Dr. Salim: The Conspiracy ..&.. Dataz!

Apr 27, 2006
26,588
10,375
- According to the dataz, kelele za Dr. Salim hivi karibuni hazikuwa za bure, behind it kuna mkakati wa siri unaosukwa na baadhi ya vigogo wa CCM na serikali kumpa u-Rais wa Zanzibar, na the thinking behind it ni kwamba itakuwa ndio dawa ya tatizo la CCM na Pemba, kama sio Muungano in general!

- The more dataz ni kwamba Muungwana, is still toying with the idea ingawa hajaji-commit kwa 100%, lakini juhudi kubwa zinafanywa na vigogo hawa wa CCM na serikali kumshawishi Amani Karume, ajiunge na the idea na kwamba once he is on board atatangaza rasmi to the public kwamba baba yake hakuwa na tatizo na Salim, at anytime na si kweli kwamba Salim alihusika in anyway or form na mauaji ya baba yake.

- According to the dataz, tatizo moja linasimama to this idea nalo ni Ali Karume, anyways wakuu JF mnaionaje hii?

Respect.


Field Marshall Es = Wazee Wa Sauti Ya Umeme!
 
Mhhhhh.
Kumekucha huko.
Salim awe vice president wa tz,zanzibar is too small for him.
 
Nakubaliana na Boss,Zanzibar is too small kwa Salim.Kama ni kweli awe makini ccm wasije kumdhalilisha kama 2005 na hapo ndo atakuwa amejimaliza kabisa.
 
Oh! ahaa!

Tunataka awe rais bara, wasiende kumficha huko

JK anaogopa jamaa atachukua form ya urais nini?

anyway, baada ya kumzuishia hayo yote wazanzibar watampokeaje?

nani atamwomba msamaha?
Lini Karume Jr amejua kuwa jamaa hakuhusika na hayo?

Salim usiende huko!!!
 
tatizo ni kuwa wa Pemba hawamkubali Salim

au ushasahau walivyomfanyia fitna kule UAE na Oman in 2005?
 
Thnakns for dataz mkuu. Kila siku nikisikia idea kuwa Ali Karume anawania urais Zanzibar naona kichefuchefu, nikisikia kuwa Gharib naye yuko kwenye hiyohiyo sehemu inayoitwa ya front runners, i feel sick.

Lazima tukumbuke kuwa Zanzibar is not a family property, anaanza kuongoza baba, anafuata mtoto na mke na mtoto mwingine na unaweza kusikia siku watu wanapendekeza hata mjukuu wa Abedi Karume kuwa rais. Regardless na uwezo wa mtu lakini Zanzibar is not a family property.

Kama Kweli Salim anazungumzwa ni jambo la maana sana, lakini ingekuwa much better azungumzwe in terms of United repulic, huku ndio kuna uozo mkubwa. We need a person of his calibre to clear the mess we have in union government
 
Naungana na wengine kuwa Zanzibar is too small for him, yule anastahili kuwa rais bara
 
Eti awe mmakamu wa mwenyekiti CCM Tanzania visiwani? Hiyo naona ni kumdhalilisha huyo Mwanadiplomasia maarufu wa kimataifa!! Kwa kifupi Dr akiongozwa na JK watagombana muda si mrefu. Hawezi kuvumilia blablaa za akina Makamba!!
Anatakiwa aongoze URoT ili aondoa huo uvundo wa mafisadi uliojaa humo serikalini!
 
Tunamhitaji sana mtu wa aina ya salim. zanzibar haimfai kabisa, agombee u rais wa jamhuri ya muungano atuondolee uozo uliopo
 
ya'll miss the point; hawataki Salim atake Urais wa Bara kwani atashinda hands down... kwa sababu kina JK na watu wao hawawezi kucheza tena karata yao waliyoicheza 2005. Sasa kama anataka kupigiwa saluti, na kuitwa RAis na kuwa na msafara wa magari yenye ving'ora basi urais wa Zanzibar utamtosha.

Hata hivyo kama anataka kuwatumikia Watanzania katika miaka yake hii ya magharibi basi atake kilichojuu zaidi na kwa msukumo zaidi. Vinginevyo atakuja kuwa the proverbial "the president that never was"!
 
To me whoever takes the stick i don't care because no democracy anywhere in africa.
 
i don't have any feelings with salim,nor any ccm-blooded member
 
Hivi Dr. Salim haki ikitendeka bila zengwe akisimama na JK nani atacheka na nani atanuna? Huyu anafaa sana kuwa Rais bara kwa Zenji sio saizi yake kama ndo hivyo ni bora atulie tu.
 
Wazanzibar kwa ujumla wao ni watu wasiojua kusahau na hata kusamehe ni kwa UNAFIKI tu. SAS hana nafasi sio Zanzibar tu bali hata JMT. Alidengua 1995 ikawa ndio karata yake ya mwisho. Ni Mwalimu peke yake aliyekuwa na uwezo wa kumfikisha kwenye ngazi hizo.
Tanzania hii ya akina EL, RA, JK,YM hana atakapopenyea labda DOLA imsaidie kama kale kaDJ ka Madagascar.
 
..urais wa zanzibar ..kwa salim ..its a tiny piece of final shit....kwa heshima aliyonayo kazi pekee ambayo inamfaa ni URAIS wa Tanzania...au kama kweli jk ..anasutwa na dhambi aliyomtendea ampe u VICE PRESEDENT wa Tanzania...baada ya SHEIN ....alafu shein aende zanzibar[NASIKIA shein hafikirii kuridi second term na JK...atakuwa ameshakuwa vice presedee kwa miaka 9...anafikiri inatosha....isitoshe jk hakumtakaga...]....ku harmonise mambo ...ALI KARUME ni chinja chinja HAFAI!!!

SALIM akienda zanzibar watamchinja...wale!!..ndio maana salim hujiona mbara zaidi ya mzanzibar....akiji align na wajomba zake wa TABORA[ilipo asili ya mama yake mzazi]
 
Hivi urais ni kwa wanaCCM tu? Ajaribu na vyama vingine kwani kwa alivyofanyiwa 2005, ni dhahiri huko si kwake!
 
tatizo ni kuwa wa Pemba hawamkubali Salim

au ushasahau walivyomfanyia fitna kule UAE na Oman in 2005?
GT, Pemba hawana tatizo kabisa na yoyote almradi Seif kamkubali. Wapemba ni maboya tuu kama bendera fuata upepo kwa chochote atakachokisema Seif. Ni wafuasi kama vile wanamuabudu.

Karume na Seif wameshaishtukia CCM bara kutaka kuwaletea mgombea kwa maslahi ya bara, wameamua kuunganisha nguvu for common interest ya Zanzibar ili kamwe bara sio tuu isiiburuze Zanzibar, bali pia isdictate terms.

Wataweka secret aliance na CUF kama CCM bara itateu mgombea kinyume cha matwaka ya Karume, CCM Zanzibar itamback Maalim na WK atakuwa mtu wa Karume.

Zanzibar wameushukia Muungano sio kwa maslahi yao, bali bara, hivyo wameamua kuwa wamoja tena, kurejesha maslahi ya Zanzibar kwenye original 11 articles, Rais bara, makamo Zanzibar.

Kwa upande wa Salim, JK na timu yake has to pay for what they did to him. Salim ndio one and only option ya Rais wa JMT kutoka Zanzibar. 2015 will be too late for him.
 
Chondechonde Mh Salim unataka kuchafua CV yako Zanzibar haikufai kuwa raisi wake hao jamaa wanakutega ukiingia tu ndo itakuwa kwishnei na wewe na Warioba si mlisema mambo ya kuwania uraisi hayapo vichwani mwenu kwani muda wake umeshipata.Wakitaka wakupe Uraisi wa jamhuri mwakani,hiyo janja ya nyani na huo ni ushauri wa bwerere
 
Hivi urais ni kwa wanaCCM tu? Ajaribu na vyama vingine kwani kwa alivyofanyiwa 2005, ni dhahiri huko si kwake!
hivi mtu kama yeye akiingia upinzani atakosa nini ambacho anakipata kwa kuwa ccm
kama kweli anauchungu na nchi hii chadema wanatafuta mtu wa kumsimamisha 2010.
zitto mshauri rafiki yako agombee kupitia chadema
 
To me whoever takes the stick i don't care because no democracy anywhere in africa.


Mkuu Magezi,

Naomba nitofautiane na wewe kwa hili. Wenzetu wa Ghana wameonyesha mfano, kule kuna demokrasi ya kweli, na Ghana iko Africa kama geografia yangu ni sahihi.

Tiba
 
Back
Top Bottom