Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni kutoka Italia alikokuwa balozi Nyerere alishangaa na kuhoji ni balozi wa aina gani huyo? Akatolewa Italia na kupelekwa Sumbawanga, Rukwa Mwandishi wetu, Godfrey Dilunga, wiki iliyopita...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuna habari kuwa anaweza kufa eidha leo au Jumapili Mwananyamala Hosp mtamuua mama huyu! Imeelezwa kuwa hali ya mwanamke mjamzito ambaye kiumbe chake kimefia tumboni tangu wiki iliyopita...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
wanandugu tumekuwa tukiangalia upande mmoja kwa mafisadi lakini lazima tuangalie uhalisia...j kwa nchii jinsi ilivyo kwa nini usiibe..personal sijaona maisha yanayoni atract kuishi bila...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Lile wimbi la Wanachama wa chadema Kuhama chama hicho limeendelea leo baada ya Mwanachama mwingine wa Chama cha Democrasia na maendeleo Juju Martin ambaye alivuliwa nyadhfa pamoja na David...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Rais Mstafu Benjamin Mkapa Na Salim Bimani Viongozi wa imani ya Kikristo wanastahiki kusifiwa kwa kuzitumia sikukuu na mikusanyiko yao ya kidini kuzungumzia sio tu Uokovu, Uzima wa Milele na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Chuo Kikuu Makerere kumuenzi Mkapa kama kiongozi boraNa Leon Bahati "NABII hakubaliki nyumbani kwake". Ndivyo inavyojionyesha kwa rais wa serikali ya awamu ya tatu, Benjamin Mkapa ambaye leo...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakati hayo yametokea Uganda, Tumeyaona Kenya na Tanzania Pia.Nini hatima ya mjadala wa ARDHI kwa Wananchi wa Jumuiya ya Afrika mashariki? Land battle looms in Uganda...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Wadau.. Rwanda inakaribia kujiunga na Jumuiya ya Madola iwapo uamuzi wa kikao cha wakuu wa nchi za jumuiya ya madola kinachofanyika Trinidad & Tobago kitaridhia uanachama wake. Hisia za utawala...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu, Naombeni msaada kwani hli limekuwa likinitatiza. Nimeona watu wakipigania sana kuwa wenyeviti wa bodi mbalimbali hasa za mashirika ya umma.Na hivi karibuni nimesikia watu wakishauri...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kikwete akerwa mapinduzi ya kijeshi Afrika Na Mwandishi maalum NIPASHE 27th November 2009 Rais Jakaya Kikwete, ameutaka Umoja wa Mataifa (UN) na jumuia ya kimataifa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tanesco yapinga kuvunja mkataba wa bimaNa Claud Mshana SHIRIKA la Umeme (Tanesco) limefungua kesi Mahakama Kuu kupinga uamuzi uliotolewa na Mamlaka ya Rufaa ya Manunuzi ya Umma (PPAA) kuitaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Source: Nipashe 27 November 2009 na mwandishi maalumu: "Gavana Mkuu huyo alisema Jamaica imeamua kutoa nishani hiyo kwa kutambua uongozi imara na uliotukuka wa Rais Kikwete katika nyanja na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
2009-11-27 08:52:00 Tax waivers set to eat up Sh3 trillion Finance minister Mustafa MkuloThe sum is almost a third of the Sh9.5 trillion national Budget By Damas Kanyabwoya THE CITIZEN...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kinachoviponza vyama vya upinzani katika chaguzi Selemani Rehani Raia Mwema Novemba 25, 2009 MWAKA 1992 tuliamua kurejea katika mfumo wa vyama vingi vya siasa. Ni miaka 17 sasa toka tuingie...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni kama triad vile na inaonekana wananchi pamoja na members wengi humu mmekuwa duped kuwa watu hawaelewani kumbe usiku wana strategise je mnaweza kuwataja? clue: Yupi 'mpiganaji' mmoja
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale wenye kutarajia kuwa VIONGOZI, kugombea Ubunge, Udiwani, Urais na hata katika ngazi ya familia nyumbani. Ushauri wa bure huu hapa chini ktk attachment. Mbarikiwe sana na Amani iwe nanyi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kila mara humu tukijadili habari za namna viongozi wanavyochaguliwa hasa ndani ya cmm,kuna kitu kimoja ambacho hatukijadili kwa mapana. nacho ni huu utaratibu usioandikwa popote lakini ni sehemu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
hii tabia ya watanzania kuwa wanyonge mbele ya viongozi wabovu huwa inanikera sana.... lakini siku hizi nimekuwa napata habari inayonifurahisha sana.. nayo ni hii ya kuwazomea wabunge wa ccm...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
UWT zibeni mpasuko wenu, malumbano hayana tija LISEMWALO lipo na kama halipo linakuja. Hivi karibuni, Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) umekuwa gumzo kutokana na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Serikali yetu ni inashangaza. Jana TBC1 imeripoti kuwa mkuu wa wilaya huko Kilombero anasimamia mchakato wa kutaka kuhamisha wanakijji wa kijiji cha Namawala huko Kilombero kinyume na matakwa yao...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…