Misafara ya viongozi kuzuiliwa kwa mabango na wanachi inaashiria nini?

Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,767
4,035
Kume kuwepo na matukio mbalimbali ya baadhi ya misafara ya viongozi kuzuiliwa na wananchi huku wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe toufautitofauti, wakilazimasha viongozi hao wazungumze nao juu ya kero mbalimbali zinazowakabili. Daadhi ya waliokwisha kukumbana na jambo hili ni Rais na waziri wake mkuu. Je hawa viongozi wana pata picha gani mambo haya yanapo wakumba?
 
Inaashirikia wananchi kuchoka! Naweza kumsemea Waziri Mkuu kwamba yeye anapata picha kwamba wananchi wanahitaji kusikilizwa na kupewa matumaini. Ndivyo alivyofanya hivi karibuni katika ziara yake ya Mtwara. Rais bado hajaonyesha kwamba anajali kidhati matatizo ya wananchi. Yeye mwambie za majuu!
 
Ndo maana msafara wake ulipigwa mawe kule mbeya. AIBU
 
Back
Top Bottom