Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

(Makala hii imetoka Tanzania Daima Feb 17, 2010) NILIWAHI kuandika huko nyuma juu ya uhuru wa mahakama zetu. Somo hili bado halijawaingia wanasiasa wetu hususan wale waliokaa kwenye kiti cha...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
I'm assuming the price and time period will increase $9 and 3 years is too cheap and too short for this type of license. On another note was a tender ever announced? From the East African...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Nora Damian MBUNGE wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe ameendelea kuwa mbunge maarufu kisiasa kuliko wabunge wote, huku akiwaacha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Spika wa Bunge Samuel Sitta...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Na Mashaka Mgeta 23rd February 2010 B-pepe Chapa Maoni Ni ile Tanzania iliingizwa mjini Ununuzi wake ulikuwa bei mbaya Kesi inawasilishwa mahakamani Andrew Chenge...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tume ya uchaguzi imesema ina nia ya kuongeza idadi ya majimbo ya uchaguzi -- Ukumbi wa Bunge una uwezo wa kuchukua wabunge wengine 23 kutoka idadi ya 323 na kulifanya Bunge letu tukufu kuwa na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa chama kidemokrasia (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, anaandaa utaratibu wa kuwafungulia mashtaka Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe na Waziri wa Nchi Ofisi ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Igunga; Tarehe: 21 February 2010 HabariLeo WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka wananchi wa Jimbo la Igunga mkoani Tabora kutomkataa mbunge wao Rostam Aziz wakati...
0 Reactions
69 Replies
9K Views
----- On behalf of poor, innocent Tanzanian citizen's ----- You MAFISADI'S - CCM won't rule this country forever - so whoever has stolen any penny (grabbed from poor Tanzania) - We will take...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chama cha Wananchi, CUF, kimemaliza rasmi ule msuso wa kujiandikisha kwenye maboresho ya daftari la kudumu la kupiga kura, baada ya kuwahimiza wafuasi wake kujitokeza kwa wingi kujiandikisha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna taarifa kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeitisha kikao cha dharura cha Baraza la Mapinduzi kujadili na kupitisha rasimu ya sheria ya kura ya maoni juu ya uundwaji wa serikali ya umoja wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nikiwa kama mtanzania mwenye kuwa na uhuru wakutoa mawazo napenda kutumia fursa hii kutaka kuujuwa ukweli. Nimesikitishwa na utafiti ulio fanywa na Synovate nakusema eti kikwete ana ng'a kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi, (UVCCM), Mkoa wa Arusha, imemchangia Rais Jakaya Kikwete sh milioni moja kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea urais Oktoba ikiwa ni kumuunga mkono...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nyumbani ni shwari. Mnaweza kusikia mengi ya siasa kupitia magazetini, lakini mwaka huu ni mwaka wa siasa. Mtasikia mengi ya kisiasa, lakini msiwe na wasiwasi, nchi yetu ni shwari - Kikwete...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
"We should not lessen our efforts to get the money we really need, but it would be more appropriate for us to spend time in the villages showing the people how to bring about development through...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
MBUNGE wa Bukene, Teddy Kasela-Bantu (CCM), amejikuta katika wakati mgumu baada ya wakazi wa jimbo hilo kumshitaki kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kwamba ametwaa ekari 40 za ardhi katika kijiji...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Japo sikubaliana na msimamo wa kakobe kuhusu kupita umeme au kutopita katika eneo la kanisa lake lakini amenifurahisha kwamba anaweza kuwaongoza waumini wake wakaungana kudai wanachodai na wengi...
0 Reactions
76 Replies
7K Views
Mabalozi wa amani ambao mwezi uliopita waliunda umoja ujulikanao kama Amani Forum wamewakosoa wanaharakati wanaoandaa maandamano dhidi ya Bunge kwa kusema kitendo hicho ni choko choko...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mabadiliko huletwa na kikundi cha watu wachache wenye mtizamo tofauti na wenye uwezo wa kubadilisha fikra za jamii.....I salute JF members (ingawa sio wote) kwamba wana mawazo`bora sana kwa jamii...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii habari niliipata kwenye VOA sasa nashindwa kuelewa kwa nini Tanzania na Kenya zimeingia kwenye Mvutano au wanataka huu ushirikiano ufe kwani Tazania inataka kuuza Pembe za Ndovu nje ya Nchi na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Inasikitisha na inauma jinsi wenye mamlaka wanavyojali PESA kiliko roho za watu, jAMANI WATU WANAKUFA, MIFUGO INAKUFA MAJI YA KUNJWA YAMECHAFULIWA HAKUNA ANAYEJALI????NDO NGUVU YA PESA????? maji...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…