Mheshimiwa Rais Kikwete anaipenda Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mheshimiwa Rais Kikwete anaipenda Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Watanzania, Nov 29, 2009.

 1. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni haki kwa wananchi kujiridhisha kama rais anaipenda nchi yetu. Kuna mambo kadhaa ambayo rais anawezapimwa kama anaipenda nchi yake. Hili suala la Mh. Rais Kikwete kufanya safari nyingi nje ya nchi kwa nchi maskini kama ilivyo yetu ni mojawapo ya kigezo cha kumpima rais kama anapenda nchi . Ukimwangalia Rais Kikwete akiwa nje ya nchi utagundua kuwa anafurahia kuwa nje ya nchi kuliko Tanzania. Rais ambaye anatarajiwa kuwa na muda wa kutosha kutafakari matatizo ya nchi na kuyapatia ufumbuzi yeye anafunga safari nyingi na anafurahia kuwa nje ya nchi yake kuliko kutulia nchini na kutoa uongozi unaohitajika. Je hii si dalili ya rais kutoipenda nchi yake kwa dhati?
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  what do you expect from mtoto wa kikwere?hapo ndo kishajituma mpaka uwezo wake umefika mwisho.
   
 3. l

  libaba PM Senior Member

  #3
  Nov 29, 2009
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  angeipenda nnchi yake hawa kina RA, E, Lowassa, Manji, WANGEKUA NDANI WANAPIGA SOGA na LIYUMBA.
   
 4. J

  Jitukali New Member

  #4
  Nov 30, 2009
  Joined: Sep 9, 2008
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hatpendi
   
 5. M

  Mchili JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  You are right, ni dalili ya kutokua mzalendo. Sasa nani wa kulaumiwa au tufanyeje ukizingatia tuna miaka mingine 6 ya kuwa nae.
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Nov 30, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hakuna wa kumlaumu!
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  labda anaipenda
   
 8. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Anaweza kuipenda nchi kwa maana ya geographical position na mambo ya namna hiyo lakini akawa hawapendi wananchi.je tunahitaji lipi kati ya hayo.
   
 9. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2009
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,504
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Kwa ujumla tusha liwa!!

  Hiyo miaka sita ni sawa na miaka 60 ya maendeleo kwa nyuma. By the time inafika 2015 tutakuwa hata umeme wa mgao hautakuwepo isipokuwa kwa wale wenye majenereta ya mchina. Kwa ujumla jamaa kazi haiwezi, imagine kashindwa hata kumalizia barabara za Mkapa???
   
 10. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HAIPENDI NCHI YAKE.
  Mf. kama baba wa familia hakai na familia which means..............................:(
   
 11. J

  Jamil Member

  #11
  Nov 30, 2009
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  He is from God.....hayo ni maneno yaliyokuwa yakisika baada ya kula fedha za kampen lakin sasa husikii tena ...mara hatupendi..haipendi nchi..yako wapi sasa? Tuzidi kumuomba Mungu atufungue kiakili we will be able to find a good leader.
   
 12. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  anapenda urais ila haipendi tanzania................ukweli mtupu kwani kwake maneno ni bora kuliko matendo...
   
 13. Bob1

  Bob1 Member

  #13
  Dec 1, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No one show question if other fellow Tanzanias kama wanaipenda nchin au vipi.Just ask you self what you have done to the country that prove you love this country more than others.

  Kinachomsumbua Kikwete ni alikua na Mbinu ya kupambana kuwa President lakini hana vision on which direction he want to take the country. Thus it
   
 14. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Lingekuwepo jopo kama inavyopaswa kuwa kwa (Baraza la mawaziri) kwamba wakati anapeleka tathmini yake ya jinsi alivyo fanikiwa au kushindwa kufikia matarajio katika ziara hizo ingekuwa na maana sana kwetu. Vinginevyo inakuwa Bora ziara na sio ziara bora zenye mafanikio na mvuto kwa nchi yetu.

  Ni neno kali sana kumwambia mtu amelaaniwa lakini nahisi nchi hii imelaaniwa, ukiangalia historia ya nchi hii hakuna hata siku moja wananchi wameingia mitaani na kuandamana kwa hisia kuonyesha kwamba mambo hayaendi sawa, na mwisho wa maandamano kukawa na followup ya nguvu zaidi ya siasa rojorojo tunazofanya.

  Utani umezidi sana katika utawala wa nchi hii, mtu anatoka nchini kwake kuna mali ya kutosha tu kama madini, lakini anaingia mikataba isiyo na masilahi ya taifa halafu yeye huyo kwenda kutembeza bakuli badala ya kutunza alicho nacho kiifaye nchi yake.

  Enzi za mwalimu ilikuwa ni sifa kwa kiongozi kuona wizara anayo iongoza ina deliver kile kinacho tazamiwa na wananchi, hivyo hivyo kwa viongozi wote. Lakini leo imekuwa sifa kiongozi kuwa mwizi, kisa pesa za kampeni nchi ambayo viongozi wake kila wakati inafikiria uchaguzi haiwezi kuwa na maendeleo yoyote ya maana kwa nchi na wananchi kwa ujumla.

  Tuwe tunafikiria uchumi na maendeleo na sio uchaguzi......uchaguzi.......uchaguzi na mtaji wa uchaguzi.

  Tanzania yenye viongozi wapenda nchi inawezekana.
   
 15. H

  Hashim Mohamed Member

  #15
  Dec 1, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  saaaana kaka,
  Fikiria mfano mdogo tu..... tunaarifiwa kuwa hata watoto wake hawakwenda kusoma ulaya inamaana katika maisha yake ya uwaziri hakuwa na uwezo wa kuwasomesha huko?

  Kanakwamba hiyo haitoshi wakati yuko wizaraya mambo ya nje angekosa hata michongo ya sponsorship kutoka nchi za magharibi? kumbuka kuwa kipindi hiko wanawe wawili walijiunga na vyuo vikuu hapahapa. Je tunataka uzalendo upi?
   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Dec 1, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,596
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Enzi hizo, babu zetu walikuwa wanapewa vioo na wanatoa almasi!

  watoto kusoma ndani ya nchi ndio alama tosha ya uzalendo?

  Clinton mtoto wake akienda kusoma England, basi hana uzalendo na USA

  Watanzania woote ambao watoto wao wanasoma nje, hawana uzalendo?

  kuna hoja imejificha unayo weka wazi kwa nini unampenda JK, achana na hoja za kitoto kama hizi.

  wengi wanampenda JK kwa sababu ya udini, usiwe mmoja wapo!
   
 17. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
   
 18. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2009
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 701
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  watanzania ni watu wepesi sana kudanganywa, na watu kama JK wanalijua hilo.Huwezi kuamini nilikuwa natoa maoni kwenye blogi ya michuzi, kuna mtu anafurahia kupewa daftari bure wakati ya enzi za mwalimu....na kusahau kama chakula inambidi apange foleni kama mkimbizi....

  Hivi ndio tulivyo watanzania, idadi kubwa watu hawajasoma na ni rahisi kuona Tanzania watu wanampenda Kikwete na kumpatia mara ya 2 aende ofisini kufanya kazi.Wakati huyu ni mtu watanzania wanatakiwa kuandamana, keshavunja katiba si zaidi ya mara 2...na watanzania kimya kama hawapo kabisa...


  • JK kwenye uongozi wake amevunja katiba kwa kujadili kero za muungano nje ya bunge....


  • Amevunja tena katiba kwa kutengeneza kamati ya mzee Mwinyi na kuadhibu wabunge....

  Lakini watu watamsamehe kwasababu amezungumza na wananchi kwa njia ya Luninga!
   
 19. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #19
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kihistoria huyu ndo Raisi aliyesafiri zaidi nje ya nchi kwa kipindi kifupi cha utawala (4yrs) wake????????
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
   
Loading...