Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Nduguye shahidi Lema naye afariki 2009-04-05 11:50:08 Na Mwandishi Wetu, Jijini Raphael Mtaki ambaye ni ndugu wa karibu wa yule shahidi muhimu katika kesi ya akina Zombe, Rashidi Lema...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nchi ya North Korea kwa miongo mingi sasa imekuwa ikitengwa katika mambo mengi ya jumuiya ya Kimataifa nakuwekewa vikwazo vya kila aina. Na yenyewe ikiwe imejitenga kwa mambo mengi inashangaza...
0 Reactions
52 Replies
8K Views
Serengeti buys 32 rhinos from South Africa MUGINI JACOB in Serengeti, 6th April 2009 @ 02:52 Serengeti National Park (SENAPA) is providing special security training to game rangers as part of...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Serikali iliifuta BAWATA kwa kigezo kwamba inajihusisha na siasa. Ikaifuta NYF kwa sababu ya kujihusisha na siasa, ingawa miaka michache baadaye serikali ikatoa sababu tofauti katika maelezo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Pengine nizue mjadala ambao unalenga utitiri wa vyama vya siasa nchini Tanzania. Vyama ambavyo vimekuwa haviiletei tija siasa ya Tanzania, kwa maana ya kuchagiza mabadiliko ya kweli na demokrasia...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Dr. Slaa, mimi nakuunga miguu na mikono yote juu ya hili. Dk Slaa kuanika hadharani nchi nzima posho za wabunge Na Mussa Juma, Arusha. MBUNGE wa jimbo la Karatu, Dk Willibrod Slaa (Chadema)...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Mwezi Machi, nilipata wasaa wa kushiriki mkutano wa wananchi katika mtaa wa Kwembe, mkutano mambo kadhaa niliyatakari siku hiyo yaliyonifanya niandike makala ifuatayo ambayo naamini maudhui yake...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo ninao wakina mama wanaojifanya wanaharakati……ukiwasikiliza unaweza kuzima fegi kwa maneno ya ya kiharakati dhidi ya wanawake… …..kilichonisukuma kuanzisha hii thread ni majuzi mlisikia...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nchi inavyotafunwa 2009-04-05 12:41:01 Na Abdallah Bawazir Tanzania inaendelea kupoteza mamilioni ya fedha kutokana na serikali kusuasua kupeleka bungeni muswada wa sheria itakayoongoza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rostam, Lowassa wafumwa kikaoni Vyote vyafanyika ofisini kwa bw Edward Lowassa Katibu Mkuu CCM, Makamba abainika alikuwepo Vilifanyika Alhamisi wiki hii na vingine Jumatatu wiki hii kuanzia saa...
0 Reactions
72 Replies
10K Views
Hali ya kisiasa ya zanzibar ilivyo sasa hivi ni kama burundi au rwanda. Zanzibar hakuna upinzani wa kisiasa bali kuna ukabila. Waunguja wanapigia kura ccm na wapemba cuf. Kwa mantiki hiyo...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
KILIMO KIKUBWA, UTUMWA MPYA (1)... YAMEKUWA HAYA! UTUMWA??? Na Joseph Mihangwa 0713-526 972 jmihangwa@yahoo.com Mwanahalisi Issue # 130, April 1-7 KATIKA hali isiyotarajiwa, na pengine...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
naomba ufafanuzi Mkuu wa wilaya, Mtendaji na Mjumbe majukumu yao hasa ni yapi? je mkuu wa willaya na Mkurugenzi wa manispaa/halmashauri nani ni bosi na mipaka ya majukumu yao ikoje.
0 Reactions
1 Replies
5K Views
KWANINI WATANZANIA WANAMLAUMU MWALIMU NYERERE KWA KUKOSA ELIMU? Sababu mbalimbali ambazo wametoa wadau ughaibuni Hivi karibuni nilikuwa nje ya nchi nikakutana na watanzania waishio nje ya...
0 Reactions
304 Replies
36K Views
"Rais Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) Mwenyekiti wa chama cha CUF, Profesa Ibrahim Lipumba (kushoto) na Katibu Mkuu wa CUF Seif Shariff Hamad wakitoka nje ya ukumbi wa Hoteli ya Lamada Dar es...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waziri Masha, Mweka Hazina Mansor washtakiana CCM Na Frederick Katulanda, Mwanza UGOMVI wa kugombea majimbo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) sasa umehamia katika Mkoa wa Mwanza baada...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tuna fish storage charges pile up: as court dilly-dallies with fish sale permit SAYUNI KIMARO THIS DAY Dar es salaam THE government of Tanzania is set to pay a hefty price for keeping...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mbowe amvaa Kikwete • Ambeza kutangaza kufunga mjadala wa Dowans na Edward Kinabo Tanzania Daima~Sauti ya Watu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, leo amekaa meza moja na Mwenyekiti wa CUF, Prof. haruna Lipumba na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharrif Hamadi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nyie wana JF endelezeni kwenu na sio kujichimbia Ulaya na Dar tu kwi kwi kwi!!!! Waziri Mkuu ashawishi wazawa wa Rukwa kuwekeza kwao Na Peter Edson WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amewataka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…