Al Shabaab recruits Tanzanians? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Al Shabaab recruits Tanzanians?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bernard Rwebangira, Dec 3, 2009.

 1. Bernard Rwebangira

  Bernard Rwebangira R I P

  #1
  Dec 3, 2009
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna hii taarifa ktk gazeti la leo la New Vision ambayo nimeikuta kule Bongo Pix kuwa wabongo wanasajiriwa na Al Shabaab kuiangusha serikali ya Somalia.

  Je kuna ukweli wowote? Serikali yasemaje kuhusu hili?


  UGANDANS are among the foreigner militants fighting alongside Al Shabaab to overthrow the Somali government, the African Union Mission in Somalia has said.

  The AU special representative for Somalia, Wafula Wamunyinyi, also listed Pakistan, Afghanistan, Bangladesh, America, Tanzania, Kenya and Sudan as countries where Al Shabaab has recruited.

  Speaking at the opening of a confidence building workshop for the Somali peacekeeping mission, dubbed AMISOM, yesterday, Wafula pointed out that the presence of Al Qaeda in Somalia is real and the world should be put on notice.

  He observed that the managers and operational commanders of Al Shabaab belong to Qaeda.

  “If we don’t put our hands together, Al Qaeda will take over Somalia considering the grip they have on the country,” Wafula said.

  “With the involvement of foreign fighters, we need to adopt a new approach towards the conflict in Somalia, away from the perception that these are clans fighting.”

  The special representative informed the workshop at Speke Resort Munyonyo that Al Shabaab has established training camps with Al Qaeda.

  “With Al Qaeda training, you know what to expect, suicide bombings and kidnaps,” he noted.

  The AU official said Al Shabaab foreign fighters are estimated to be 1,200, half of whom are said to be Kenyans.

  Wafula listed the foreigners holding important positions within Al Shabaab as Sheikh Mohamed Abu Faid, a Saudi Arabia born who is the financier and current “manager” of the group, while Abu Musa Mombasa is the head of security and training operations.

  Mombasa reportedly arrived recently from Pakistan to replace Saleh AIi Nabhan who was killed in US military operations.

  Abu Mansur Al-Amriki, an American, heads the finance and payroll department of the foreign fighters, while Mohamoud Mujajir, a Sudanese, is in charge of recruitment of Suicide bombers, he said.

  Also on the list is Ahmed Abdi Godane, an al-Qaeda graduate from Afghanistan, and Abu Suleiman Al-Banadiri, a Somali of Yemeni descent.

  Wafula said AMISOM has been able to collect valuable information about the fundamentalists through intelligence gathering and defectors. Several militants have also been killed, he added.

  The AMISOM spokesperson, Maj. Bahoku Barigye, told The New Vision that he had talked to three of the Ugandan Al Shabaab fighters who issued threats against him, claiming that they knew his whereabouts and those of his relatives in Kampala.

  He said the three spoke Luganda, Kifumbira and Iteso respectively. He said one of the Ugandans told him he was a member of the Alliance Democratic Forces (ADF), a rebel group that operated in the DRC.

  Bahoku noted that despite the challenges posed by the militants, the mission would not demand a change of mandate.

  Al Qaeda’s involvement was not a secret, he observed, saying the terrorists published their presence on their various websites claiming they were in Somalia to defend their Islam brothers.

  “Going by the information we have gathered, these people are fugitives. They are being looked for and have been caught up in this web. They are creating anarchy because they don’t know where to go if the conflict got solved.”

  He added that Al Shabaab wants Somalia to be portrayed as a no-go area, a country that cannot be rectified, so that social criminals from around the world can operate from it.

  The two-day conference is intended to create awareness among the media and civil society organisations in current and potential troop contributing countries.

  Uganda and Burundi are the only countries that have contributed soldiers to the mission.

  Djibouti, Nigeria, Ghana, Sierra Leone and Malawi promised to send troops but they have not yet done so. Out of the 8,000 soldiers needed to pacify Mogadishu alone, only 5,000 have been deployed.
   
 2. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 4,013
  Trophy Points: 280
  Na hili Membe atabisha!
   
 3. M

  Mchili JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ni suala la kuchukulia kwa mtizamo kwamba wapo watanzania huko kama individual au group na sio serikali ya Tz. Membe asiweke siasa zake za kudanganya watu badala yake afanye home work yake na Masha kujua ni kina nani wako behind. Kama wanaweza kwenda somalia ni rahisi kujenga mtandao huo huo wakaanza the same upuuzi hapa Tz.
   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mipaka ya nchi yetu ni very porous as a result kuna illegal immigrants wengi tu kutoka nchi jirani; wasomali wamejaa huko Bagamoyo. The situation is made even worse by the corruption within the immigration department!!! Inawezekana hawa wasomali wakija hapa wanapewa passport za Tanzania na kujiita watanzania na baadae wanarudi kupigana Somalia!
   
 5. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tangu American embassy bombing 1998,Watanzania tujue kuwa hawa Waislam ni hatari sana!
  Angalia misaada ya Saud kwenye misikiti tanzania,ambayo Wahabism ndio watu wanapractise!Museveni ndio peke yake aliweza kustand huu upumbavu,ndio maana
  Sudan imeshindwa kuihujumu Uganda.
   
 6. M

  Magezi JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  kwa kweli misaada yote anayotolewa na islamic states ni kuwa na mashaka nayo.
   
 7. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #7
  Dec 3, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  UDINI MTUPU na uislam ndio hivyo unazidi enea. Litawauma sana.
   
 8. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #8
  Dec 3, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Huyu Wafula Wamunyinyi ni muongo. mzandiki, anajipendekeza kwa wakubwa zake ili azidi kupata contract UN.

  kama angekuwa msema kweli basi angeleta japo ushahidi wa majina ya watu na hata namba ya passport zao kuziwasilisha kwenye nchi husika kuonyesha watu hawa toka nchi hii wanashirikiana na al Shabbab.

  Alete ushahidi maalum na sio kubwabwaja tu.
   
 9. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #9
  Dec 3, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mbona kila kitu unakimbilia udini? Angalia facts. Hamna mwenye tatizo la usilamu kuenea. Kwanza Tanzania tayari ni 35% unatakaa ienee kiasi gani tena? Hata mambo hatari una tetea kwa sababu tu unaona dini yako imeguswa? Mambo mengine si ya kutetewa. Calm down, look at the facts & think with a level head.
   
 10. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #10
  Dec 3, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Watu wana njaa.

  Nakumbuka around 1990 kwenye Gulf War kuna vijana kibao walikuwa wanalundikana ubalozi wa Iraq kutafuta safari kwenda kupigana Iraq, apparently at the beckoning of the Iraqi government, na serikali haikuchukua hatua yoyote.
   
 11. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #11
  Dec 3, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inferiority complex.
   
 12. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #12
  Dec 3, 2009
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ohh membe mzushi, sasa huo ujinga amekwenda kuongea john mhita ndo unajenga hoja, alitakiwa atulie akusanye habari. tayari UN wanajisafisha kutoka habari hizo. bado watanzania tunagongana vichwa bila kujua tunaongea nini. kama kuna mtanzania binafsi amejipeleka somalia kupigana ni yeye, na si tanzania kama nchi. ni kama mtanzania wa sept 11, utasema tanzania ilisupport alkaida!!!!!!!!!!!??/
   
 13. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #13
  Dec 3, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  hivi wanajeshi wa east n central africa hawawezi kuungana kulimaliza hili kundi? na je kuhusu wale waharamia wanaoteka meli kila siku inamana viongozi wa africa hawaoni hili swala na hawajui kwamba meli nyingi huwa zinatusaidia sisi? sijawahi kuwasikia kabisa wakisema kitu kuhusu hawa waharamia au njia ya kuwamaliza ni nchi za nje tu zinawashughurikia.


  hakuna kundi nalichukia kama hili la al shabaab.
   
 14. E

  Eddie JF-Expert Member

  #14
  Dec 3, 2009
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 516
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mdini mwingine huyu hapa. Illegal migrants ni wasomali tu? mbona huwazungumzii warundi, wacongo, wanyarwanda nk.

  Unanuka udini shame on you!
   
 15. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #15
  Dec 3, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Calm down. You are the one jumping to conclusions. The thread is about Somalia that's why he mentioned Somalis. Also Somalis is not a religion it is a people. A Somali can be a Christian or a Muslim so can a Rwandan and Congolese. Udini upo wapi na wakati haja taja dini?
   
 16. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #16
  Dec 3, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Walete facts hapa jamvini huu umekaa ki-umbeya umbeya...mwandishi wa habari ovyooooooooooo! can he/she prove?
   
 17. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #17
  Dec 3, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Assume UDSM ,i mean Muhimbili wanafanya graduation ya Medical students after
  20 yrs of not produding medical students.Then a sucide bomber comes to the graduation and kills 20 people attending the graduation ceremony!

  Ni Al Shabaab!Kama kweli mTz anafanya hivyo,au anakubalianana huu ushenzi basi tumelaaniwa kabisa
   
 18. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #18
  Dec 3, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  wewe umekaa kama suicide bomber hasaaa kutoka LRA..tuondolee unafiki wako ..mwandishi hana facts, speculation, hearsay etc..anatafuta umaarufu na kutuchafulia jamii yetu nzuri ya kiislamu kwa njaa zake...apeleke umbea wake huko merakani wanakompa ulaji..wtf.
   
 19. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #19
  Dec 3, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tumaini suala la suicide bombing somalia leo huwezi kulitetea .It is loughable.Kila mtu anajua Al Shabaab ni Waislamu!Usitetee uovu !NAONA UMEFUMBA MACHO NA UOVU
  WA islamists
   
 20. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #20
  Dec 3, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nimeona kwenye TV muda mfupi wamekamatwa 2 toka Tanzania na yes Wasomali wa Bagamoyo wana own big Business zikiwemo zile hotel zilizo kamata moto na wanafanya na wakubwa JK anajua haya yote .
   
Loading...