hatimaye mkuu wa nchi atua The Kingston Town,na kulakiwa na reggae. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hatimaye mkuu wa nchi atua The Kingston Town,na kulakiwa na reggae.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KUNANI PALE TGA, Nov 25, 2009.

 1. KUNANI PALE TGA

  KUNANI PALE TGA Senior Member

  #1
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu wa nchi leo jioni ametua kingston town na kulakiwa kwa sherehe kubwa zikiambatana na nyimbo za reggae kutoka yule master Bob wa Mrley,na kesho atakwenda kwenye kaburi lake ili kuomba na kumuombea.
  Bob marley i will remember you for the marvelous tunes you gave us and the music which you created,all is implicable in these times of ufisadi.
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Nov 25, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  ameenda kutafuta soko la bidhaa toka tarime.
   
 3. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #3
  Nov 25, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  nasikia Wajamaica wamefurahi sana.
   
 4. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  haya watu wa mkoa wa Mara soko hilo mumeenda tafutiwa na mkulu mwenyewe museme hamuitaki ccm mnachagua chadema!!Kilimo cha yalee mazao yetu kidumu
   
Loading...