NSSF kujenga ndio wenywe lakini utunzaji majengo sifuri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NSSF kujenga ndio wenywe lakini utunzaji majengo sifuri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbunge, Nov 22, 2009.

 1. M

  Mbunge Senior Member

  #1
  Nov 22, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaelekea shirika linaongozwa saa hivi kisiasa zaidi bila shirika kufanya vyema mambo yake ambalo kwanza ndilo linakopata kula yake.

  PENGINE viongozi wa NSSF hawana habari na kinachoendelea katika majengo wanayomiliki sehemu mbalimbali hapa nchini.

  Hali ni mbaya. Vyoo vibovu na harufu mbaya, maji kutopatikana, lift zinazoharibika kila siku, milango na madirisha yaliyovunjika, sehemu finyu za kuegesha magari na walinzi bomu na wasiokuwa na heshima yote haya ni mambo ya kawaida.

  Itakuwa ni faida ya shirika kuhakikisha matatizo haya yanayolipa sifa mbaya shirika yanashughulikiwa haraka iwezekanavyo.
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Nov 22, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Mbona unazungumzia hewani; toa mifano!
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  Kama wanaume wa kitanzania kuzaa aaahh kulea kwa raha zenu:::
   
 4. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wapangaji hawana majukumu ya kutunza wanamoishi?
  Rental agreements zinasemaje (kama zipo, that is)?
   
Loading...