Tanganyika ni makazi ya wazanzibar lakini zanzibar si hivyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanganyika ni makazi ya wazanzibar lakini zanzibar si hivyo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ex-Fisadi, Sep 11, 2009.

 1. E

  Ex-Fisadi Member

  #1
  Sep 11, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais wa pili wa Zanzibar Sheikh Aboud Jumbe anaishi Mji Mwema Dar es salaam, Sheikh Ali Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya tatu ya Zanzibar naye anaishi Msasani Dar es salaam, Seif Sharriff Hamad Waziri kiongozi mstaafu na Rais mtarajiwa wa Zanzibar anaishi Dar es salaam! Viongozi wengi wa Zanzibar wanaishi huku kwetu bara. Je Zanzibar hakukaliki? au ndiyo namna ya kuimarisha muungano? Zanzibar wanasema suala la mafuta siyo la muungano, je watanganyika wakisema suala la makazi nalo si la muungano itakuwaje?
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Sep 11, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mtikila alipigania Wazanzibari wasiajiriwe kwenye Wizara na Idara ambazo sio za Muungano lakini maskini alishindwa kwenye kesi hiyo. Si unajua sera ya changu changu chako changu? Kwa hiyo ni mwendelezo wa sera hiyo. Hata hivyo hako kanchi (kama ni nchi anyway) hakuna sehemu ya kukaa zaidi ya kwenye mikarafuu!
   
Loading...