Faida za kuwa Mwenyekiti wa Bodi

Regia Mtema

R I P
Nov 21, 2009
2,970
864
Wakuu,

Naombeni msaada kwani hli limekuwa likinitatiza. Nimeona watu wakipigania sana kuwa wenyeviti wa bodi mbalimbali hasa za mashirika ya umma.Na hivi karibuni nimesikia watu wakishauri wabunge wasiwe wenyeviti za bodi za mashrika ya umma kwani kutakuwa na mngongano wa kimaslahi.Tfadhali nisaidieni kuna priveledge gani ya kuwa mwenyekiti?

Nisadieni jamani,ni muhimu.
 
Money, power and connections. Privileges zina tegemea na upo bodi ya kampuni gani au shirika gani lakini ukisha kuwa chairman of the board that is a position of power which also comes with a good pay.

Kuhusu swala la kuwa mwenyekiti wa bodi na mbunge consider this example. Mbunge ni mwenyekiti wa bodi wa kampuni ya uchimbaji wa madini. Je kampuni hiyo iki kiuka maadili ya bbiashara mbunge huyo atamtetea nani? Mwananchi au kampuni yake?
 
Back
Top Bottom