Tuna nini? sisi Watanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuna nini? sisi Watanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Original Pastor, Dec 3, 2009.

 1. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Habari wakuu nimeona nirudi tena Jamvini kuuliza swali hili. Mimi ni mtanzania kwa kuzaliwa na naipenda nchi yangu, swali ni hivi tumekuwa tukisikia kuwa Nchi mbali mbali na baadhi ya nchi haziaminiki kwa masuala yote sio watu wake bali hata Gov yake ilivyo Usanii mtupu. Juzi juzi nilisikia Mh. Membe yupo katika Kinyang'anyiro cha kuwa Mkuu wa Mission inchini Sudan sasa walikuwa wanagombea kama wanne Mh.Membe, Wanageria Wawili na Botwana mmoja sasa kwakuwa Botwasa wako nyuma sana na UN tukaona Asilimia 100% atapata Mhe. Membe kumridhi Adada cha Kushangaza UN jana Wametangaza Kuwa ni Mnageria ameshinda sasa sijui sisi watanzania tuko na nuksi gani? naomba Kama Mh. Membe atasoma haya atupe data kamili au kama Una Mtu anafahamu kwani mimi uelewa wangu mdogo na nipo huku Kanda ya Ziwa Nilisikiliza VOA.
   
 2. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2009
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Watanzania kuanzia viongozi hadi raia wa kawaida uelewa wao mdogo katika mambo mengi na wengi (mataifa) wanatujua hivyo, ndo mana ni vigumu kupewa majukumu makubwa, hapa nyumbani pamewashinda watawezaje mambo makubwa.
   
Loading...