Wakuu wa MIKOA/WILAYA Wanajeshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu wa MIKOA/WILAYA Wanajeshi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwanamasala, Nov 24, 2009.

 1. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kuna tendecy tangu Nyerere,wanajeshi wastaafu wanapewa ukuu wa Mikoa/Wilaya.Inakuwa ni kama sehemu ya kuretire na kula taxpayers money for nothing.Kazi zao ni kutoa hotuba,kuhudhuria sherehe na kula raha.Hakuna policy making,analytical skills etc.Ndio maana tumebaki kuwa duni maana mikoani na wilayani hakuna wataalamu wa maana.

  Mwaka fulani alikuwepo mkuu wa Wilaya ,huyu alikuwa mbunge wa kuteuliwa!Siwezi kumtaja hapa!alikuwa hopeless pale wilayani.Ni kutembelea vijijini for nothing.Alikuwa na mashangingi 2 ya bunge,na gari la wilaya.Waste of taxpayers money.Bora hawa wastaafu wangepewa pesa hizo za ukuu kila mwezi na kukaa nyumbani maana hakuna wanachofanya kabisa.
   
 2. T

  Tom JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2009
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kazi wanafanya tena sana ila ni kusimamia MANIFESTO YA CCM ili ifikapo wakati wa uchaguzi CCM ipite kwa vishindo. Ni mara zote CCM imepita na kuwabwaga wapinzani kwa ushindi mkubwa.
   
Loading...