Wanandugu na wote wenye mapenzi mema....,kuna swali na jiuliza hivi hii kamupni ya NIC ilifikaje ikafilisika.....hivi majuzi NIC waliachisha wafanyakazi wote na kuwalipa na kuamua kuajiri...
Tendwa: Serikali ya mseto yanukia ZanzibarNa Joyce Mmasi
MSAJILI wa vyama vya siasa nchini, John Tendwa amesema hatua ya Chama Cha Wananchi (CUF) kuitambua serikali ya Rais wa Serikali ya...
Panic as cabinet shuffle looms
By Guardian on sunday team
15th November 2009
As SFO sticks to its guns
A stormy Cabinet meeting held in Dar es Salaam on Wednesday this...
By Zephania Ubwani, Arusha
How old is the vessel purchased by the East African Community three years ago for millions of dollars but has since docked at Mwanza port?
This was the concern...
Wenyeviti 11 wa mikoa wa CHADEMA wamepinga uamuzi wa Dr Slaa wa kutengua uteuzi wa David Kafulila. Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la leo tarehe 14 Novemba, ambalo halijataza majina wala mikoa...
Kulikuwa na post humu jamvini ikimuonyesha Naomi Campbell alivyotokwa machozi baada ya kuona kina mama waliojifungua wamelala chini hospitalini. Kutokana na hiyo post niliandika kuwa viongozi...
Wameelimika na wanajua mengi. Tunawategemea, kuwathamini na tungependa kuwaenzi. Lakini kabla hatujaanza kuwaenzi, labda tujiulize, hivi wengi wao na kampuni zao na jumuiya zao mbalimbali kweli...
Habari zenye uhakika kampuni ya ndege ya precission air iko mbion kunyangwa ndege tatu ambazo walikuwa wakitumia...ndege hizo ambazo zimasimama kutumika zimefanya safari ya kigoma/tabora kusimama...
Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Jaka Mwambi amelipwa Sh. 16,320,000 zikiwa pensheni kwa kutumikia CCM.
I cant imagine Balozi wa USA hapa Tanzania,alipwe pensheni ya say Republican party kwa...
Kila mara inaonekana kana kwamba CHADEMA inakwenda kusambaratika, mara zote hizo ni bahati tu ya mtende inayokinusuru chama hicho kusambaratika. Ndani ya CHADEMA kuna mambo makubwa MATATU...
CHADEMA SIYO PANGO LA WANYANG'ANYI.
CHADEMA siku zote huchukua hatua!
Ilimsimamisha Chacha Wangwe alipokuwa akitumika, au kutumia vibaya madaraka yake kubomoa Chama akiwa ni Makamu Mwenyekiti -...
Katika mkutano huo natarajia kulieleza taifa mchakato wote wa makubaliano uliofanyika kati ya CUF na CCM... naomba Watanzania waje kwa wingi kuungana na wanafunzi hao na wabunge wa CUF kutoka...
John Bwire
Novemba 11, 2009
YANAYORIPOTIWA kusemwa kwenye kikao cha Kamati ya Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wabunge wa chama hicho mjini Dodoma yanadhihirisha kitu kimoja: Kwamba kweli...
Mgogoro CCM aibu ya Taifa
Lula wa Ndali-Mwananzela
Novemba 11, 2009
WAPO wanaofurahia na kuchekelea mgogoro unaoendelea ndani ya CCM. Wapo ambao wanaombea kuwa mgogoro huo uendelee ili hatimaye...
Tanzania hupata nafasi chache sana kuandikwa na gazeti hili la wiki. Wastani ni makala 1 kwa mwaka kuhusu Tanzania. Habari za Mkutano wa maalim Seif na Karume zimepata uzito katika The Economist...
Nimeshangazwa sana na picha na nimeachwa hoi bin taabani baada ya kusoam maelezo yanayohusu shule moja huko Mbeya, Wilaya ya Chunya, Kijijicha cha Udinde. Shule inaitwa Iboma. Hii ni kwa mujibu wa...