Wapangaji ikulu na safari za nje

GY

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,279
126
Kumekuwepo na maoni tofauti sana kuhusu safari za nje ya nchi za maraisi wetu (wakati ule Mkapa na sasa Kikwete). Safari hizi zimekuwa zikisemwa kuwa ni muhimu kwani zina tija kwa Taifa. Nimekuwa nikifuatilia kama viongozi wa nchi nyingi Afrika, na hasa ukanda huu wa afrika mashariki pia hufanya safari nyingi namna hii ili kuleta tija nchini mwao. Mfano mzuri unaweza kuwa kwa raisi Kibaki. Hali inaonekana ni tofauti

Je tukitengeneza equation

Ni uhusiano gani uliopo kati ya safari za kiongozi wa nchi maskini nje ya nchi na tija kwa taifa lake

Nini lingekuwa jibu lako

Na ni nani ana data, ni kiasi gani hugharimu kwa raisi kwenda nje kwa safari ya wastani wa siku tano
 
Mkuu hizi safari ni upotevu wa muda na raslimali za taifa, hazina tija yeyote kwa Tanzania
 
Mkuu hizi safari ni upotevu wa muda na raslimali za taifa, hazina tija yeyote kwa Tanzania

Na je nchi zilizoendelea kiuchumi zaidi yetu, ni kwa kiasi gani maendeleo yao yanaweza kuhusishwa na maraisi wao kusafiri nje ya nchi
 
Sisi viongozi wetu wanaenda kununua suti Paris, sasa unataka wasisafiri?

Siku anapatikana first lady kama wa Sacozy -basi safari zitakuwa ni za kwenda UK Queens shopping
 
Back
Top Bottom