Ushauri wa mtaalam kuhusiana na mgao wa Uranium kwa serekali zote mbili

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
Nimefurahishwa na ugunduzi wa uranium kwa nchi yetu ya Tanzania ,naimani wananchi wa pande zote mbili watanemeka na utajiri wa madini hayo,la muhimu hapa ni kuangalia na kufuata taratibu alizotolewa na mtalamu wa mgao huo, na vipi serekali hizi mbili zitakavyoweza kufaidika na kuborotesha maisha kwa ajili wananchi wake .

Tanzania set to become uranium-rich giant
Tanzania will soon rank as one of the seven countries in theworld richest in uranium resources, President Jakaya Kikwete announced yesterday.
 
Last edited:
wewe vipi mgawanyo wa serekali mbili ki vipi bakiyeni nayo nyinyi hayo madini kama mnavyo bakia navyo dhahabu almasi tznight na madini mengine yasikutoeni roho mafuta ya wapemba nyinyi bakiani nayo muunde mabomu ya kutuulia ili mpate mafuta za pemba
 
Mkuu,
Kama huelewi si UULIZE? Yaani wewe Uranium = Mabomu?

Kama una muda basi soma hapa:-
[ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Nuclear_reactor[/ame]

Ila hapo utakuwa umesoma FISSION ambayo inahitaji Uranium.

Kwenye Fusion, huko wanatumia Hydrogen. Huku badala ya kupasua viini, hapa wanaunganisha kama jua linavyofanya vitu vyake. Uzuri wa hili Fusion ni kuwa haiachi madhara ya muda mrefu kama mi-Uranium

Mkuu, unaweza kupitia kwenye wikipedia ukianzia hii hapa:
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Albert_Einstein"]Albert Einstein[/ame]'s mass-energy equivalence formula E = mc2
 
Zanzibar sasa hivi inapata 4% ya mapato ya serikali. Mapato ya madini ni mapato ya serikali na kama kawaida mgao utakuwa uleule kwani serikali ya Tanzania si serikali ya bara ni ya nchi nzima. Kama kukipatikana mafuta pemba kitu ambacho hakipo mapato yataenda serikali kuu na mgao utaenda kama makubaliano 4%. Tanzania inatoa 4% ya mapato lakini Zanzibar haiingizi hata 2% ya mapato hivyo mapato ya madini kama dhahabu zanzibar wanapata mgao kama watanzania wengine. Tanzania ingekuwa na serikali moja ingesaidia wanzanzibar zaidi badala ya kukaa na lawama kila siku
 
Kinacho hitajika ni Environmental Impact Assesment (EIA) ambayo itakuwa imezungumzia short term and long term effects za Uranium mining kwenye maeneo husika.
 
Kinacho hitajika ni Environmental Impact Assesment (EIA) ambayo itakuwa imezungumzia short term and long term effects za Uranium mining kwenye maeneo husika.

The Farmer, Nakubaliana na wewe kwenye swala hili. Uranium Mining in effects nyingi sana za kiafya na kimazingira. soma attached document...
 
Attachments

  • NFQwhatisuranium.pdf
    98.7 KB · Views: 53
Kinacho hitajika ni Environmental Impact Assesment (EIA) ambayo itakuwa imezungumzia short term and long term effects za Uranium mining kwenye maeneo husika.

wakati mwingine ni kubalance mambo, maana huwezi ng'ang'ania short/long term Environment Impact wakati unakufa njaa.
 
Mafuta ni ya zanzibar..... na uranium ni ya bara kwisha hakuna mjadala.
 
wakati mwingine ni kubalance mambo, maana huwezi ng'ang'ania short/long term Environment Impact wakati unakufa njaa.

Lakini kuna haja ya kujifunza kutokana na matatizo waliyo yapata wengine kutokana na Uranium Mining. Kinachotakiwa ni kuwa na mikataba ya kueleweka ili kubalance hayo mambo, tufanye quatification ya faida ya kipesa na hasara za kimazingira, ndio tusonge mbele na Uchimbaji.
 
Uranium imeshapatikana lakini mafuta ndo kwanza yanatafutwa !!

Magezi hajakosea, nadhani anamaanisha kuwa kumekuwa na mvutano mkubwa sana kati ya Tanganyika na (Unguja & Pemba) kuhusu swala la mafuta. Sasa Uranium imeshapatika isije ikazuka ishu kuwa na Uranium ni ya Muungano...
 
hizi mali rasilimali zinazogunduliwa - zinaweza tufikisha kwenye mpasuko.
 
Zanzibar sasa hivi inapata 4% ya mapato ya serikali. Mapato ya madini ni mapato ya serikali na kama kawaida mgao utakuwa uleule kwani serikali ya Tanzania si serikali ya bara ni ya nchi nzima. Kama kukipatikana mafuta pemba kitu ambacho hakipo mapato yataenda serikali kuu na mgao utaenda kama makubaliano 4%. Tanzania inatoa 4% ya mapato lakini Zanzibar haiingizi hata 2% ya mapato hivyo mapato ya madini kama dhahabu zanzibar wanapata mgao kama watanzania wengine. Tanzania ingekuwa na serikali moja ingesaidia wanzanzibar zaidi badala ya kukaa na lawama kila siku
Zanzibar hawapati mgao wa mapato ya madini kama dhahabu na ndio maana hili kwenye Katiba sio suala la Muungano kama kodi. Zanzibar wanapata 4% ya mgao only kwa mapato ya Muungano. Also Zanzibar is NOT supposed to contribute 4% in order to get 4%. Zanzibar inapata 4% kwa kuwemo kwenye Muungano. Zanibar ikitoka kwenye Muungano, then it is only Tanganyika that will lose!
Kwahivyo, kwa Zanzibar kubakia kwenye Muungano ndio maana tunawapa hio hongo ya 4%.
 
Back
Top Bottom