Jeshi La Polisi Lavitenga Vyama vya upinzani Zanzibar

Junius

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
3,181
139
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi(RPC) Bakar Khatib Shaban, ametoa onyo kali kwa chama chochote kitakachojihusisha na fujo katika zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura linalotazamiwa kuanza mkoani humo Jumatatu.

Kamanda Khatib, alisema hayo alipokuwa akiongea na wadau wa siasa ofisini kwake Mw'Madema.

Katika mkutano huo ni chama cha Mapinduzi tu ndicho kilichohudhuria mkutano huku chama cha wananchi CUF kikiripotiwa kutopata mwaliko wa mkutano huo.

Habari zaidi TBC1.
 
ONYO HILI LINAHUSU NA CCM??? AMEJUAJE KUWA KUTAKUWA NA FUJO KAMA SIO KUPANGA ILI BAADAYE ALAUMU UPINZANI. cUF SIO WADAU WA SIASA MBONA HAWAKUALIKWA?????
 
Back
Top Bottom