Jamani nimesoma gazeti moja jana likilalamika sana utoaji wa vyeo vya polisi/jeshini
kutokana na hali ya hewa hivi sasa yawezekana vyeo vinatolewa kwa mtu wa darsa la saba...na wewe umengia na...
Hivi mke wa rais ana majukumu gani ktaifa?Mbona huyu wa sasa anafanya shughuli nyingi za kisiasa na mara nyingi husafiri on her own unlike her predecessors?
Wana JF,
Nilipenda kujua ile 2005 pale Chimwaga Dodoma wakati wa wajumbe wa CCM toka mikoa yote ya Tanzania kwenda kumchagua mgombea Urasi mmoja kwa tiketi ya CCM kulitokea nini?
Dr. Salim...
HATUA ya Rais Jakaya Kikwete kukiri kuwa kulikuwapo na udhaifu katika kufanya uchunguzi wa kutosha (due diligence) kuhusu kampuni tata ya kufua umeme ya Richmond, aliyoitoa wakati wa kujibu...
Jamani salaam tena na leo narudi kutaka kujifunza. Nimeona mjadala wa mgombea binafsi unapamba moto na nikaanza kujiuliza kama Mtikila ama Mzee Es anaweza naye kwenda kuomba kufata Wabunge wa...
Kwa mara ya kwanza ni ngependa kutoa ushauri kwa wale washauri wa Rais wetu.
Nimetafakari kwa muda mrefu, Kutokana na misukosuko mingi iliyopo ndani ya nchi yetu kwa sasa,tukianzia katika swala...
It is now obvious that the president wasn't ready for primetime. It is obvious that he is overwhelmed. It is obvious that he is discombobulated and doesn't know what to do. It is obvoius that he...
Na Julius Samwel Magodi
INGAWA baadhi ya wanasiasa ndani ya CCM wanasema malumbano makali yanayoendelea katika chama hicho ni ya kukiimarisha; ukweli ni kwamba. sasa kinaelekea kufikia kwenye...
CCM inahimiza mara kwa mara wapiga kura kuchagua Chama badala ya Mtu! Je, hoja hii wapendwa wanaJF mnaionaje? Japokuwa mtu hafungwi kuchagua chama fulani lakini mimi naona msisitizo huu wa...
Imeandikwa na Maulid Ahmed
Tarehe: 9th November 2009
NAIBU Waziri wa Fedha na Uchumi, Omar Yussuf Mzee amesema,viongozi serikalini ni wabinafsi, wanajali maslahi yao kuliko ya taifa.
Mzee pia...
The so called "WAPIGANAJI" wana sema kuwa CCM wote ni MAFISADI
je, huyu bwana mwenye uwanachama wa CCM tangu tarehe 18 Aprili,1977 na kadi Na. B124595, iliyotolewa na Tawi la Kisutu, Wilaya ya...
RAIS Jakaya Kikwete, hivi karibuni, "alijianasua katika mtego" aliowekewa na baadhi ya viongozi wa jamii ya wafugaji wa Kimasai katika Bonde la Hifadhi ya Ngorongoro la kumtaka aruhusu...
A malaise of despair, state of confusion, and just being downright overwhelmed...Is it just me or does everybody or most people feel this way? Viongozi wa serikali na chama tawala kulumbana na...
Five Tanzanians to study U.S. electoral process and observe 2009 U.S. election
October 16, 2009
The U.S. Embassy is sending a group of Tanzanian political party officials and an academic to the...
Kwa karibu miaka kadhaa sasa kuna mlolongo wa matukio ambayo yangetokea nchi nyingine yoyote yangetoa nafasi ya pekee kwa vyama vya upinzani. Mlolongo huo kwa Tanzania hata hivyo haujatoa nafasi...
*Inahusu zabuni ya kumpata bosi mpya NHC
*Alipuuza mapendekezo ya Ernst & Young
NA MWANDISHI WA RAIA MWEMA
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Kapteni (mstaafu), John...
NINI MAONI YAKO?
Moses Mashalla, Arusha
JESHI la Polisi Mkoani Arusha limeendesha operesheni ya kukamata dawa za kulevya aina ya bangi wilayani Arumeru mkoani Arusha na kufanikiwa kukamata...
Rais Jakaya Kikwete, amepewa ushauri kupanga upya safu yake ya viongozi.
Na Waandishi Wetu
Mwananchi
11/9/2009
RAIS Jakaya Kikwete ametakiwa kutumia malumbano yanayoendelea baina ya wabunge...
Hatimaye nimepata Takwimu mpya za Elimu kwa mwaka 2009. Haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania wanafunzi kuingia Sekondari kwa wingi kama wakati wa kipindi cha Edward Lowassa. Historia...
Inasikitisha kwamba chama tawala kimejaa mafisadi....Nakubaliana na hoja zote za makombora waliorushiana wabunge wa CCM kwenye kikao cha mzee mwinyi...nimetafakari sana kuhusu uchafu huu. sasa...