzindakaya, JK, Karume, Rwakatare n.k. Hawa wana shahada za heshima tu (honoris causa) siyo za kusomea! Chuo chochote kinaweza mtunukia mtu shahada hiyo ya heshima kwa kutambua mchango wake katika jambo fulani. Siku za nyuma hata baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Spika Adam Sapi, Salim Ahmed Salim, Kaunda na Obote walipewa heshima hiyo na vyuo mbalimbali duniani.

  Kundi lenye matatizo ni lile lenye shahada feki na linadai kuzisomea shahada hizo! Kundi hili ni hatari sana maana linaharibu kabisa heshima, sifa na viwango vya elimu nchini. Wafuatao wana vyeti feki vinavyoitia aibu Serikali na nchi kwa ujumla:

  (1) Salmin Amour - Ph.D yake ni feki, ya kisiasa. Aliipata Ujerumani Mashariki enzi hizo kwa miezi mitatu tu huku akiwa na cheti cha form four tu!
  (2) Pius Ng'wandu - Ph.D yake ni feki. Chuo anachodai kusoma cha Stanford, Marekani hakina kumbukumbu zake. Aliosoma nao huko Marekani, akina Prof. Baregu, wanajua kuwa ana Masters tu!
  (3) Mary Nagu - Ph.D yaje ni ya kununua kwenye mtandao.
  (4) Emmanuel Nchimbi - Ph.D yake ya uchumi ni ya kununua. Hana uelewa wowote wa economics kichwani mwake.
  (5) Makongoro Mahanga - Ph.D yake ya ugavi ni ya kununua kama Nchimbi.
  (6) Didas Masaburi - Ph.D yake ilinunuliwa pamoja na ya kaka yake Makongoro.
  (7) Norman Sigallah - Ph.D yake ni ya kununua kwenye mtandao.
  (8) Mafwenga - Ph.D yake sawa na ya Sigallah
  (9) Nangale - Ph.D yake ni kutoka chuo kimoja bomu cha chini ya viwango, London.
  (10) Mathayo David - Ph.D ya kujipachika.
  (11) Mutamwega - Ph.D yake ni feki, ya kununua. Mhusika hawezi kuandika hata sentensi moja sahihi ya Kiingereza.
  (12) Lukuvi - Masters yake ni feki. Kaipata akiwa na sifa za elimu ya darasa la saba na cheti cha ualimu, class C.
  (13) Samuel Chitalilo - Vyeti vyake vya elimu ya juu toka Uganda vyote ni feki. Ana kesi ya kujibu mahakamani!
  Nimepata taarifa mbalimbali kuhusu vyeti vya Wabunge wafuatao: Sigonda, Capt.Komba, Omari Mzeru na Savelina Mwijage. Nazifanyia kazi. Nitazianika hapa muda muafaka!

  Ijabu

  Ijabu kanipa hamasa sana juu ya suala hili. Wote aliowaeleza kweli wana vyeti feki na hata ukiongea nao, ni vihiyo vihiyo wa kutupwa! Naomba niongeze majina mengine kwenye listi la Mhe. Diodorus Buberwa Kamala, Mbunge wa Mkenge na Waziri wa A. Mashariki. Huyu bwana kasoma Mzumbe kama Nchimbi ambako mtandao wa vyeti feki ulianzia na Mkuu wa Chuo hicho Bw. Warioba. Ph.D yake ni feki, ni ya kununua kama hizo za wenzake aliowataja Ijabu. Hata kwenye Bunge la A. Mashariki tunaambiwa anapwaya ile mbaya. Naibu wake, Mohamed Aboud, yeye ndo balaa maana ni form four failure na CV yake inasema uongo kuwa ana diploma ya Uingereza! Wote ni Ze Komedi mbele ya Wakenya, Waganda, Warwanda na Warundi!

  Yupo huyu mama wa Kibaha, Zaibab Gama. Anajiita Dk. wakati ana diploma ya radiology tu! Kuhusu Mbunge Savelina Mwijage (Viti Maalum, Kagera), huyu ana matatizo makubwa maana anatumia jina la marehemu. Taarifa zote zilitoka gazetini, lakini analindwa. Hawezi hata kuandika jina lake, lakini ni Mbunge. Anayebisha aje na ushahidi maana huyu mama namfahamu miaka mingi akiwa mfanyakazi wa ndani wa Mhindi Bukoba.

  Namfahamu sana Mbunge Sigonda. Ni mtu wa usalama wa Taifa aliyeishia darasa la nane. Leo naambiwa ni Dk.! Hebu tupe dataz Ijabu na wana JF wengine. Capt. Komba yeye ni msanii na mwizi asiyestahili kujadiliwa hapa maana anawaibia hata wasanii wenzake dani ya TOT. Mzeru wa Morogoro yeye ni mafix moja kwa moja. Hana udaktari wowote! Alijipachika udaktari kuombea ubunge na unaibu waziri kwa JK!

  Agustino Lyatonga Mrema - Pacific Western University, a diploma mill. Yeye alipoenda kuchukua hiyo "degree" alikwenda na matarumbeta kibao, vifijo na nderemo.

  Mustafa Mkullo - Almeda University, a diploma mill. Kule youngafrican.com nakumbuka ilisema eti chuo chake kiliwahi kutoa associate degree kwa mbwa anayeitwa "Wally" mali ya mwandishi mmoja wa habari huko Marekani (In 2004 the CBS affiliate in Albany, New York, ran a report on Almeda that featured Peter Brancato, who had filled out an application for an associate degree on behalf of his dog, Wally. Part of the "life experience" listed on the application was "Plays with the kids every day ... teaches them to interact better with each other ... Teaches them responsibilities like feeding the dog." Almeda granted Wally an associate's degree in childhood development with a course list including European culture, college algebra, American history, and public speaking.[13] In reply, Almeda claims Brancato perjured himself by creating a false identity using a fabricated name and date of birth. They write, "He completed an application that included a background of the following: Eight-years tutoring pre-K children, curriculum design and development, teaching coping skills, and volunteer coaching."" Almeda University - Wikipedia, the free encyclopedia

  Kama sijakosea waheshimiwa wengi sana wana degrees kutoka chuo cha Washington International - I think even Sofia Simba anayo ya huko (sasa Mwanakijiji asije akanishambulia kuwa namtendea vibaya interviewee wake!!!!)
   
 6. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2009
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huyo mwingine wa CHADEMA simjui, lakini tukianza na huyu Mama Simba naweza kusema mama wa CHADEMA lazima atakuwa bora zaidi kwa sababu mtu yeyote huwezi kuwa mbaya zaidi ya Mama Simba alivyo.

  Mama Simba anaulizwa kwa nini unataka vyeo vyote hivyo, uwaziri, ubunge, UWT, and so forth, anajibu, "Uenyekiti wa UWT ni almost ceremonial tu."!!!

  Mwenyekiti wa chama cha wanawake anakwambia kwamba kazi yake yani ni titular tu. Eti uendesha chama ni kazi ya katibu. Yeye ni kama figure head tu kawekwa pale. Kwa hiyo anataka nini, ujiko tu? Au apate sitting allowance za mikutano, maana anajua kitumbua cha uwaziri kinaweza kuingia mchanga 2010, maana ubunge wenyewe wa kupewa tu. Sasa huyo mtu atasaidiaje wanawake na chama chake kama cheo chake anakiona ni "ceremonial" ?????

  Halafu akaendelea kuchemsha akasema something like "niko hapa naangalia ni jinsi gani nitamsaidia katibu ku run UWT"!! Sasa hebu nambie, mwenyekiti anayaeleza hivyo majukumu yake.

  Anaulizwa kuhusu Rais kum-kampeinia kuhusu elimu yake, anasema "ulitegemea Rais aseme tuchague wasiosoma?" Yani anakubali kwamba Rais alimpigia debe!

  Anasema anataka UWT iwe sehemu ambayo mwanamke akija na kesi za mume waweze kumwonyesha pa kwenda! Hiyo ndio vision yake na direction ya Jumuiya anayotaka "kumsaidia katibu" kuwapeleka!

  Anasema, listen to this Asha, kiongozi wenu wa wanawake Tanzania anasema hiviii, "katika karne hii ya utandawazi mwanamke amepata majukumu zaidi, kwa sababu wanaume wamekosa kazi kutokana na technolojia mpya hii, siku hizi kazi za maofisini zimekuwa finyu, wanawake wanaweza kufanya kazi nyingi ambazo sio za kuajiriwa, inabidi wawezeshwe..."!!

  Yani Asha, nyinyi wanawake, Sophia Simba anamaanisha, you are good at, na muendelee kuwezeshwa kuwa good at, kusuka ukili, kupika maandazi, kuuza mama ntilie, kuchumishwa mboga!

  I am not making this up, maneno hayo kwenye nukuu kayasema jana/juzi.

  Halafu Waziri Simba mwisho akamtaja Rajab Maranda kama mfano wa wasomi ambao wamefanya ufisadi. Well, huyu Maranda bado hajashindwa kesi mahakamani, Waziri huwezi kutamka kwamba Maranda ni fisadi!!! Eti jamani Waziri wa Nchi ofisi ya Rais wa Tanzania hajui hicho kitu. Halafu una run campaign platform ya usomi?! Huyu ndio kiongozi wa Umoja wa Wanawake wa CCM, Taifa? Katika wanawake wote wa CCM duniani, ni huyu Sophia ndio wamemwona poa!

  Hahahaha aa aaaaaaaaa!
   
 7. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Huyu walikataa uchaguzi wa 2005 asidahaliane na wa upinzani kwani walimpania kuweka wazi mambo yake ya binafsi. Ila kama mdahalo unakuwa wa masuala ya nchi hapo mimi sioni haja ya kuogopana kwani kuna mdahili (debate modirator) mtu akitoka nje ya mada anamrudisha.
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Jan 16, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  ipo kwenye kamusi hiyo...?
   
 9. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #9
  Jan 16, 2009
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  Kuhani...! You made me laugh. It's incredible to hear I may say.

  Habarindiyohiyo, that's a good analysis; hoping you'll be back soon as you seem to have more dataz as indicated below:

   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Jan 16, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Yasije yakawa kama yale ya dokta masau....ooops samahani Max....I didn't mean to hijack the thread...
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Ili tuwe an wigo mpana wa "kuwatandika fito" inabidi waandaliwe mdahalo wa wazi(online may be?)
  binafis wa Chadema simfahami vema......lakini kwa nilivyomsikia Msomi Mwenyekiti wa UWT Waziri Sophia Simba(Mb) mhhh Kuhani kamaliza.....
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Jan 17, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  dogo naona tokea Invisible akudunge ile sindano umekuwa na adabu sana...
   
 13. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Sindano ipi?
  YNIM kapotezwa jumla jumla nini?
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Jan 17, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  heheheheee....na yeye nilimwonya lakini hakuwa msikivu. tatizo lake yeye anapenda kuniiga iga wakati anajua hana teflon coating niliyonayo mimi...ehehehehehehe....wenye wivu (wale wawili) wabusu gluteus maximus yangu (zangu) bwahahahahahahaaaaa
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jan 17, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  heheheheee....na yeye nilimwonya lakini hakuwa msikivu. tatizo lake yeye anapenda kuniiga iga wakati anajua hana teflon coating niliyonayo mimi...ehehehehehehe....wenye wivu (wale wawili) wabusu gluteus maximus yangu (zangu) bwahahahahahahaaaaa

  now watch, kuna mtu atahifadhi hii post na kuja kukumbushia baadae.
   
 16. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Hii thread angetusaidia sana....mwambie apunguze hasira....... naona CEO(kama anavyoita mwenyewe) kamkalia kooni tehe tehe....
   
 17. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Sasa mmehamua vipi? walumbane, wasutane, wadahaliane au wa-debat-iane ??
   
 18. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2009
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Asante Kuhani, if this is actually what Sophia Simba said in her interview which I need extra motivation to listen to, then women who chose her in the first place do not have a clue of what are women issues and needs.

  What a shame!!!
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Jan 17, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Bimkubwa my friend, hakuna haja ya kushangaa wanawake hao kumchagua huyo Mama hususan kama Watanzania hao hao walimchagua Kikwete kuwa raisi.
   
 20. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #20
  Jan 17, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Sophia na JF, I mean what a kitendawili? Kuna nini hasa maana this whole thing is very strange, viongozi wangapi wametukanwa hapa tena tumewatukana bila huruma wala aibu na biila sababu za msingi, leo ya huyu Auntie Sophia ameleta kiburi na dharau hapa tena hana hata aibu, halafu eti big deal hivi kunani hasa?

  - Wanasema panapofuka moshi chini kuna moto, hapa behind hii ishu ya Sophia na JF, kuna siri na kitendawili kizito sana, lakini tutakivumbua very soon, otherwise this is incredible!
   
Loading...