Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi hili neno miundombinu maana yake hasa ni nini????? Kila mara ukisikia viongozi wetu wakizungumzia miundombinu utakuta wanazungumzia barabara..... Sasa mpaka watu wa kawaida wameshazoea kuwa...
0 Reactions
4 Replies
15K Views
http://www.youtube.com/watch?v=FCbfp6LO1ng
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu tupeane updates Mie nimetoka kupiga kura lakini,nimeshindwa utaratibu ni mbaya kupita kiasi. Oroadha ya majina ya wapiga kura ambayo ilibandikwa jana imelowa yote na mvua ya jana-mpaka sasa...
0 Reactions
49 Replies
7K Views
MAJI ya Mto Tighite ambayo yanalalamikiwa na wananchi wa Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara, yamethibitika kuwa hayafai kwa matumizi ya binadamu kwa kuwa yana sumu inayoua pole pole viumbe hai...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hakuna chaguzi ngumu kwa vyama vya upinzani kushinda kama hizi za mitaa. Hata hivyo, katika hali inayoonesha mwanga mpya, majimbo matatu ya mkoa wa Kigoma yanaonesha kukubalimabadiliko ya kweli na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Date::10/26/2009'Huu si wakati wa kubeza Kilimo Kwanza'Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Mtandao wa Wadau wa Kilimo wa Asasi za Kiraia (Ansaf), James Davey amesema huu si wakati muafaka wa kuanza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
DASSU STEPHEN, 26th October 2009 @ 12:34, Daily News There are 168.8 million Africans in the Diaspora, JK: Help Africans out of poverty AFRICANS in the Diaspora should help governments on...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila mara naisikia sauti ya Nyani Ngabu Julius ikisema Miafrika Ndivyo Tulivyo. Kisha kwa mbali Bob Mkandara hunguruma watu na mazingira. Kisha FMES humalizia kwa kusema viongozi wetu ni image...
0 Reactions
79 Replies
9K Views
IPTL Saga, Benjamin Mkapa Richmond/Dowans saga, Jakaya Kikwete! Ukirudi kumsoma Brian Cooksey, na varangati zima la IPTL, unabakia kushangaa na kuduwaa. Nimeisoma ripoti ya Cooksey tena leo...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Imefika wakati wa Vyombo vya habari kuanzisha mijadala "debate" kati ya watu wanao unga mikono agenda za serikali na wale wanao pinga. Mfano swala la Tatizo la umeme ningependa kuona Wapinzani na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwandishi Wetu Oktoba 21, 2009 RAFIKI yangu mmoja aliwahi kusema kuwa ufisadi ukikoma nchini "tutaandamana". Alikuwa anawazungumzia watu wote waliolifanya jiji la Dar es Salaam kuwa maskani yao...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi ni Li-Ugonjwa gani hili Tanzania? nilikuwa Dar wiki kadhaa zilizopita, nimeona kila kona iwe asubuhi, mchana au jioni, watu wako kihovyohovyo, vijiwe kibao, kuzurura kila kona, watu...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Kikwete abadilisha wakuu wa wilaya. Atengua uteuzi wa DC Temeke Na Elisante Kitulo 24 October 2009 RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko madogo ya vituo vya kazi kwa baadhi ya wakuu wa Wilaya...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
hello wadau, nilikuwa nasikiliza STARTV kipindi cha Tuongee Siasa na uchumi. mtaalamu toka Policy Forum kabainisha kuwa kumbe tayari rasimu ya Sera ya Madini imeshatayarishwa na itajadiliwa katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kabla ya kutimkia huko yanakobebwa maboksi, huyu Bwana aliliachia taifa maneno haya; WITO KWA WANANCHI KUHUSU KUKABILIANA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA, HUSUSAN AIBU YA UCHAFU 02 AGOSTI, 2009...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Huu uchafu wa Dar, mnamsubiri nani awafanyie kazi na awasafishie jiji lenu? Ikiwa mna mamlaka na nyenzo, je mnahitaji nini? Kikitokea Kipindupindu, mtamlaumu nani?
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Leo tarehe 24 Oktoba ni Siku ya Umoja wa Mataifa lakini pia kwa hapa nchini ni siku ya mwisho ya kampeni za uchaguzi wa vitongoji, vijiji na mitaa. Upigaji kura ni tarehe 25 Oktoba, 2009. Kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi(RPC) Bakar Khatib Shaban, ametoa onyo kali kwa chama chochote kitakachojihusisha na fujo katika zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Frederick Werema (55), amesema ana msimamo na haogopi shinikizo la yeyote. Werema amesema, Rais Jakaya Kikwete, anafahamu kuwa ana msimamo na pia waliowahi kufanya...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
IPTL kuwasha mitambo mwezi ujao Imeandikwa na Lucy Lyatuu; 22nd October 2009 Habari leo WAWEKEZAJI wa mitambo wa kuzalisha umeme wa IPTL wametii agizo la Rais Jakaya Kikwete, wameahidi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…