SMZ yakataa waraka wa wakatoliki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SMZ yakataa waraka wa wakatoliki

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Barubaru, Sep 5, 2009.

 1. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Hatimaye Serikali ya mapinduzi Zanzibar imeupinga kabisa na kuukataa waraka uliotolewa na kanisa katoliki . Imeweka wazi kuwa waraka huo ni hatari sana na una nia na madhumuni ya kugawa nchi ikiwa pamoja na kuvunja umoja wa kitaifa,

  Waraka wa wakatoliki mwisho Chumbe
   
 2. m

  mjinga JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2009
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  je walisemaje kuhusu waraka wetu wa Kiislamu?
   
 3. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mbona serikali imepiga marufuku hata ule waraka wa Shura za maimamu? Kwa nini umeacha kuutaja huo ukataja wa wakatoliki tu? Uwe mkweli bana! Serikali imesema haitaki waraka wa mwongozo
   
 4. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kwa sababu huo ukarasa au waraka wa kanisa ndio kiini cha matatizo yote ambayo yanendelea kurindima.Na ndio mzizi wa fitna hivyo ukishakatwa huo mingine yote itanywea na kufa.
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Sep 5, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kutoutaja MWONGOZO wa Shura ya Maimamu kuwa ni mzuri au la inamaanisha kwamba SMZ wanaukubali? Kaazi kweli kweli!
   
 6. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  sasa mwache kadinali pengo atowe kunya zake kwa SMZ,kama hayatomkuta yaliyo mkuta shekh KURWA ,zanzibar anisikia tu sasa na kuiona paa ,hadi hivi naingia mitamboni hatakiwi hata kutia mguu wake hapa zanzibar.
   
 7. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Kitu ambacho sikielewi ni kuwa nyaraka hizi ni za serikali au za wananchi?. Ikiwa waumini wa dini wanakaa na kusema kuwa wanataka waogozwe vipi hayo haiyahusu serikali kwani serikali imewekwa na wananchi bali ni jukumu la wananchi wenyewe.

  Tatizo hawa watu waliopewa dhamana wanajiona kama vile wana haki miliki na yeyote anayeingilia ulaji wao wanamuona ni mhatarisha usalama wa nchi( hawa wote ni wanafiki na wabinafsi hakuna kinacho wasumbua zaidi ya ubinafsi wao)

  Waraka huu si kwa ajili yao ni kwa ajili ya wananchi wachague watu wanaowaona wanafaa na si vinginevyo sasa kwa kuwa wao tayari wanajijua hawafai wanaanza kulialia "they are hypocrites" kama waraka ungekuwa unawafagilia wao wangeutumia kujihakikishia kubaki kuitafuna nchi. Serikali yoyote ile haina mamlaka ya kuupinga waraka wowote kwani si kwa ajili yao na kitendo chochote cha kuupiga marufuku ni power abuse na one day tutawashitaki kwa udikteta wao na kuiminya katiba inayompa haki mtu kueleza mawazo yake (freedom of expression)
   
 8. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Nyie wazanzibari acheni ujinga wenu; hao mafisadi wanaowatawala ndio chanzo cha matatizo ya maisha yenu eboo!! waraka wa katoliki unawapa mwanga wa jinsi ya kujinasua kutoka kwenye makucha ya wakandamizaji wenu na ndio maana wanaupinga. AMKENI SAA YENU YA UKOMBOZI NI SASA: AMA SIVYO HAO MASULTANI WENU WEUSI{ UKOO WA KARUME NA MWINYI} UTAWATAWALA MILELE NA MILELE NA DAIMA MTAKUWA MAFUKARA!!
   
 9. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mtamroga au mtamsomea albadil? wewe ndio umeamua kuwa hatakiwi kutia mguu Zanzibar au?
  Ndugu zangu wa Zanzibar jaribuni kubadilika jamani, hivi kweli mnadhani mtabaki na akili hizo hadi lini? kwanini mnapenda sana ligi zisizokuwa na maana? Ninahisi wa bara wamewachoka mno basi tu, ingekuwa kuna kura za maoni nahisi idadi kubwa ya kukataa muungano wa kijinga huu ingetoka bara sasa....
   
 10. Mauza uza

  Mauza uza JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 2,068
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  KULA TANO BWANA MKUBWA.....yaani wabongo tumewachoka hawa wazanzibar mpaka inatia kinyaa,siku hizi wala hawaendi huko watu ni china au indonesia.aaaaaaaaah hhhuu mungano ufe wabaki na kakisiwa kao,hovyooo.
   
 11. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Habari ndiyo hiyo hatutaki fitna zenu....someni waraka wenu huko huko makanisani khalas
   
 12. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Naona maji yameganda sasa unaita nini ........barafu?
   
 13. J

  Jews4ever Member

  #13
  Sep 6, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazenj ni vilaza period.
   
 14. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Sasa wewe, sikuelewi. Hebu tafuteni kwanza uhuru wenu, halafu mkishakuwa huru ndio muweze kumsemea aliyehuru kama Pengo. Hamjui kuwa tangu enzi za mkoloni tulikuwa na maliwali waliokuwa wanawajibika kwa wakoloni na sio kwa wananchi? Nyie leo sijui imekaaje? Labda mwaka ujao mtajichagulia liwali vile, sijui!???!!??
   
 15. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #15
  Sep 6, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nafikiri tuwe fair! Kwanini tunasema kuwa serikali haihusiki kwa hili la Waraka wa kidini eti ni mawazo ya wananchi? Kwani mahakama ya Kadhi si MATAKWA ya wananchi? Mbona Serikali na Wabunge wamekataa kusikiliza? Nini sababu inayotolewa si Udini? Na waraka wa Kidini ni wa Kidini na unapotolewa na kundi moja huku ukiacha kundi jengine utakuwa na lengo la kuligawa Taifa.
   
 16. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135


  Unajua kuwa fidhuli alishindwa kwa kurejeshewa tusi lake? Anza kuacha ujinga wewe nasi tutakufuatilia.
   
 17. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #17
  Sep 6, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Acha uongo Bwana! Hivyo huoni aibu kuhusishwa na watu wasio na akili? Basi tangazeni kuachana nao.
   
 18. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #18
  Sep 6, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Muungwana ni vitendo sio maneno na kama kujielewa ndio mnahisi kinyaa basi mtapata tabu kijana. Kumbe ni kuhamahama sio kujitegemea? Loh Kazi ipo!
   
 19. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #19
  Sep 6, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hatuna tofauti jora moja!
   
 20. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #20
  Sep 6, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  Tatizo unachokiona wewe kuwa ni kilima kwa mwenzio ni kichuguu.
   
Loading...