sababu kumi kwa nini nisiibe kazini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sababu kumi kwa nini nisiibe kazini??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Nov 26, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  wanandugu tumekuwa tukiangalia upande mmoja kwa mafisadi lakini lazima tuangalie uhalisia...j kwa nchii jinsi ilivyo kwa nini usiibe..personal sijaona maisha yanayoni atract kuishi bila mwizi...sasa hivi kila sehemu makazini...majuzi nesi kamuu mjazito kakosa sh 5000 embu tuangalie tatizo nini....na kwa nini 5000 inaweza ondoa maisha ya mtu na mwane...je jichunguze leo hii maisha yalivyo kwa nini usitafute maisha bora kwa kila mtanzania...mi nafikiriatu hawakumuelewa rais vizuri maisha bora ni wewe na akili yako hutoletewa maisha bora chumbani hata sikumoja...kaza buti popote penye nafasi washa usiogope weka future yako mengine baadae
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wote tukiwa na mawazo hayo.hii nchi itakuwaje?????
  Baba likiwa fisadi na mama nae awe fisadi?watoto wataambulia nini?
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  suicide
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Mmmh hii imkaa vibaya. Lakini ss tufanyeje? Wachukue tuu na ss tuwaangalie
  Huku wake zetu na watt wetu wakiendelea kufa mahospitalini na kweye ajali za mabasi
  Yenye cheses za malori?

  Nauliza.
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,606
  Likes Received: 3,908
  Trophy Points: 280
  sio kuwa wengi wameshakuwa na mawazo kama hayo pengine wewe na mimi tu bado hatujawa corrupt?

  issue za ufisadi zinaanzia chini kabisa kuanzia ngazi ya kaya, mitaa, kata, ...........

  alichosema jamaa ni kuwa tunatakiwa kufumua kila kitu, kuwasema hawa watu wachache wavumao haisaidii.Niamini kuna mafisadi wengi sana nchii wasiojulikana na wanaringia system.

  Nina waaalimu watatu ninawafahamu wanapokea mishahara mitatu mitatu!......maboss wao wanajua

  System mbovu mkuu! imeoza RA,EL,CHENGE Mkapa sio wa kwanza na hawatakuwa wa mwisho!

  Ila ndugu yangu muanzisha thread naamini kwa mawazo yako utaongeza vifo vya watu wengi, ngau umesema ukweli, ila we need to remedy this issue for our future generation
   
 6. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mbona huja taja hizo sababu 10? maana kichwa cha habari hakiendani na content.
   
 7. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,424
  Likes Received: 3,786
  Trophy Points: 280
  Kama unataka tukupe sababu, basi naanza na hizi hapa....
  1. Unalipwa mshahara.... Kama haukutoshi ungegoma kusaini mkataba
  2. Dini yako haikuruhusu kuiba.........
  3. Sheria za nchi yako zinakataza wizi.............
  4. Ukikamatwa utafungwa........... na nyie vijizi vidogovidogo ndo tunawatwanga mvua za kutosha..............
  5. ...............
  6. .................
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  watoto watafulia ..
   
Loading...