Kulikoni nyumba za NSSF Ada Estate? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni nyumba za NSSF Ada Estate?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Katikomile, Jan 9, 2009.

 1. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Kuna nyumba za NSSF maeneo ya Ada Estate, Kinondoni zilizojengwa pamoja na hospitali ya Tanzania Heart Institute. Zimekaa tu hazipangishwi wala haziuzwi, kuna nini?
   
 2. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mhh! utterly those properties were sold through open tender. But it appears the company which won the tender could not service its obligation in time to finalize the deal. May be the same is still pending lets find out.
   
 3. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Jamani hizi nyumba zimejengwa using NSSF contributors' money, and like any other investment, there must be a return on investment. lakini inaonesha kuna kijiharufu cha ufisadi ndani yake. Mpaka sasa ni mwaka wa nne nyumba zipo tu zinaoza. Waliotaka kununua nao walishindwa baada ya skendo ya EPA kuibuka. It seems like NSSF is totally confused over this saga. Mwanakijiji hivi ka-inzi kako kanawezatusaidia kunusa kunani pale??????????
   
 4. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Jamani wadau mbona kimya? Mwenye fununu atumwagie hapa!
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ndugu yangu;

  Kama umechunguza, kuna ka-utamu kanaondoka JF kidogo-kidogo... sijui watu washachoka au ndio economic crisis

  Zile nyumba wali-inflate prices, shimo halijatema, i hope new director of investiment atakuwa more realistic and aggressive kuepusha ufujaji wa michango yetu
   
 6. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu hili la apartments za NSSF ADA ESTATE thank god ninalielewa vizuri na ninaomba nilitolee ufafanuzi.Ni kweli nyumba hizi ziliuzwa kwa tenda ya wazi.Waliotenda walikuwa ni zaidi ya mia moja na mshindi halali alipatikana na akalipa down payment kama ilivyo ada.Baadaye mnunuzi huyu alimalizia malipo yote na kukabidhiwa mali yake.Sasa huyu mnunuzi kama hajahamia hayo ni ya kwake na mipango yake.Si haki kila mfanyabiashara kumtuhumu eti ni EPA,wengine wana mipango yao halali ya kupata pesa kama hawa walionunua hizi apartments na ushahidi wa uhalali huu upo.tuwatendee haki.
   
 7. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Zile nyumba ni zangu,nimeuziwa hivyo kaeni kimya.
   
 8. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ndugu Bishanga, jaribu kuchunguza vizuri inasemekana mnunuzi aliishiwa pesa esp after EPA scandal. Hivi ni mnunuzi gani au investor gani akae na nyumba kwa miaka takribani mitatu eti ni matakwa yake na mipango yake, NEVER ON EARTH MAN!!!!!!! Ada estate rent zake ni kama za Masaki due to proximity to town and other locational advantages.Iweze mwekezaji aachie nyumba ziendelee kuoza kwa wakati huu ambao rent ziko juu eti ana mipango yake? au anasubiri rent zishuke ama economic crisis?
   
 9. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  mjasiriamalishupavu(brave entrepreneur) hivi unajaribu ku insinuate nini hasa? kuwa muwazi,au wewe ni mmoja wa walioshindwa kufika bei? kama umekuwa na ujasiri wa kufungua hii thread basi pia kuwa na ujasiri wa ku find out kama NSSF ilipata faida au hasara katika transaction hii na hilo litatusaidia wote,vinginevyo no research no kuongea.
  ps:ukipata jibu la swali hilo usiache kuli post hapa ili ulimwengu mzima ujue ukweli.
   
 10. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mwana JF Bishanga, mbona unakuwa mkali mkuu? Inaonesha huko jikoni NSSF, and so it's like you are being attacked directly.

  I think I made it clear that much as property investment is concerned, No any investor would stay with dead portfolio, I say NEVER. Kubali tu Bishanga kwamba huyo unayemwita Mnunuzi/Mwekezaji hajamalizia kulipa ndo maana hawezi kufanya chochote.

  Nafikiri hapa jamvini tupo wadau wengi wanoweza kutuletea data za kutosha. Let's be logical Bishanga. Hizi nyumba zimekaa muda gani idle? Pesa zilizojenga ni za wanachama si za Dau wala Kapuya.
   
 11. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2009
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Mkuu Bishanga.

  Kwa vile umesema hii ishu unaielewa vizuri basi tuambie tu nani ni mmiliki wa hizi nyumba. Kwa vile ziliuzwa kwa open tenda basi lazima jina lake lilitajwa wazi. Kama alivyoainisha Mjasirimalishupavu, mfanya biashara kukaa na portfolio miaka yote hiyo haiingii kichwani hasa ukizingatia kuwa ni lazima anazilipia kodi kibao!
   
 12. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Zile nyumba kodi is not realistic too high hazipangishiki.
   
 13. M

  Mafuchila JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2009
  Joined: Apr 29, 2006
  Messages: 752
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Bishanga anataka tumpe mji ili ajibu kitendawili!!!
   
 14. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #14
  Jan 15, 2009
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kuna tetesi zile nyumba zilinunuliwa na Quality Group
   
 15. A

  August JF-Expert Member

  #15
  Jan 16, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  sasa Insider ameshindwa ku-spell Quality Group? Basi walau angeandika Yusuf Manji
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Jan 16, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kweli pesa sabuni ya roho, kila kitu wao... Dah!!
   
 17. Kiumbemzito

  Kiumbemzito Member

  #17
  Jan 16, 2009
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 31
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Mtu akishanunua kitu silazima akitumie kwa lile unalofikiria wewe! Hapo watu walinunua kiwanja na sio nyumba! Kodi inayotozwa hapa bongo ni sawa na kumpamtu bure akae akulindie! Eneway inshort pale watu wamelipia Kiwanja!!!!
   
Loading...