Kwa mtu anayefuatilia uandishi na maoni ya mhariri wa Tanzania Daima utagundua kubadirika kwa kiasi kikubwa. Kwa siku za karibuni amejitokeza kuwa mtetezi mkubwa wa Dowans na RA. Nahisi alichopewa...
Zitto ameondoka leo alfajiri kuelekea Uingereza na baadaye, Hispania. Taarifa ya Chadema iliyosainiwa na Ofisa Habari wake, David Kafulila imeeleza.
Kafulila amesema Uingeza ataongoza Kongamano...
Wazalendo wenzangu,kwa kipindi cha takriban miezi 12 nimekuwa najiluliza tume za zinazoundwa na raisi/serikali ziko ngapi?na utendaji wake nani anajukumu la kuufuatilia.
Naona na Nadhani kuna...
Mbunge Kilango aandaliwa mkutano na waandishi wa habari bila kujua
Na Jackson Odoyo
Date: 3/23/2009
MBUNGE wa Same, Anne Kilango amedai kuwa alipangiwa kuzungumza na waandishi wa habari kwenye...
Kuna taarifa kwamba Zitto Zubeir Kabwe na Peter Serukamba wanatarajiwa/wanafanya/wamefanya press conference ya pamoja jijini Dar es Salaam leo.
Sina hakika kama wanazungumzia nini, lakini...
Mbunge wa Nzega aingia matatani
Fidelis Butahe
MBUNGE wa Jimbo la Nzega mkoani Tabora, Lucas Selelii amelaumiwa kwa kauli anazodaiwa kutamka kwamba kila mtu anayetaka ubunge akagombee kwao na...
Mkazi wa Mtoni Kijichi akishiriki kuzima moto uliotekeza makazi ya mama mmoja hivi. Nilipoiangala picha hiyo nilibakia kujiuliza kama juhudi zetu katika mapambano haya zinalingana na uzito wa kazi...
Watanzania tunashambuliwa kwa mengi, vyombo vya habari ni mojawapo ya zinazotumika. ...
Magazeti mawili ya The Citizen na The East African yanaandika habari kwa mtazamo na ushabikiaji wa Kenya...
Gazeti la Africa Confidential liliandika kwa kirefu..mengine ni kutokana na "vitoto vya nzi" ambavyo havituliiuko uarabuni..
Zilitolewa Aprili 2005
It was campaign funds for his election
Given by...
Miaka 32 ya CCM na visheni iliyokwenda kombo!
Johnson Mbwambo Februari 11, 2009
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
WIKI iliyopita chama tawala cha CCM kiliadhimisha miaka 32 tangu...
Sikumbuki kuwaona hawa wenzetu wakishiriki jeshi la ulinzi au angalau kwenye upolisi. Lakini wametawala nchi kiuchumi kiasi cha kupata kiburi cha kubadili hata majina ya mitaa bila kujali wazawa...
Pamoja na ushabiki wangu mkubwa kwa Baba wa Taifa nikiwa mwanafunzi wake nambari moja katika mwamko wa kifikra nimekuwa na matatizo makubwa sana ya kifikra na baadhi ya maamuzi, hatua au mipango...
Wakati uchunguzi dhidi yake kuhusiana na tuhuma za kuhusishwa na rushwa itokanayo na manunuzi ya rada ya bei mbaya wakati akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ukiendelea, Mbunge wa Bariadi...
BoT hit by another mysterious cash loss
THIS DAY
Dar es Salaam
CONTROVERSY surrounds the mysterious disappearance of a large consignment of local currency notes with a value running...
Dar port fraud: Kikwetes list of shame out soon
The Dar es Salaam port terminal: The government blames local importers for turning the facility into a storage base, causing massive...
Na Edward Kinabo, Moshi
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, amesema fedha zilizodaiwa kurejeshwa baada ya kuibwa kwenye Akaunti ya Malipo ya Madeni Nje...
What can I say.. you lead by example!
Kwa mujibu wa Michuzi Makamu wa Rais akiwa kijijini cha Misenyi huko Kagera ambako yuko katika ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo. Alipewa...
Anusurika kifo akidhaniwa albino
* Wavuvi waliomvamia wauawa na wananchi
* Mwingine anaswa na mifupa ya binadamu
NA PETER KATULANDA, MWANZA (Uhuru)
MWANAFUNZI wa darasa la kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.