Juju Martin Ajiondoa Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Juju Martin Ajiondoa Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yona F. Maro, Nov 27, 2009.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Lile wimbi la Wanachama wa chadema Kuhama chama hicho limeendelea leo baada ya Mwanachama mwingine wa Chama cha Democrasia na maendeleo Juju Martin ambaye alivuliwa nyadhfa pamoja na David kafulila nae ameamua kujiondoa chadema na kuporomosha madongo mazito kwa Mwenyekiti wa chama hicho Bwana Freeman Mbowe .

  http://groups.google.com/group/wanabidii/t/8dd2901b748ea8e?hl=sw
   
 2. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Eti wimbi,kwani walioondoka ni wangapi mpaka liitwe wimbi?naona kama tunakuza mambo tu........
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,785
  Trophy Points: 280
  bado zito nae
   
 4. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hawa watu wananishangaza sana. Siku zote ako chadema hawajawahi kuona makosa ya viongozi wao, leo wakivuliwa uongozi, na wakikiama chama ndo wanaona maovu.
  Si watu wa kusikilizwa kwani walichokitaka ni madaraka, na wanapoyakosa, basi wanaropoka wanavyoweza.
  Sidhani hata huko watakapo hamiha watakaa salama.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Mshabiki kweli na wewe!!!sasa na wale wa ccm tukianza kuwaleta humu si tutajaza thread za uhamisho..loh!!!shY...
   
 6. M

  Magezi JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  mimi nasubiri kwa hamu kweli na zitto aondoke kwa sababu nae kichwa kimeisha mvimba na kujiona anafaa sana.
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  afwate yule mtoto aliegombea ubungo sijui anaitwa nani........mnyika
   
 8. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #8
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Nenda Salama Juju,wasalimie ndugu jamaa na marafiki huku uendako.Hata siku moja daladala huwa halifiki na abiria wote waliopanda kwenye kituo kimoja unless liwe limekodiwa.
   
 9. G

  Ghati Makamba Member

  #9
  Nov 27, 2009
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna binadamu anayevumilia kukaa katika mazingira yasiyomweka huru. Tukubaliane tu kwamba uwepo wa vyama mbadala ulimaanisha harakati mpya za kubadilisha mawazo wa mfumo uliozoeleka na kutengeneza mtizamo mpya ulioimara kufanikisha kile kinachoitwa "ukombozi wa wanyonge". Wanaoitwa wanyonge, hawapo nje ya familia za hawa wanasiasa, ni wazazi wao, ndugu zao, jamaa zao, rafiki zao, wake ama waume zao na jirani zao. Tujiulize kwa pamoja, hawa wakombozi, wametawaliwa na ubinafsi kwa kiasi gani? Juhudi yao kama ina lengo moja, kukomboa, mbona wanabishana wenyewe? Ninadhani kuna haja kwa wakombozi hawa kufanya tathimini za kina kabla ya kwenda mbele ya umma, maana huku kwenye mashina yao hawana maisha tofauti na haya ya kubishana na pengine wapo wanaotamani hata kubadili koo zao. Tunapaswa kuwa wanamapinduzi, changamoto zipo, tusizikimbie wala kuziogopa, maana kama Zuma angeondoka kwenye Umakamo na kujiondoa ANC, basi Mbeki angeonekana mkweli mbele ya Dunia. Wakati ndio huu tuutumie vizuri!!
   
 10. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #10
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  He he heeee!habari nilizozipata muda si mrefu kutoka kwenye chanzo changu cha habari inasemekana jamaa alikuwa ni mzigo tu pale CHADEMA,alikuwa ni kilaza kisicho na mfano kiasi kwamba alianza kutiliwa mashaka elimu yake,yawezekana amefoji vyeti.Si mmemuona wenyewe kwenye TV hajui hata kujieleza.Inasemekana tangu ateuliwe kwenye idara aliyokuwa akiitumikia hajawahi kufanya chama maana zaidi ya kusihia kulalamika tu.Nasikia ni kijana mlalamishi kuliko hata mtoto aliyenyimwa ndizi na ndugu yake.Mimi niliwahi kumuona siku moja kwenye kongamano la vijana wa vyuo vikuu mwaka jana pale Iringa kwa kweli alitia aibu ya aina yake.Alitakiwa kutoa mada fulani kama Mheshimiwa kutoka makao makuu lakini jamaa alikuwa anasoma utadhani imekuwa hotuba badala ya kuwasilisha mada na kuijadili....Agh aliniboa sana.Mwache atoke CHADEMA ni chama makini chenye vijana makini na mahiri kama Zitto,Mnyika,Halima na wengineo.......hebu wenyewe semeni milkuwa mkimfahamu kabla?si mmemjua juzi tu katika harakati za uchaguzi wa CHADEMA sikuzote alikuwa wapi?nasikia ana miaka kadhaa pale makao makuu kwao.
   
 11. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #11
  Nov 27, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Angekuwa kilaza kwanini mlimuajiri? ushabiki tu huo lol. na ukisikia kina mnyika na zitto wanaondoka utasema walikuwa vilaza?...kihiyo ni huyu li mbowe na slaa mwenye PhD ya kuongoza kanisa? wapi siasa.
   
 12. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #12
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
   
 13. M

  Magezi JF-Expert Member

  #13
  Nov 27, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  ktk vijana CHADEMA labda Halima Mdee huyu ndo naona hana maneno. Zitto alianza vizuri lakini baada ya kupewa kazi na JK amebadilika na hata akiondoka still the party will move on.
   
 14. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #14
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Tumain
  Kweli na wewe ni kilaza mwingine hata kusomavizuri hujui.Nimesema hivi inasemekana jamaa ni kilaza kwani alikuwa haperform vizuri kwenye idara yake ukilinganisha na elimu aliyokuwa anadai anayo,kwa mujibu wa vyei vyake alivyopeleka CHADEMA. Nadhani umenielewa rafiki yangu acha ushabiki wa ki CUF CUF hatuko pemba hapa tuko kwenye uwanja wa JF
   
 15. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #15
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  na ukisikia kina mnyika na zitto wanaondoka utasema walikuwa vilaza?.[/QUOTE]

  Mnyika na Zitto hata wakiondoka CHADEMA sidhani kama kuna mtu atakayethubutu kusema ni vilaza kwani kazi zao zinaonekana na kila mtu.Tutasema mengine lakini sio ya uvilaza...
   
 16. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #16
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
   
 17. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #17
  Nov 27, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kwa nn inakuwa big news kwa kuondoka wanachama wawili ambao tayari ndani ya Sekretarieti walishaonekana mzigo! Hao watu wangekuwa ndio nguzo za Chadema wangetimuliwa kweli kwenye uongozi! Chadema hakilei jobless wa kuishi kwa majungu pale makao makuu. Rejeeni kauli ya Mzee Mtei, Afisa Habari ni muajiriwa tu hapaswi kuoji lolote atakaloambiwa atangaze na muajiri wake, ndio maana Tido Muhando wa TBC ni tofauti na Tido Muhando wa BBC!
  Hawa akina Kafulila na mwenzake ni njaa zinawasumbua na hakuna lingine zaidi
   
 18. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #18
  Nov 27, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wewe ndio kilaza kweli anakuwa haperform akianza kuuliza matumizi mabaya ya fedha...lol acha ushabiki wa ki-chadema chadema hatuko killimanjaro uchagani hapa tiko kwenye uwanja wa JF
   
 19. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #19
  Nov 27, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ungesema maana yake..kama wewe una hoja..wewe huna hoja ni mpuuzi tu...huyo Slaa ana PhD ya kuongoza kanisa..au sheria za kanisa..ala! huelewi au ushabiki unakusumbua.
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Nov 28, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  chadema is going the nccr way.
   
Loading...