wananchi wanaponifurahisha..

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,874
hii tabia ya watanzania kuwa wanyonge mbele ya viongozi wabovu
huwa inanikera sana....
lakini siku hizi nimekuwa napata habari inayonifurahisha sana..
nayo ni hii ya kuwazomea wabunge wa ccm...

mwanzo nilisikia ngasongwa amezomewa nikasikiA raha sana.
baadae mkuchika nae akazomewa..
na sasa juzi ni kimaro...

laiti kama nguvu ya kuwazomea ingeahamia kwenye
kutowapigia kura ingekuwa raha saana.

but anyway huwa nasikia burudani ya ajabu nikipata habari
za kuzomewa kwa wabunge wa ccm....

sijui nyinyi wenzangu but mimi huwa nakuwa na furaha mno na
habari hizo....

if only.......
 
What matters is the last laugh...
.
Yes indeed, "He who laugh last, laugh most"
siungi mkono zomea zomea za vikundi vya vya watu waliowezeshwa na kuwa organized wazomee, hizi ni chuki binafsi, jamaa mzomewa akipanda dau, wazomeaji wataanza kusifu kwa nyimbo na mapambio.

Naunga mkono, zomea zomea ya ukweli inayoibuka naturally kuthibitisha wananchi wamemchoka mhusika na hili huwa watalithibitisha kwa kura zao.
 
.
Yes indeed, "he who laugh last, laugh most"
siungi mkono zomea zomea za vikundi vya vya watu waliowezeshwa na kuwa organized wazomee, hizi ni chuki binafsi, jamaa mzomewa akipanda dau, wazomeaji wataanza kusifu kwa nyimbo na mapambio.

Naunga mkono, zomea zomea ya ukweli inayoibuka naturally kuthibitisha wananchi wamemchoka mhusika na hili huwa watalithibitisha kwa kura zao.

kabisa.
 
Wananchi wamechoshwa na hawa wezi na mafisadi wa ccm, wala hawakupanga kuwazomea in advance, it just happened. Hawana jipya la kuwaambia wananchi kwani hata kiongozi wao yuko busy Jamaica anabembea na kuongea na akina Bolts na Powell (Wanariadha)
 
Back
Top Bottom