Majukumu ya DC,Mtendaji na Mjumbe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majukumu ya DC,Mtendaji na Mjumbe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by newmzalendo, Apr 6, 2009.

 1. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2009
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  naomba ufafanuzi Mkuu wa wilaya, Mtendaji na Mjumbe majukumu yao hasa ni yapi?
  je mkuu wa willaya na Mkurugenzi wa manispaa/halmashauri nani ni bosi na mipaka ya majukumu yao ikoje.
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  mengine sina uhakika nayo sana ila la nani ni bosi nadhani hawa wanafanya kazi katika mifumo taofauti yaani serikali kuu na serikali za mitaa, hivyo hauwezi kuwa rank pamoja.
  pia unaposema mtendaji unamaanisha ni afisa mtendaji wa kata au kitu kingine, pia mjumbe unamaanisha mjumbe wa nyumba kumi au mjumbe gani? Majibu ya maswali yako yote tafuta sheria namba 7 ya 1982 ya serikali za mitaa.
   
Loading...