Chadema geukeni na upande huu!

Jews4ever

Member
Jul 21, 2009
74
0
Nawapongeza chadema kwa mkakati mzuri wa kutafuta wanachama ndani ya nchi Tanzania.

Nashauri waanzishe na mkakati wa kuandikisha uwanachama wa Chadema kwa walioko nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom