CCM Unwritten Rules | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Unwritten Rules

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Boss, Nov 26, 2009.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  kila mara humu tukijadili habari za namna viongozi wanavyochaguliwa
  hasa ndani ya cmm,kuna kitu kimoja ambacho hatukijadili kwa mapana.
  nacho ni huu utaratibu usioandikwa popote lakini
  ni sehemu ya utaratibu rasmi wa ccm,ambao ni kuchagua rais
  kwa kubadilishana dini.....
  yaani akitoka mkristo anaingia muislam,na akitoka muislam anaingia mkristo.

  ingawa nyerere aliupinga waziwazi mwaka 1995.but ndani ya ccm huo ni utaratibu rasmi....
  na ndio maana salim a salim alikataa kugombea urais mwaka 1995.
  ukiaangalia wagombea urais mwaka 1995 ndani ya ccm utakuta waislamu
  wawili tu.
  but ilipofika 2005.waislamu wakawa wengi mpaka zanzibar wakajitokeza.

  ingawa huu utaratibu haufai na ni wa hatari lakini upo na
  ukimuuliza yeyote wa ndani kabisa ccm,atakwambia huu ni utaratibu rasmi.
  so utaona lowassa na wengine wakristo target yao kubwa ni 2015.
  kanisa katoliki linaufahamu na kuuukubali utaratibu huu..
  na ndo maana mwaka 2005 walijitokeza kumuunga kikwete
  one of the reason ni kuwa kikwete alionekana kuwa less religious...
  ukilinganisha na waislamu wengine......
  kwao kanisa katoliki wanachokipigania ni kuwa ikifika zamu ya
  wakristo hapo 20015 rais awe mkatoliki....

  sera hii pia inatumika nigeria.

  kwa hiyo kikwete alichaguliwa kwa sababu nyingi sana ikiwemo hii.
   
 2. Monsignor

  Monsignor JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umkekaa kabisa na wewe ukafikiria kuanzisha thread kama hii? Hapo kwenye red ndio ilikuwa lengo lako. This is disgusting
   
 3. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  We hizo ulizoanzisha nzuri ziko wapi? Au kwavile inahusu CCM we kama kwako haina maana si kwamba itakuwa haina maana kwa wote.Acha hizo bana leta hoja na si majungu..
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  kwani we umeelewaje????
   
 5. L

  Lampart Senior Member

  #5
  Nov 26, 2009
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  U are right brother/sister!!!
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  OK.
   
 7. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Toa hiyo sister mi ni mzee wa kumega we mtoto vp.
   
 8. 911

  911 Platinum Member

  #8
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Kuna umuhimu wa kulirudisha jukwaa la DINI.Kwani wanajamii wanakosa pa kusemea hoja zao za udini wanaishia kuzirembaremba ili zionekane ni siasa.
   
 9. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2009
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hoja hii ni pumba tu.
   
 10. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,429
  Likes Received: 3,792
  Trophy Points: 280
  Ni hurka ya binadamu kumuweka madarakani amtakaye.. Hata wewe ukienda kupiga kura utamchagua umtakaye kwa vigezo vinavyokufaa. Kama vigezo vyako vitafanana na vya wengine, basi mtu wenu atashinda. Hivyo sioni sababu ya kulitazama kanisa katoliki kuwa linakosea saaanaaaa kumtaka mkatoliki kuliko waisalamu wanavyomtaka muislamu mwenzao. Ni hali halisi, haijaandikwa popote lakini mioyoni mwetu hilo lipo. Wengi huwa hawatamki lakini kimatendo wapo hivyo.
   
 11. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #11
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ahsante Capt. This idle talk and pure hogwash. Ni mawazo ya kwenye bao sio JF.
   
Loading...