Mwanahalisi larudi likiwa na habari mpya juu ya EPA

Nemesis

JF-Expert Member
Feb 13, 2008
5,462
4,364
Gazeti la Mwanahali limekamilisha kifungo cha miezi 3 (siku 90) na sasa lipo mitaani likiwa na habari motomoto juu ya kuibwa kwa nyaraka za EPA pale BOT pia kuhusu mmiliki wa Kagoda.

fungua attachment.
 
Attachments

  • Mwanahalisi.pdf
    750.4 KB · Views: 420
Mkuu i wonder whether hii ni kweli. Inaweza kuingia akilini mwako kuwa nyaraka za EPA zimepotea? au ndio tunpigwa bao!
 
inabidi Prof. Ndulu awe mkweli aeleze kinagaubaga nini kimetokea. Hali ilivyo kwasasa chochote kinawezekana katika nchi yetu.
 
hiyo kesi ni ngumu mno kwa serikali, labda JK ajitoe muhanga na aweke uswahiba pembeni, lakini nje ya hapo hizo ni adithi tu tutasikia EPA wadogo wakikamatwa lakini vingune sio kwa JK
 
Mkuu i wonder whether hii ni kweli. Inaweza kuingia akilini mwako kuwa nyaraka za EPA zimepotea? au ndio tunpigwa bao!

Kwa kweli kuna tatizo katka habari. Nyaraka za EPA, Kagoda na Deep Green!!!!! Deep Green haipo ktk EPA. Pili hazikuibwa bali zilichukuliwa na UWT, wakiongozwa na Mzee Elisifa Ngowi, ambaye naye anatajwa ktk EPA

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/19940-epa-na-mambo-yake-25.html

UWT walikwenda BoT na kuvunja makabati baada ya Ballali kufa
 
kama kuna kosa waseme mtu kutoa maoni au alichosikia,kama hakuna kosa basi na waseme walichokifiria kuwa ni kosa mpaka dhabu itolewe ie hukumu na itekekelezwe mpaka mwisho MAANA YA UHURU NI NINI NA SHERIA YA KILINDA MAKOSA IKONAMA GANI JAMMAAANIII
 
\fafanua, hueleweki
 
Kwa kweli kuna tatizo katka habari. Nyaraka za EPA, Kagoda na Deep Green!!!!! Deep Green haipo ktk EPA. Pili hazikuibwa bali zilichukuliwa na UWT, wakiongozwa na Mzee Elisifa Ngowi, ambaye naye anatajwa ktk EPA

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/19940-epa-na-mambo-yake-25.html

UWT walikwenda BoT na kuvunja makabati baada ya Ballali kufa

Samahani mkuu unapoandika UWT nadhani humaanishi Umoja wa wanawake, right? :)
Seriously, ni vyema ishu hii ikaendelea kupigiwa kelele kwa sababu ni ishu ngumu sana. Kama hatuwezi kuamini vyombo vyetu vya usalama maana wao ndo wahusika wakuu katika uhalifu basi nchi hii inaelekea pabaya sana.
 
Mkuu anaposeam UWT anamaanisha Usalama Wa Taifa. Hawa ndiyo wanahusishwa na kuvuruga ushahidi wa EPA kwa kuyawahi mafaili na nyaraka za EPA, Deep Green na Kagoda kule BRELA na BOT.
 
Hizi Kagoda na Deep Geen inawezekana ni za mtu/watu wakubwa sana katiaka nchi hii na si Rostam. Rostam asingeogopwa kiasi hiki. Hata Waziri Mkuu Pinda amesema anashangazwa na uamuzi wa DPP kutowafikisha mahakamani Kagoda. Sasa ndo tunaambiwa nyaraka zimeibiwa. If you read between the lines you must guess Mkapa or Kikwete or CCM as political part ndo wanahusika na Kagoda na Deep green na si vinginevyo.
 
Kwa kweli kuna tatizo katka habari. Nyaraka za EPA, Kagoda na Deep Green!!!!! Deep Green haipo ktk EPA. Pili hazikuibwa bali zilichukuliwa na UWT, wakiongozwa na Mzee Elisifa Ngowi, ambaye naye anatajwa ktk EPA

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/19940-epa-na-mambo-yake-25.html

UWT walikwenda BoT na kuvunja makabati baada ya Ballali kufa

Kwa kweli habari inachanganya sana kwa sababu hata ukiisoma haionyeshi vema hilo suala la kuibwa kwa nyaraka. Kichwa cha habari kimekaa authoritative wakati kule ndani hakuna supporting atribution ya kuthibitisha kuwa kweli nyaraka zimeibwa.
 
Hizi Kagoda na Deep Geen inawezekana ni za mtu/watu wakubwa sana katiaka nchi hii na si Rostam. Rostam asingeogopwa kiasi hiki. Hata Waziri Mkuu Pinda amesema anashangazwa na uamuzi wa DPP kutowafikisha mahakamani Kagoda. Sasa ndo tunaambiwa nyaraka zimeibiwa. If you read between the lines you must guess Mkapa or Kikwete or CCM as political part ndo wanahusika na Kagoda na Deep green na si vinginevyo.

Mimi nadhani ni Kikwete, ingekuwa Ben ingekuwa rahisi sana kumlipua yule sasa hivi hakuna aneogopa kumlipua! wasingemuogopa keshatota tayari.
JK anauhusiano wa karibu sana na wezi wa Kagoda na Deep Green.
Kwa kagoda mtajwa mkuu Rost Tam ya Mzizi ni best wake mno, ambaye JK mwenyewe alikiri wakati wa mchakato wa uchaguzi mkuu uliopita kuwa hatakaa waachane nae kwani ni rafiki wa siku nytingi mno!
Kuhusu Deep Green Finace, wote tunajua kulikuwa na mkono wa mwanae pale, mteule wake Masha alikuwemo na mhesimiwa Jaji aliye mteua kutoka mlemle!
Nadhani waandishi wetu na vyama vya siasa vina subiri tu nae aje astaafu ndiyo waanze kumvurumishia kashfa na kutaka kumuondolea kinga ya kutoshtakiwa. Sasa hivi ni kujikomba mtindo mmoja!
 
Back
Top Bottom