Tanzania Tourism Commercial..What do you think? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Tourism Commercial..What do you think?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mstahiki, Oct 27, 2009.

 1. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=FCbfp6LO1ng[/ame]
   
 2. O

  Ogah JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Good..........Hili Tangazo linahitaji vikolombwezo zaidi though

  1.Beach inatakiw aionekane safi i.e crystal waters....Zanzibar beach za aina hiyo zipo kwa sana tu

  2.Coral reefs huku wakionyesha watu wakiogelea wanaangalia maajabu ndani ya maji........

  3.Wanyama inabidi waonyeshe varieties sio Twiga peke yake.........na simba inabidi waonyeshe Simba Dume (mvuto), pundamilia, Tembo, Faru nk

  4. Hoteli/Resorts zilizoko Tanzania inatakiwa zifahamike na huduma zikitolewa........tusisahau kuweka bei za package mbali mbali.....ministry of tourism inabidi..........matanagzo hayo yatolewe Asia, Ulaya, na Amerika

  Tunapokuwa tunasema Tanzania the Land of Kilimanjaro, Zanzibar and Serengeti....inakuwa kama tunategemea wengine watangaze what is Kilimanjaro, Serengeti na Zanzibar halafu sisi ndio tuseme...........kitu ambacho hatuna uhakika how much hivyo vimetangazwa..............

  Otheriwse sehmeu ya tangazo lilivyoonyesha theluji ya mlima wa Kilimnajaro ni zuri....kidogo ilitakiwa kuonyehsa watu wakipanda, halafu watu hao wanaonekana wako kilelelni kwenye theluji.................
   
Loading...